Meli vita hatari zaidi ulimwenguni kwa sasa

Putin mnyama ( panda ) hata trump anakubali hilo tena hapendagi ujinga kutangaza zana zake, kumbuka siri kubwa ya WW2 aliibeba USSR ndo maana NATO haiweki mguu kwa WARSAW-Pact na wanamheshm coz ye ndo alouangusha utawala wa wa Naz marekan alisanda na alliance wake
 
Huijui vizuri urusi warusi ni watu hatari sana wao malanyingi vyombo vyao vyenye uwezo mkubwa hawapendi kuviweka hadharani nikikuolea mifano utashangaa sana
Mkuu katika dunia ya sasa hakuna asiyependa sifa na ufahari, Urusi nao kama Usa pia wanapenda misifa tu
Huoni North Korea wanavyohangaika kila siku kwenye media kuionesha Usa kwamba nao wamo[emoji3] [emoji3] [emoji3]

Anyway vipo vitu ambavyo ni classified ambavyo both US na Russia hawavioneshi.
 
As far as I know....ni Aircraft carrier moja tu yenye mifumo ya kujilinda yani Air defence system na kujilinda na underwater threat like submarine or under water missile i.e Torpeode nayo ni Aircraft carrier ya Russia ndo maana hua inasafiri na msafara wa Destroyer au frigate chache au inakua pekeake...Zilizobaki zote hazina mifumo ya ulinzi ya kujilinda hivyo kuhitaji ulinzi was meli zingine mfano Destroyer ,submarine na Frigate....Na kazi moja was aircraft carrier ni kubeba ndege vita sehemu ambapo hapafikiki kwa maan a ya uwanja was ndege hivyo zinakua km meli zenye viwanja vya ndege...Km ya Russia inabeba ndege 40 hizi ni nyingi sana kwa attack haina maana kubeba ndege 80 nauku just one torpeodo fired from Fateh Iran made submarine can inflict big loss to particular country
 
G and search for more details about NIMITZ braza, hata Russia wenyewe wanakubali kuwa huu ni mziki mzito...N bado FORD is on the way coming..haya mambo hayahitaji ushabiki...
 
Ila wamarekani naona kama wanacheza na media sana kutangaza vifaa vyao vya kiusalama tofauti na Urusi ambao hawachezi sana na media kujitangaza kiusalama.
Lugha wanayotumia kujitangaza hatuijui
 
AK 47 ni mwisho wa matatizo.Kama iyo Ak tu inasumbua vip kuhusu ayo makombora na manyambizi yao warusi.Kwaujumla marekan na mrusi hawapishani sana kwenye zana zakivita maana technolojia ndo iyo iyo inayozinguka ila sema bado kuna mambo hawawezi weka wazi sana sababu zakiusalama.Tunachokipata sis nikile ambacho wameamua kukiweka wazi kwasababu zao ila yako meng wanaficha.
 
inaweza ikawa ni mbonu tu za kuhadaa kuwa hawana marubani kumbe wanao
 


Mkuu Somoche bado una mentality ya cold war!!!

Mambo yamebadilika mkuu...
 
Naomba nikurekebishe mkuu... Trident ya US ina uwezo wa kubeba had vichwa 12 ila chini ya START imepunguzwa had 8-10 ila wenyewe wanasema kwamba bado inaweza kuwekwa vichwa 12...ila Trident za UK ndo zinabeba hvyo vichwa 6...Halfu Ohio submarine ya US ina uwezo wa kubeba hzo Trident 24 na jumla ya idad ya hzo Ohio suBs zipo 18 sasa hpo piga (24×18=432 zidisha Mara 8
idad ya vichwa vya nuclear 432×8=3456 kwa hyo Ohio submarines tu peke yake zina uwezo wa kubeba 3456 independently nuclear warheads.
 
Hzo interceptor nying China anazitoa wapi wakt idad ya ndege za China imezidiwa Mara tatu na marekan... Hlaf unaweza kutuma hzo interceptor zako 20 half F22 ikazidetect umbali mrefu sana kutokana na kua na better avionics, radar, etc then zikashambuliwa kabla hata hazijaifikia hyo F22...Halafu kitu kingine inachoifanya F22 kua baddas plane ni kwamba inaweza kulaunch missile first then inakuja kulock onto the target baadae hii inasaidia kupunguza NO ESCAPING ZONE tofaut na ndege nyingine ambazo lazma kwanza zione target ndo zifaye missile.
 
Future US 6th generation fighter

Future China 6th generation fighter


Future Russia glider


Hapa hakuna mshindi na hiyo ni kuduuchu tu.
 
Ukweli ni kwamba siri za kijeshi zitabaki kuwa za kijeshi tu.......hakuna anaeweza kuanika jeshi lake waziwazi ili walijue udhaifu wake hayo mengineyo ni propaganda tu
 
Nani kakwambia carrier za US hazina mifumo ya kujilinda na kushambulia?!...na sasa hv wanataka kuzitengenezea carrier zao Ant-toperdo
 
acha kukurupuka dogo, kuwa na marubani milioni 3 hakufanyi kuwa na ndege za idadi hiyo.
kma maruban tu wako million tatu tuseme huo ndio ukubwa wa airforce..ukijumlisha army na navy si utapata jeshi lao lina ukubwa zaidi ya watu million 15 acheni uongo
 
Kuna mwaka fulani , kama miaka 15 hivi iliyopita, Nyambizi ya Kirusi (Submarine) , ilizama na kuleta taharuki ,kuna anaeyekumbuka sababu?
 
Kuna mwaka fulani , kama miaka 15 hivi iliyopita, Nyambizi ya Kirusi (Submarine) , ilizama na kuleta taharuki ,kuna anaeyekumbuka sababu?
hio ni kursk submarine mkuu ilitokea 2000 sababu inasemekana ilikua ni hitilafu iliotokea kwe nuclear reactor
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…