Vichaa hawa wanauana kizembeMzuka fulani hivi wanaokuwaga nao.
Kama ndio elimu yako ilipokufikisha hapo mm nawezaje kukubadilisha ss [emoji23][emoji16][emoji3][emoji1][emoji2]
Sent using My COVID-19
Iran siyo waarabu, Ni waajemiShida ya warabu ni upuuzi..
Unakuta hapo Mkuu wa wana maji na wenzake wamekaa, wakajadiliana sasa wazamishe moja ya Meli zake ili tu Kuwaonyesha wamarekani kua tunao uwezo wa kuzamisha Meli vita zako hata kama zipo kwa mwondoko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inabidi upigwe msasa uwe na uelewa wakutofautisha mamboHuna uwezo wa kunibadilisha maana haya hayataki elimu dunia, kuna wale wavaa makanzu wenzako wanajiita boko haram pia washaikataa hiyo elimu dunia.
Mimi najua Elimu TuMsasa kwa kutumia elimu dunia.
Sio wamechanganyikiwa bali wamerekani wahack system ya mawasiliano wakahisi ilikuwa ni adui, kuna mengi yatatokea subirini
Wairan sio Waraabu Wala hawaongei kiarabuShida ya warabu ni upuuzi..
Unakuta hapo Mkuu wa wana maji na wenzake wamekaa, wakajadiliana sasa wazamishe moja ya Meli zake ili tu Kuwaonyesha wamarekani kua tunao uwezo wa kuzamisha Meli vita zako hata kama zipo kwa mwondoko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jifunze kutambua yakwamba WAIRAN sio WAARABU.....Jifunze ya akhera pia, ile ambayo huwafundisha kujilipua...
Itakuwa iliwekwa mafuta ya bodaboda yakaipaliaChanzo cha kuchanganyikiwa kilikua ni nini?
halaf ww tajiri wawapi[emoji23][emoji23]Wayahudi huwa hawapati elimu ya madrassa ya kujilipua mabomu.
Mkishajazwa mzuka kwenye misikiti mnawaza kulipuka, nyote hao wajemi, waarabu na maskini wakiafrika wavaa makanzu
halaf ww tajiri wawapi[emoji23][emoji23]
Elimu yako haijakukomboa Bado Mtumwa Wakifikra Namtumwa wakielimu pia
Halaf kwenye ukoo wenu wewe ndio unaongoza kwa elimu Nasikia [emoji16][emoji16][emoji4]
Sent using My COVID-19
Inanikumbusha wakati Fulani marekani ilipiga hospitali huko Afghanistan na kuua watu wasio na hatia 43 wakiwemo madaktari na wagonjwa.Jamaa huwa siwaelewi moja ya sifa kubwa ya Jeshi imara ni usahihi wa vitendo (Practical accuracy) sasa wao mara wadungue ndege yenye abiria, mara wanajichanganya wanamweka hatarini Generali wao Souleiman anauwawa kizembe zembe leo tena wanajilipua wenyewe. SASA hawa kwa huo Uoga walionao wakisikia midege ile ya US inaelekea kwao si watakufa wenyewe ?? Au watasema ni Friendly Fire?
Lugha ya nini ?!Lugha ya takbir allah akbar ina elimu gani zaidi ya mikanzu na mindevu na kujilipua, hivi umefuturu au unatema yote haya ukiwa umesota njaa.