Meli ya Iran yachanganyikiwa na kufyatulia nyingine makombora na kuua wanajeshi 19 wa Iran

Meli ya Iran yachanganyikiwa na kufyatulia nyingine makombora na kuua wanajeshi 19 wa Iran

Google uone ajali za friendly fire kwenye military drills ni nyingi sana ambapo zimepelekea vifo vingi na sometime anaekua kwenye buttons huwez jua alikua ana stress gani....But all in all, Iran ame prove kua Iranian made anti ship missile (Noor, Qadr etc) are potent na hatari kwa adui....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MK254, Huwezi kuona kwasababu sio kila mwenye macho anaweza kuona

halafu nasikia katika ukoo wenu wewe ndio unaongoza kwa elimu eti [emoji23][emoji16][emoji4][emoji3][emoji1]

Sent using My COVID-19
 
Kama ndio elimu yako ilipokufikisha hapo mm nawezaje kukubadilisha ss [emoji23][emoji16][emoji3][emoji1][emoji2]

Sent using My COVID-19

Huna uwezo wa kunibadilisha maana haya hayataki elimu dunia, kuna wale wavaa makanzu wenzako wanajiita boko haram pia washaikataa hiyo elimu dunia.
 
Huna uwezo wa kunibadilisha maana haya hayataki elimu dunia, kuna wale wavaa makanzu wenzako wanajiita boko haram pia washaikataa hiyo elimu dunia.
Inabidi upigwe msasa uwe na uelewa wakutofautisha mambo

Kama makanzu hata papa anavaaa[emoji4][emoji4]

Sent using My COVID-19
 
Inabidi upigwe msasa uwe na uelewa wakutofautisha mambo

Kama makanzu hata papa anavaaa[emoji4][emoji4]

Sent using My COVID-19

Msasa kwa kutumia elimu dunia.
 
Unaanza tena, wewe ni yule ulieleta uzi humu kuwa CIA wamemuuwa kiduku, pia unaonyeshea ndio wale wanaosema kuwa Israel ni taifa teule mkiulizwa sababu za kusema hivyo huwa hawajibu wanakaa kimya
Sio wamechanganyikiwa bali wamerekani wahack system ya mawasiliano wakahisi ilikuwa ni adui, kuna mengi yatatokea subirini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jifunze kutambua yakwamba WAIRAN sio WAARABU.....

Sent using My COVID-19

Wote hao na nyie watu wa uzao mmoja wa madrassa, ukishaanza kuvaa hayo makanzu unashusha Uarabu, Uajemi, Usukuma na kuwa mtu wa takbiri mwanzo mwisho.
 
Wayahudi huwa hawapati elimu ya madrassa ya kujilipua mabomu.
Mkishajazwa mzuka kwenye misikiti mnawaza kulipuka, nyote hao wajemi, waarabu na maskini wakiafrika wavaa makanzu
halaf ww tajiri wawapi[emoji23][emoji23]

Elimu yako haijakukomboa Bado Mtumwa Wakifikra Namtumwa wakielimu pia

Halaf kwenye ukoo wenu wewe ndio unaongoza kwa elimu Nasikia [emoji16][emoji16][emoji4]

Sent using My COVID-19
 
halaf ww tajiri wawapi[emoji23][emoji23]

Elimu yako haijakukomboa Bado Mtumwa Wakifikra Namtumwa wakielimu pia

Halaf kwenye ukoo wenu wewe ndio unaongoza kwa elimu Nasikia [emoji16][emoji16][emoji4]

Sent using My COVID-19

Ukitumia elimu dunia hautanielewa, lazima kwanza uvae makanzu upate madrassa ndio uje unijadili.
 
Ivi hizi jamii za kiarabu zina matatizo gani? Yani wao kujiuaa ni kawaida daaaah
 
Jamaa huwa siwaelewi moja ya sifa kubwa ya Jeshi imara ni usahihi wa vitendo (Practical accuracy) sasa wao mara wadungue ndege yenye abiria, mara wanajichanganya wanamweka hatarini Generali wao Souleiman anauwawa kizembe zembe leo tena wanajilipua wenyewe. SASA hawa kwa huo Uoga walionao wakisikia midege ile ya US inaelekea kwao si watakufa wenyewe ?? Au watasema ni Friendly Fire?
Inanikumbusha wakati Fulani marekani ilipiga hospitali huko Afghanistan na kuua watu wasio na hatia 43 wakiwemo madaktari na wagonjwa.

Marekani iliomba samahani tu kwamba walikosa walikuwa wanalenga Taliban.
 
Lugha ya takbir allah akbar ina elimu gani zaidi ya mikanzu na mindevu na kujilipua, hivi umefuturu au unatema yote haya ukiwa umesota njaa.
Lugha ya nini ?!
Maana umeitamka vyema sana hongera kijana

Ila naendelea kukukumbusha kama hauielewi tofauti iliopo baina ya hao jamaa elimu yako haijakusaidia kitu

Namshkuru Mungu Nilishaftari MKUU...

Sent using My COVID-19
 
Back
Top Bottom