Meli ya Israel ya mafuta yapigwa kombora pwani ya Oman ikitokea Saudi, mabaharia wawili wauawa

Hilo ni jibu la wanamgambo wa Iran huko Syria

[emoji1130][emoji298]️[emoji1134] Iranian Al-Alam TV: The attack on the Israeli ship came in response to Israel's attack on Dabaa airport in Syria
#Iran/#Israel https://t.co/bXYpQUU7gi
 
bahat yenu ingekuwa Benjamin Netanyahu Yupo angeshawajibu
 
Also and most importantly, #Iran is not bothered to claim or deny its responsibility which means it is ready to take the challenge. That is a strategic decision.
Wazungu hawana habari tena na hao waarabu na wapersia, mafuta so dili tena, Marekani na washirika wake wanahamia pacific ambako china ina udhibiti mkubwa, Miaka 30 kutoka sasa jiandae kuwaona wahamiaji haramu wa ki-Iran wakiwa kwenye malori wakielekea south! We switching to solar and electricity!
Mtahaha sana na makobanzi yenu[emoji28][emoji28]
 
Kumbe ?
 
Back
Top Bottom