Meli ya Israel ya mafuta yapigwa kombora pwani ya Oman ikitokea Saudi, mabaharia wawili wauawa

Meli ya Israel ya mafuta yapigwa kombora pwani ya Oman ikitokea Saudi, mabaharia wawili wauawa

Wazungu hawana habari tena na hao waarabu na wapersia, mafuta so dili tena, Marekani na washirika wake wanahamia pacific ambako china ina udhibiti mkubwa, Miaka 30 kutoka sasa jiandae kuwaona wahamiaji haramu wa ki-Iran wakiwa kwenye malori wakielekea south! We switching to solar and electricity!
Mtahaha sana na makobanzi yenu[emoji28][emoji28]
Pasific kuna resources gani huko
 
Pasific kuna resources gani huko
Kule hamna kitu haswa sema uchina inatishia usalama wetu mabepari, tunaenda pale kumwongezea nguvu SK na Japan pia kuipa mamlaka kamili Taiwan na Hongkong!
China baadae atakuwa soko zuri na source of cheap labour! Ngoja kwanza tumalize kuiset dunia kupitia One World Order
 
Hili shambulio lingekuwa limefanywa na nchi zaifu ya kiarabu saa hizi Israel Angekua ashafanya mashambulizi kama mara 20 hivi ya airstrikes na ashaua mamia ya watu. Tatizo linakuja tu aliyefanya tukio ni Iran mbabe wa Middle East ndo maana Israel anatapatapa mara aende UN, mara anaomba dunia ichukue hatua, eti anaunda COALITION against Iran???? hahaha.
Kweli israel kakamatika safar hii.
 
Humu wamejaa wapotoshaji ambao wanakimbilia kukomenti bila kusoma habari kamili.

Hiyo Meli sio ya Israel,ni Meli ya UAE ambayo imesajiliwa nchini Israel(MANAGED BY ISRAEL).

Ndio maana kati ya watu waliouawa hakuna hata Muisrael mmoja. Waliokufa mmoja ni Mwenye Asili ya Romania na mwingine wa Uingereza.

Nawahakikishia,ingelikuwa kuna Muisrael hata mmoja amekufa mpaka sasa Israel angelikuwa kashalipa kisasi.
 
Mpambano ushaanza huko kati ya hezbollah na Israel. Mpaka sasa bado bila bila kipindi cha kwanza.
Ngoja tuone.
 
Humu wamejaa wapotoshaji ambao wanakimbilia kukomenti bila kusoma habari kamili.

Hiyo Meli sio ya Israel,ni Meli ya UAE ambayo imesajiliwa nchini Israel(MANAGED BY ISRAEL).

Ndio maana kati ya watu waliouawa hakuna hata Muisrael mmoja. Waliokufa mmoja ni Mwenye Asili ya Romania na mwingine wa Uingereza.

Nawahakikishia,ingelikuwa kuna Muisrael hata mmoja amekufa mpaka sasa Israel angelikuwa kashalipa kisasi.
Ndio umeongea nn MKUU sio ya Israel halaf imesajiliwa ISRAEL huyo mnamuabudu ISRAEL wenu hasumbui wakubwa anaonea watoto tuu

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Ndio umeongea nn MKUU sio ya Israel halaf imesajiliwa ISRAEL huyo mnamuabudu ISRAEL wenu hasumbui wakubwa anaonea watoto tuu

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Wewe ndio umejaa upumbavu.Meli iliyoshambuliwa ni meli ya Mizigo iliyosajiliwa nchini Israel lakini inamilikiwa na UAE. Hapa unachoshangaa ni kipi? Ungelisema tu hujui jinsi MARITIME PRINCIPLES zinavyofanya kazi ili ueleweshwe.

Kampuni za Usafirishaji majini zinaruhusiwa kusajiri meli zao katika taifa lolote lile na hata kupeperusha bendera ya nchi zilikosajiriwa. Mfano mdogo; Kuna Meli za Iran na Korea Kasikazini zilikamatwa zikiwa zinapeperusha bendera ya Tanzania kwenye bahari ya Hindi. Ilikuja kugundulika kwamba Meli hizo zilisajiriwa Zanzibar na hivyo zinaruhusiwa kupeperusha bendera ya Tanzania.

Ndio maana kila nchi kabla ya kusajiri meli za kampuni yoyote ile zinajiridhisha kwanza kama Meli hizo hazina Historia ya Uharifu.

Kwahiyo Meli iliyoshambuliwa ni Meli ya UAE ambayo ilisajiriwa nchini Israel,kati ya waliokufa,hakuna hata Muisrael hata mmoja zaidi ya Mwingereza mmoja na Mromania mmoja.

Na kukufahamisha tu ni kwamba,kama ni Meli ya Israel,hao raia wasio Waisraeli walikuwa wanafanya nini? Hiyo ni meli ya Kampuni ya nchini UAE ambayo inawafanyakazi kutoka sehemu yoyote duniani,sio Meli ya Israel kama mnavyopotosha.
 
Back
Top Bottom