Meli ya Israel yatekwa Yemen
Meli ya Israel imetekwa na Wapiganaji wa Houthi ikiwa na ma baharia wa Kijapani, hii imefuatia tangazo la hivi majuzi kuionya Israel kua meli zake zote zitalipuliwa zikikatisha Yemen [emoji779] [emoji1267][emoji1134]Israeli Ship Seizure Update

Israeli media confirmed that Houthis attacked a ship that is partially owned by an Israeli company and now have control of it.

The source claimed that there were no Israelis on the ship - only Japanese.

RiseGSView attachment 2818835
 
Hii meli ilikua imekodiwa na Japan ila inamilikiwa na kampuni ya Uingereza, imesheheni raia wa Ufilipino na mataifa mengine ila hakukua na Muisraeli, dunia ikiendelea kuwachekea hawa watu italia, nafikiri wanaofanya maandamano wanapaswa kuanza kuona matukio kama haya.
==========================

The Israel Defense Forces says the hijacking of a shipping vessel in the Red Sea by the Iran-backed Houthis in Yemen is a “very serious incident on the global scale.”

It says the ship was sailing from Turkey to India with an international civilian crew, without any Israelis aboard.

“This is not an Israeli ship,” the IDF adds.


The military directly blames the Houthis for the hijacking.
There are no Israelis among the crew aboard the Galaxy Leader ship. Arabic-language media outlets say there are 52 crew members aboard the vessel.

The Bahaman-flagged vessel is registered under a British company, which is partially owned by Israeli tycoon Abraham Ungar, who goes by Rami. The vessel was leased out to a Japanese company at the time of the hijacking.

The Iran-backed Houthis have vowed to target Israeli-linked vessels in the Red Sea.
 
Dini imeathiri pakubwa uwezo wa asili wa binadamu kufikiri.

Mwanafilosofia Kanti anakuambia "Morality and religion should never be associated, because it will bring different answers" pia akasema "Morality is bound to us and does not need religion to know it, what is good or bad basing on marality can only be identifid by Our Intellect"

Over.
 

Sijaelewa, sasa hayo Majapani mumeyateka yatawasaidiaje, kiaina mlikua mumeanza kupata sympathy kutoka kwa watu wasio mazombi ya hiyo dini, ila mumeanza kukamata mateka kote kote....mtauawa sana nyie.
 
Wewe umevimbiwa ubwabwa baada ya madrassa au nini? Uturuki kwenda India kunahusisha Israel wapi, mumechanganyikiwa kwa kweli....
Na mtakufa sana.
Sasa kama wanakufa wao, maamuzi ya kwao , wewe inakuhusu nini?
 
Wanavyowajua Yemen hii meli watachukuwa sana maana njia nzuri mpaka upite kwao😂
 
Ukishakuwa muislam ugaidi unakuwa rohoni mwako

Usidanganyike hakuna mabikira
Una laana, kwa hiyo anayepigwa kwake na anayepiga nani gaidi, alafu usichokijua ni kuwa hao wayahudi sio wakristo maana wakristo moja ya amri ni kutoua na kibinadamu kujua wazee, watoto na wanawake ni kitendo cha kinyama, hata wantama hupigana madume tena yenye nguvu wamama, watoto, watoto, wazee na wananchi wa kawaida hawana hatia walitakiwa wapigane na wanajeshi wenzao
 
Wamekimbia wote [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yanachokoza then yanajificha nyuma ya watoto na wanawake ila humo humo Myahudi anapiga pigo takatifu! Kwann hao wanaume wasijitokeze kama watoto wao wanauwawa
Kama wamekimbia mbona bado wazidi kuwatandika na vifaru vyao [emoji1787]
 
Back
Top Bottom