Meli ya kivita ya USA yafukuzwa baharini na jeshi maji la Iran

Meli ya kivita ya USA yafukuzwa baharini na jeshi maji la Iran

Wamjaribu kwanza tuone anazo au ana
Wanamuogopa
Nandio maana hua wanaishia tu kudhamini mavugu vugu ya ndani tokea baada ya uchaguzi wa mwaka 2009 pale iran
Ila mara zote hizo wamefeli mpaka hii ya mwaka 2022 baada ya kifo cha mahsa amin pia waka fail
Kuiingia iran kama walivyo fanya kwa iraq Afghanistan hawawezi
 
Seeing is believing,clip na maongezi yanadhihirisha,wakajitahidi kujitetea kua wapo kwenye international zone,Iran hawakutaka utani,amri moja tu,shusha helcopter na muondoke,wakawaambia na tayari kuna vikosi vinakuja huko,vikosi zaidi ya boti 4 faster vikawa vinaelekea kwenye meli yao,on the spot wakatii amri!

Ukitazama monitoring drones and satellite za hii clip,unaona kabisa Iran wangeweza kuizamisha meli mara moja na kuchoma ndege vita zaidi ya 20 ambazo zipo juu ya meli kwani target zote zilikua on alert
Kwa nini sasa hajafanya hivyo. Waswahili tabu sana. 😂😂😂
 
Petrodollar kwisha habari yake,
JamiiForums914827189.jpeg
 
Wanamuogopa
Nandio maana hua wanaishia tu kudhamini mavugu vugu ya ndani tokea baada ya uchaguzi wa mwaka 2009 pale iran
Ila mara zote hizo wamefeli mpaka hii ya mwaka 2022 baada ya kifo cha mahsa amin pia waka fail
Kuiingia iran kama walivyo fanya kwa iraq Afghanistan hawawezi

Naam,wamejaribu sana kutumia Mapinduzi ya harakati za maandamano na haki za binadamu ili wapindue utawala wa kiislamu na kuweka kibaraka wao ila wanafeli.

Wengi hawafahamu kua Iran hapo awali ilikua kibaraka wa Marekan,makundi yenye itikadi Kali dhidi ya USA na mambo yake yakaungana yakapindua serikali na kushika hatamu. USA na vibaraka wake NATO wakaitandika Iran vikwazo,ila chini ya Hayattollah Iran ikasonga mbele na kua Taifa pekee middle East lenye nguvu kubwa ya kijeshi na kiteknolojia na linazidi kudhihirisha hilo pasi uoga na USA anashindwa kuvamia maana Iran anazo hadi intercontinental missiles ndio maana walimbana asiwe na nyuklia wakihofia anaweza kutumia kwenye intercontinental missiles zake kuweka nuclear war head aipige Marekani.
 
Back
Top Bottom