Meli ya kivita ya USA yafukuzwa baharini na jeshi maji la Iran

Wamjaribu kwanza tuone anazo au ana
Wanamuogopa
Nandio maana hua wanaishia tu kudhamini mavugu vugu ya ndani tokea baada ya uchaguzi wa mwaka 2009 pale iran
Ila mara zote hizo wamefeli mpaka hii ya mwaka 2022 baada ya kifo cha mahsa amin pia waka fail
Kuiingia iran kama walivyo fanya kwa iraq Afghanistan hawawezi
 
Kwa nini sasa hajafanya hivyo. Waswahili tabu sana. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Naam,wamejaribu sana kutumia Mapinduzi ya harakati za maandamano na haki za binadamu ili wapindue utawala wa kiislamu na kuweka kibaraka wao ila wanafeli.

Wengi hawafahamu kua Iran hapo awali ilikua kibaraka wa Marekan,makundi yenye itikadi Kali dhidi ya USA na mambo yake yakaungana yakapindua serikali na kushika hatamu. USA na vibaraka wake NATO wakaitandika Iran vikwazo,ila chini ya Hayattollah Iran ikasonga mbele na kua Taifa pekee middle East lenye nguvu kubwa ya kijeshi na kiteknolojia na linazidi kudhihirisha hilo pasi uoga na USA anashindwa kuvamia maana Iran anazo hadi intercontinental missiles ndio maana walimbana asiwe na nyuklia wakihofia anaweza kutumia kwenye intercontinental missiles zake kuweka nuclear war head aipige Marekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…