Meli ya New Victoria yawasili salama Bukoba baada ya ukarabati mkubwa

Kwani pesa ni ya nani? Si ni pesa ya walipa kodi ambao ni wananchi wa kawaida sana
Praise team mko na kazi dah!
 
UKWELI UTABAKI UKWELI

Atakayetaka kupinga apinge; ukweli ni kwamba JPM anachapa kazi.

Ukarabati wa MV Victoria (sasa New MV Victoria Hapa Kazi Tu) ni hatua muhimu sana kwa uchumi wa Nchi yetu, na hasa Kanda ya Ziwa.

Kupingana na ukweli huu ni kujifurahisha tu; ukweli utabaki ukweli, JPM anachapa kazi.
 
Aongoze milele yeye kwa misingi ipi ? meli je siku ikizama!!! mtasema asiongoze milele? Wananchi wengine wanawashwa washwa.
 
KATIBA

Ukomo wa vipindi vya kuongoza ni suala la Katiba.

Katiba ni ya Watanzania; pia inaweza kufanyiwa marekebisho au kubadilishwa kabisa iwapo Watanzania wataamua.

Kama Watanzania wakiamua kuongeza muda wa Rais kuongoza Nchi yao nani atawazuia kufanya hivyo?
 
Aongoze milele yeye kwa misingi ipi ? meli je siku ikizama!!! mtasema asiongoze milele? Wananchi wengine wanawashwa washwa.
Watu wanafurahia meli yao kukarabatiwa na kuwa kama mpya wewe unaleta uchuro? Kwa nini unatabiri meli kuzama?????

Acha kutabiria mabaya nchi yako.
 
Kwani pesa ni ya nani? Si ni pesa ya walipa kodi ambao ni wananchi wa kawaida sana
Praise team mko na kazi dah!
Mbona Vasco Da Gama alikuwa anatumia hizo hizo kodi kuvinjari mlikuwa hamlalamiki?
 
Acha ushamba na ulimbukeni we taahira ! Hizo ni Kodi za wavuja jasho walalahoi , hamna cha kupengezwa magufuli sijui kenge gani ? ,Magufuli magufuli nonsense
You people a bunch of retards psychophants

Kwa hiyo wakupongeze wewe na jina lako la bandia? Sasa kwa nini basi unawafuatilia hao unaowaona sio kitu wala chochote? Jina tu kwanza unalotumia ni la kikoloni sasa nani mjinga hapo? Wewe mwerevu ambaye ni mtumwa au aliye huru?
 
Pesa ya serikali na walipa kodi watu wa vyama wanin!
 
Sijifichi kwenye siasa Mbowe amenikera sana kusema Chadema haina mtu wa kuachiwa chama kwenye nafasi ya Uenyekiti.
Eti wote ni wasaliti .
Hii haikubaliki .
Kuna watu walikipigania sana chama na bado wanakipigania Chama.
Mfano Mdude Chadema amepata misukosuko bila kujali kuwa anapata nini lakini baadae ataitwa msaliti na hana watu wanaomuunga mkono na atauza chama.

Mwenyekiti kama Huyo asiyejali wapigania Chama wenzake na kujali michango yao ya hali na Mali hawezi kamwe kujua mambo mazuri yanayofanywa na Rais wala mtu yeyote zaidi yake mwenyewe . Huyu ana faida gani kugombea kama sio kutupotezea tu muda na kodi zetu.!!
 

Uko sahihi, mimi binafsi msimamo wangu ni kuwa kiongozi yoyote hapaswi kukaa madarakani tena nafasi moja zaidi ya miaka 10. Kiongozi yoyote yule dunia hii anapokaa madarakani zaidi ya miaka 15, lazima ataanza kuongoza kwa mizengwe. Ni ukweli ulio wazi kuwa Mbowe hakustahili tena kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm, hasa baada ya kosa la wazi la kumpokea Lowassa. Msimamo wangu huu uko wazi na nimepinga kabisa kuwahi Mbowe hastahili kuwa mwenyekiti wa cdm tena. Tatizo lako ni pale jambo ambalo hata halimuhusu Mbowe, unachafua pointi zako nzuri kwa kumtaja humo ndani, bila sababu yoyote ya msingi.
 
Hii yenyewe imegharimu Tsh billion 23 kwa ukarabati pekee, nimejiuliza Meli mpya ni kiasi gani?
 
Hahaaaaaaa.
Hua nakereka sana nikikumbuka jinsi Chama kilivyojengwa na Viongozi kwa nyakati tofauti na wakaachia wengine ili kuondo dhana ya Ukabila kwenye Chama lakini Mbowe kwa makusudi anatumiwa na makundi ndani ya CCM kuhodhi chama wakimdanganya kuwa watajiunga na Chama lakini ikiwa yeye ndio mwenyekiti mana wengine hawatabiriki hasa kupokea wale waliotemwa CCM.

Napenda sana kuchafua hali ya hewa kuwapandisha hasira wale wote waliohujumu Demokrasia ya nchi hii iliyokua inasomwa na kuwafunza wasomi kupitia Chadema.
Leo hii kinekua ni chama cha kidikteta na kinatuhumiwa kuwa ni Mali ya mtu binafsi .
Nitaachaje kumsema huyu mtu ,Mbowe.
Matatizo yote yanatokana na yeye mwenyewe.

Chama chenye wanachama zaidi ya mil. 5 huwezi kuwazuia wanachama wake wasiandamane kupinga mwenyekiti wao kuvunjwa mguu au kupigwa risasi.
Wanachama wake kutekwa au kuuawa na mtu yeyote.
Jibu ni kuwa huyo Mbowe ameshindwa kukifanya chama kuwa cha umma kama ilivyokua enzi za Dk Slaa ndio maana mpaka wenyeviti wa vijiji wanamtishia nyau na anakimbilia kulia lia huku akiendelea kula ruzuku wakati chama kinapukutika.
 
Meli ya MV Victoria ilikuwepo tangu miaka ya 1950s na iliendelea kuwepo hadi leo. Tatizo ni wizi, rushwa na hujuma hususan nyakati za tawala za Mkapa na Kikwete.

Kwamba utawala wa Magufuli umesimamia ukarabati wa meli iliyohujumiwa na watangulizi wake (chama ni kile kule) hakuwezi kuwa matokeo ya kushangiliwa nankupongezwa na na wananchi isipokuwa, kwanza, Wana CCM, na pili, kundi la Magufuli ndani ya CCM (CCM Mpya) dhid ya wapinzani wake ndani ya Chama hicho hicho.

Wananchi wanabaki kuwa watazamaji tu wa mpambano huu kwa kuwa ndio wamekuwa wakiumia Kwa kukosa usafiri wa meli tangu 2014 MV. Victoria ilipoharibika enzi hizo Mwakyembe akiwa waziri wa mawasiliano na usafirishaji. Mwakyembe alisema wakati huo kuwa Serikali ilikuwa imekosa kupata tzs bilioni 2 kununua spare iliyokuwa inatakiwa.

Sasa wananchi washangilieje/wapongezeje kukarabatiwa kwa meli baada ya miaka 6?
 
Mkuu Jiandae kisaikolojia maana utaugua magonjwa mazito,jpm is the life president. #jpm for life presidency.

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Kwa sababu ya meli moja? Halafu unaowaombea watu mabaya kana kwamba wewe utaishi milele sio, unaiombea mabaya tanzania kwa kutaka mtu akae urais milele..unajua madhara yake kwa nchi..
foolish you, na karma ikurudie

halafu mnaotumia tecno wengi wenu hua mna akili mbovu sana
 
Povu lote hili kwa lipi mkuu? Relax

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
CCM niwajanja sana. Kila rais anakuja na style yake ya uongozi na kila mtu anafanya kwa uwezo wake. The party is very dynamic ndo maana watu hawaichoki. Upinzani lazima wakae chini wajipange sio kupinga kila kitu hata miradi ya maji ni kupinga tu sasa sijui unataka jimboni urudi kufanya nini kama hata vitu nya muhimu unapinga. Its like kupinga ni fashion show.
 
Kama anayejenga miundombinu ndiye anayetakiwa kutawala basi tuwaite wamarekani au wajerumani waje watutawale, kutakuwa na miundombinu sio ya kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…