Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 6,076
- 15,685
Binadamu wabishi sana. War zone anataka apite kimazoeaWaliambiwa hawa ,🤣🤣
Saudi alitegemea msaada wa washirika wake. Nao hawajampa sapoti anapigwa na Houthi saiziHii vita bado mbichi sana.
Na inapoelekea saudi arabia ndie atakaekula hasara sana.
Maana na yeye kaingizwa vitani kwa ujanja tu. Ili apukutishweee , apoteze alivyonavyo
Saudi alitegemea msaada wa washirika wake. Nao hawajampa sapoti anapigwa na Houthi saizi
Imegongwa meli yenye usajili wa SingaporeHamna meli iliyozamishwa
Irani inawapelekea motoMeli ya container Mv GFS Pride imezama kwenye mfereji wa Strait of Hormuz baada ya kupita sehemu yenye mabomu na jeshi la wana mgambo wa Iran walitoa taadhari meli isipite ikakaidi na kupigwa kombora. Hakuna taarifa yoyote ya uokoaji wala hali ya wafanyakazi meli.
Meli hii ina usajili wa Singapore na ilikuwa imetoka Karachi-Pakistan ikielekea Fujairah-UAE. Ikiwa imebeba container 2824 (20TEU).Hali ya biashara ya meli katika eneo hili kila siku inazidi kuwa mbaya Iran bado wanaweka vikwazo meli kupita.
Chanzo : DeccanHerard na World Shipping Association
Container ship sinks near Hormuz after being hit by projectile: Report
Singapore flagged container ship GFS Pride sinks near Strait of Hormuz following projectile hit.www.deccanherald.com
View attachment 3690674View attachment 3690675
Iran hawana hata noma ukiwalipa ushuru wao tena unapewa guard kabisa wa kukuongozaMeli ya container Mv GFS Pride imezama kwenye mfereji wa Strait of Hormuz baada ya kupita sehemu yenye mabomu na jeshi la wana mgambo wa Iran walitoa taadhari meli isipite ikakaidi na kupigwa kombora. Hakuna taarifa yoyote ya uokoaji wala hali ya wafanyakazi meli.
Meli hii ina usajili wa Singapore na ilikuwa imetoka Karachi-Pakistan ikielekea Fujairah-UAE. Ikiwa imebeba container 2824 (20TEU).Hali ya biashara ya meli katika eneo hili kila siku inazidi kuwa mbaya Iran bado wanaweka vikwazo meli kupita.
Chanzo : DeccanHerard na World Shipping Association
Container ship sinks near Hormuz after being hit by projectile: Report
Singapore flagged container ship GFS Pride sinks near Strait of Hormuz following projectile hit.www.deccanherald.com
View attachment 3690674View attachment 3690675
US wanakataza hizo meli kulipa toll/transit fees, ukithibitika umetoa pesa kwa Iran ili upite Hormuz, US wanatoa vikwazo vikali...Iran hawana hata noma ukiwalipa ushuru wao tena unapewa guard kabisa wa kukuongoza
Hawa wanaochezea vyuma ni wale wanaotaka kupita bila kulipa wanaishi kimazoea wakati hapo hormuz mambo yamebadilika na chanzo cha yote hayo ni mmarekani
Basi waache waendelee kula vyuma tu maana kampuni yetu ililipa kila kitu tumepita hapo mwezi uliopita na tukapewa guard kabisa wa kutuongoza mpaka nje jamaa akashukaUS wanakataza hizo meli kulipa toll/transit fees, ukithibitika umetoa pesa kwa Iran ili upite Hormuz, US wanatoa vikwazo vikali...
Huo ni uonevu na uhalifu uliohalalishwa, Iran ina haki ya kutozesha transit fees, kwanza sehemu yenyewe inaitwa persian gulf, jina tu linaelezea kwamba wana haki kuzuia sababu ni eneo lao...
US inapofanya uhalifu inaonekana si uhalifu, mataifa mengine yanapofanyiwa uonevu na kutaka kujitetea wanatangazwa kama wahalifu, hii dunia haipo fair...
Kwa hali hio ndio maana Trump ameona akanunue mafuta Russia.. ni aibu..Basi waache waendelee kula vyuma tu maana kampuni yetu ililipa kila kitu tumepita hapo mwezi uliopita na tukapewa guard kabisa wa kutuongoza mpaka nje jamaa akashuka