STRUGGLE MAN JF-Expert Member Joined May 31, 2018 Posts 8,633 Reaction score 16,586 May 8, 2022 #181 mjogoro said: Kwann hii habari haijawa maarufu duniani? Click to expand... Wanatoa katika magazeti ya The Sun [emoji23][emoji23]
mjogoro said: Kwann hii habari haijawa maarufu duniani? Click to expand... Wanatoa katika magazeti ya The Sun [emoji23][emoji23]
George Betram JF-Expert Member Joined Oct 10, 2015 Posts 4,672 Reaction score 6,272 May 8, 2022 #182 sniper92 said: Kuna nyengine imelipuliwa uko amkeni amkeni next stop tuna ipiga ikulu ya kremlin na kitu kizito Click to expand... Tena ingekuwa vizuri sana mngejaribu kuipiga Kremlin siku ya kesho, yaani ingenoga sana.
sniper92 said: Kuna nyengine imelipuliwa uko amkeni amkeni next stop tuna ipiga ikulu ya kremlin na kitu kizito Click to expand... Tena ingekuwa vizuri sana mngejaribu kuipiga Kremlin siku ya kesho, yaani ingenoga sana.
mohamedidrisa789 JF-Expert Member Joined Jun 20, 2015 Posts 5,258 Reaction score 22,552 May 8, 2022 #183 Ni kwa sababu ya uwongo mjogoro said: Kwann hii habari haijawa maarufu duniani? Click to expand...
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 70,791 Reaction score 98,334 May 8, 2022 #184 Tumekula kichwa meli nyingine Snake Island