MT255
JF-Expert Member
- May 3, 2012
- 3,606
- 4,914
Manyoya[emoji53]Hizi dharau sasa, fanya kweli Putin! Piga popote pale, iwe hospitali, shuleni, kanisani, msikitini, piga popote ili mradi pawe Ukraine!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Manyoya[emoji53]Hizi dharau sasa, fanya kweli Putin! Piga popote pale, iwe hospitali, shuleni, kanisani, msikitini, piga popote ili mradi pawe Ukraine!
Ingekuwa ni Mrusi na mataifa mengine tungetarajia hayo unayosema.Lakini kwa vile Marekani taifa lililolaaniwa kwa kuwapa nguvu mayahudi naye anajitia kimbele mbele katika hii vita sina shaka yoyote Mrusi ndiye atakayeibuka kidedea. Wote wawili si wema.Lakini Marekani ni muovu zaidi.Na katika ahadi za Mwenyezi Mungu daima haimpi nguvu aliye dhalimu.Putin sio binadam ndani yake anaongozwa na roho ya ukatili ambao muda sio mrefu utamgeukia. Nataka dunia yote ijuwe Mungu yupo Putin must go by God sake
Utatukanwa wenzako wanapambana ile mbayaa. Mameli ya kisasa wanayatumia. Majeneral nao wamepitwa na wakati wamekaribia kustaafuHii vita mbona ni kama operesheni ya Russia kudecommision baadhi ya silaha zake ambazo zimepitwa na wakati?
haha kwanini ni Putin na sio urusiPutin = NATO , sizitaki mbich hiz
utoto ni wewe unayezani kufungiwa akaunti ndio sululisho kuna option inaitwa "create account" naweza kukufungulia id kwa ajili yako hadi uchukie hii platform.moderators waanze kusafisha watu km ww , mnaharibu radha ya jf , jf ilikuwa tamu enzi za kila mtu anashusha nondo mpk unahisi umefika sehemu husika , ila watu wa jamii yetu mnaleta utoto wa fb huku jf
Bila shaka utakua unavaa kubaziIngekuwa ni Mrusi na mataifa mengine tungetarajia hayo unayosema.Lakini kwa vile Marekani taifa lililolaaniwa kwa kuwapa nguvu mayahudi naye anajitia kimbele mbele katika hii vita sina shaka yoyote Mrusi ndiye atakayeibuka kidedea. Wote wawili si wema.Lakini Marekani ni muovu zaidi.Na katika ahadi za Mwenyezi Mungu daima haimpi nguvu aliye dhalimu.
HahahahaHizi dharau sasa, fanya kweli Putin! Piga popote pale, iwe hospitali, shuleni, kanisani, msikitini, piga popote ili mradi pawe Ukraine!
kwann ufikirie mbali kote huko , ukijiheshimu unapoteza nn ? hii ni sehemu ya kubadilishana mawazo na sio sehemu ya kulazimisha fikra zako kwa wengine , ukiona mtu haupo nae epuka lugha chafu tupo watu wazima humu japo sijui rika lako , so reply like adultutoto ni wewe unayezani kufungiwa akaunti ndio sululisho kuna option inaitwa "create account" naweza kukufungulia id kwa ajili yako hadi uchukie hii platform.
hahahaaaaKuna nyengine imelipuliwa uko amkeni amkeni next stop tuna ipiga ikulu ya kremlin na kitu kizito
Ina maana hiyo meli haiungui?Wenzenu wanakataa kupigana na kueka silaha chini na kujisalimisha nyinyi ndio kwanza mnakuja na ngonjera [emoji16]View attachment 2213783
sasa Kama upo kwa ajili ya kubadilisha mawazo mbona hayabadiliki sasa. Unadhani kila mtu humu anaogopa bankwann ufikirie mbali kote huko , ukijiheshimu unapoteza nn ? hii ni sehemu ya kubadilishana mawazo na sio sehemu ya kulazimisha fikra zako kwa wengine , ukiona mtu haupo nae epuka lugha chafu tupo watu wazima humu japo sijui rika lako , so reply like adult
Achana moscova hiyo imezushiwa kuzamishwa mwanzo kabisa wa vitameli iliyolipuliwa mwanzon ni tofauti na hii
So humu TU Hadi cnn hawana picha mkuuMpka muda huu uzi hauna picha ya meli ikiungua?[emoji1]
kujitambua ni pridesasa Kama upo kwa ajili ya kubadilisha mawazo mbona hayabadiliki sasa. Unadhani kila mtu humu anaogopa ban
ok sir
Urusi ataishia kumalizwa. Bora aondoe majeshi yake kwenye nchi ya watu.
Meli ya Urusi maarufu Kama Admiral Grigorovich ya Wanamaji inaungua karibu na kisiwa cha Zmiiny katika Black sea , ndege za uokoaji za Urusi zinaendelea na juhudi za kuzima moto
View attachment 2213776
The Admiral Grigorovich class, ambayo pia ujulikana Kama Krivak IV class, Russian designation Project 11356R/М, ilijengwa na the Yantar Shipyard huko Kaliningrad Kwa ajili ya shughuli za kivita za Urusi majini ( the Russian Navy and Indian Navy), Kwa gharama ya 450-500 mill$. Kwa viwango Talwar class ipo inaungua sasa
View attachment 2213778
Chanzo cha mlipuko bado hakijajulikana
Habari inawakera warusi wa Kibaigwa ila hatuna jinsi
Britanicca