Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una mapenzi mazito sana na Russia maskini...nakuonea huruma bwana unaempenda kila siku anachezea nakoz 🤣🤣Labda uwende ww ukawaukize warusi
Acha kutatalika kama mabisi Kama hutaki basi kaa kwa kutulia ule mlenda wakoHii twitter post ni sehemu ya propaganda!! Hakuna kitu kama hicho. Haiwezekani habari kubwa kama hiyo isionekane kwenye vyombo vikubwa vya habari vya magharibi kama CNN na BBC. Pia Al jazeera hawana habari kama hiyo!! Ni mtu tu kaamua kupost habari hii kama sehemu ya vita vya kisaikologia!!
Usiamishe magoli.....taarifa huko meli inaungua Kazime moto kenge wahedHawa jamaa utawajua kabisa kama wanamaumivu makubwa na wamepoteza, si wao tu hata NATO kwa ujumla, mavikwazo yamewaishia wanaona Urusi bado anaendeleza operations zake hata habari hana, mpka papa kaenda kumuangukia Putin bado kagoma [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23], sasa basi wakiripua kihelikopta kimoja wanavyofurahi na kupiga mayoe utazani wameshinda vita, yaani inakua ndio nyuzi zao za kujifariji kuwa tumepiga kitu flani yaani mpaka bbc ndio habari yao kubwa[emoji16], sasa ujue kuwa jamaa wanakula kichapo sana wakipata wao mara1 wanasema Urusi kashindwa vita kwa kitu chake kimoja kudunguliwa
Hiyo meli ni mpya kabisaHii vita mbona ni kama operesheni ya Russia kudecommision baadhi ya silaha zake ambazo zimepitwa na wakati?
Sasa bro si aibu hii wenzie wali clear anga la iraq ndani ya wiki hakuna nzi paa yeye hadi kwenye huu mwezi Ukrain bado anadunda angani?Oyaaaa [emoji23][emoji23]
[emoji91][emoji91][emoji91]the russian Ministry of defense announced that a su-25 and a mig-29 of the ukrainian Air Force Were Shot down in the luhansk region [emoji91][emoji91][emoji91]
unajikana tena we lesbianUnapenda sana kuongelea ushoga ndugu yangu. Wewe ni mmoja wao bila shaka
Habari inawakera warusi wa Kibaigwa ila hatuna jinsi
Mrusi wa Mchbawima umeumizwa kwerikweri.!Hizi dharau sasa, fanya kweli Putin! Piga popote pale, iwe hospitali, shuleni, kanisani, msikitini, piga popote ili mradi pawe Ukraine!
HaijazibitikaDownload habari saa 7 mchana Ujerumani, Putin anasema mataifa ya ULAYA na US wanacherewesha operation yake, malengo yapo palepale na wanachokifanya ni Vita ya Dunia ya Njaa .
MADHARA :
UK Chama tawala kimeshindwa vibaya ktk Serikari za Mitaa na Majimbo ni sababu ya mfumuko wa bei iliyokithiri.
USA, USHAWISHI WA RAIS WAO umeporomoka baada ya Wananchi wake kulishwa propaganda bila uhalisia ktk uwanja wa Vita.
Putin = NATO , sizitaki mbich hiz***** sasa Putin mbona una putout tena. Mambo ya kuremba mashoga mwishowe nawe uwe kama wao.
Khaa kuungua Moto kitu gani mbona karume na kariakoo paliungua.
Putin go fire fire fire (ila Leo tumekamatika)
moderators waanze kusafisha watu km ww , mnaharibu radha ya jf , jf ilikuwa tamu enzi za kila mtu anashusha nondo mpk unahisi umefika sehemu husika , ila watu wa jamii yetu mnaleta utoto wa fb huku jfunajikana tena we lesbian
meli iliyolipuliwa mwanzon ni tofauti na hiiHiyo meli imezushiwa kupigwa Neptune tokA mwanzoni mws Vita. Ni ajabu hili limerudi Tena na pengine Ni ukweli ama Ni uzushi.
Nb. Meli hi inayozushiwa anguko Ni meli ya kisasa na mpya zaidi katika Russian Marina .
Hivyo basi Kama itakua kweli Kama rumours zinavyosema basi Ni pico kubwa RF
Meli ya Urusi maarufu Kama Admiral Grigorovich ya Wanamaji inaungua karibu na kisiwa cha Zmiiny katika Black sea , ndege za uokoaji za Urusi zinaendelea na juhudi za kuzima moto
View attachment 2213776
The Admiral Grigorovich class, ambayo pia ujulikana Kama Krivak IV class, Russian designation Project 11356R/М, ilijengwa na the Yantar Shipyard huko Kaliningrad Kwa ajili ya shughuli za kivita za Urusi majini ( the Russian Navy and Indian Navy), Kwa gharama ya 450-500 mill$. Kwa viwango Talwar class ipo inaungua sasa
View attachment 2213778
Chanzo cha mlipuko bado hakijajulikana
Habari inawakera warusi wa Kibaigwa ila hatuna jinsi
Britanicca