Meli ya pili ya Urusi inaungua moto, Admiral Grigorovich (Navy) wanaendelea kuokoa

Hakuna taarifa kama hizi Mitandaoni. Anaweza kuwa miungoni mwa team za propaganda za West. Naona taarifa za upotoshaji phasebook, BBC, CNN, Fox news, tuzihakiki toka France 24 hrs news, Russia , CHINA, ktk vyanzo vyote hivyo hakuna habari Kama hiyo.
si hao hao walichelewa kutupasha habari hata meli za awali zilipoungua
 
Kajitakia, ile mitambo iliyoidhinishwa na congress toka Marekani kazi inaanza kuonekana
Watu wameanza kutumia howitzer, hatari sana hapo Ukraine. Hii vita hata ikiishia hapa, tayari Urusi kishapata pigo kubwa tu. Na hawa jamaa wataendelea kumtafuna Mrusi.
Screenshot_20220506-162928_Twitter.jpg
 
Meli ya Urusi maarufu Kama Admiral Grigorovich ya Wanamaji inaungua karibu na kisiwa cha Zmiiny katika Black sea , ndege za uokoaji za Urusi zinaendelea na juhudi za kuzima moto

View attachment 2213776

The Admiral Grigorovich class, ambayo pia ujulikana Kama Krivak IV class, Russian designation Project 11356R/М, ilijengwa na the Yantar Shipyard huko Kaliningrad Kwa ajili ya shughuli za kivita za Urusi majini ( the Russian Navy and Indian Navy), Kwa gharama ya 450-500 mill$. Kwa viwango Talwar class ipo inaungua sasa

View attachment 2213778
Chanzo cha mlipuko bado hakijajulikana

Habari inawakera warusi wa Kibaigwa ila hatuna jinsi

Britanicca
Putin lazima azamishwe na hajutie maamuzi yake ya kumpuuza kiongozi wa dunia Papa.
 
Meli ya Urusi maarufu Kama Admiral Grigorovich ya Wanamaji inaungua karibu na kisiwa cha Zmiiny katika Black sea , ndege za uokoaji za Urusi zinaendelea na juhudi za kuzima moto

View attachment 2213776

The Admiral Grigorovich class, ambayo pia ujulikana Kama Krivak IV class, Russian designation Project 11356R/М, ilijengwa na the Yantar Shipyard huko Kaliningrad Kwa ajili ya shughuli za kivita za Urusi majini ( the Russian Navy and Indian Navy), Kwa gharama ya 450-500 mill$. Kwa viwango Talwar class ipo inaungua sasa

View attachment 2213778
Chanzo cha mlipuko bado hakijajulikana

Habari inawakera warusi wa Kibaigwa ila hatuna jinsi

Britanicca
Weka picha au video au unaleta fake newz.
 
Yaani tunahasira na nyie vibwengo wa Ukraine
 
Back
Top Bottom