Meli ya pili ya Urusi inaungua moto, Admiral Grigorovich (Navy) wanaendelea kuokoa

Meli ya pili ya Urusi inaungua moto, Admiral Grigorovich (Navy) wanaendelea kuokoa

Download habari saa 7 mchana Ujerumani, Putin anasema mataifa ya ULAYA na US wanacherewesha operation yake, malengo yapo palepale na wanachokifanya ni Vita ya Dunia ya Njaa .
MADHARA :
UK Chama tawala kimeshindwa vibaya ktk Serikari za Mitaa na Majimbo ni sababu ya mfumuko wa bei iliyokithiri.
USA, USHAWISHI WA RAIS WAO umeporomoka baada ya Wananchi wake kulishwa propaganda bila uhalisia ktk uwanja wa Vita.
Huyu ni chawa wa Putin anakiri kuwa mambo yameenda mrama,halafu wewe upo huko kisemvule unapinga
Screenshot_20220506-015054.jpg
Screenshot_20220506-015018.jpg
 
Oyaaaa [emoji23][emoji23]

[emoji91][emoji91][emoji91]the russian Ministry of defense announced that a su-25 and a mig-29 of the ukrainian Air Force Were Shot down in the luhansk region [emoji91][emoji91][emoji91]
Si mlisema hakuna ndege ya Ukraine inayoruka, Halafu siku hizi imekuwa habari kubwa Russia kuangusha ndege ya Ukraine?
 
Meli ya Urusi maarufu Kama Admiral Grigorovich ya Wanamaji inaungua karibu na kisiwa cha Zmiiny katika Black sea , ndege za uokoaji za Urusi zinaendelea na juhudi za kuzima moto

View attachment 2213776

The Admiral Grigorovich class, ambayo pia ujulikana Kama Krivak IV class, Russian designation Project 11356R/М, ilijengwa na the Yantar Shipyard huko Kaliningrad Kwa ajili ya shughuli za kivita za Urusi majini ( the Russian Navy and Indian Navy), Kwa gharama ya 450-500 mill$. Kwa viwango Talwar class ipo inaungua sasa

View attachment 2213778
Chanzo cha mlipuko bado hakijajulikana




Habari inawakera warusi wa Kibaigwa ila hatuna jinsi

Britanicca

Chanzo ni ukraine tu, "hakijajulikana" vipi sasa?
 
Hii vita mbona ni kama operesheni ya Russia kudecommision baadhi ya silaha zake ambazo zimepitwa na wakati?
 
Back
Top Bottom