Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Hii vita itaigharimu sana Urusi.Jamaa waliidharau hii ishu Lakin ni ngumu Urusi kutoboa na mbaya zaidi impact zitaanza kuonekana mwezi ujao! We are not concerned na loss za Ukraine, but any loss to Russia matter in our side
Huenda Warusi wakaanza kujiuliza ikiwa Mzee Putin anapaswa kubaki Kremlin, anguko lake lipo njiani.