Hii vita itaigharimu sana Urusi.Jamaa waliidharau hii ishu Lakin ni ngumu Urusi kutoboa na mbaya zaidi impact zitaanza kuonekana mwezi ujao! We are not concerned na loss za Ukraine, but any loss to Russia matter in our side
Ukraine ataipiga Russia na atakomboa majimbo yote, na wale askari waliozungukwa kwenye kile kiwanda watatoka wote.[emoji23][emoji23][emoji23]oyaaa acha kuwajejea basi
Labda uwende ww ukawaukize warusiHii vita itaigharimu sana Urusi.
Huenda Warusi wakaanza kujiuliza ikiwa Mzee Putin anapaswa kubaki Kremlin, anguko lake lipo njiani.
Oyaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] Inda sio nzuri katika kipindi hiki cha majozi [emoji23], sisi tunajitahid kuleta nyuzi zetu za Ukraine anashinda vita ila ww unatujejea alooo [emoji16][emoji23]
Ukraine ataipiga Russia na atakomboa majimbo yote, na wale askari waliozungukwa kwenye kile kiwanda watatoka wote.
Hakuna taarifa kama hizi Mitandaoni. Anaweza kuwa miungoni mwa team za propaganda za West. Naona taarifa za upotoshaji phasebook, BBC, CNN, Fox news, tuzihakiki toka France 24 hrs news, Russia , CHINA, ktk vyanzo vyote hivyo hakuna habari Kama hiyo.Meli ya Urusi maarufu Kama Admiral Grigorovich ya Wanamaji inaungua karibu na kisiwa cha Zmiiny katika Black sea , ndege za uokoaji za Urusi zinaendelea na juhudi za kuzima moto
View attachment 2213776
The Admiral Grigorovich class, ambayo pia ujulikana Kama Krivak IV class, Russian designation Project 11356R/М, ilijengwa na the Yantar Shipyard huko Kaliningrad Kwa ajili ya shughuli za kivita za Urusi majini ( the Russian Navy and Indian Navy), Kwa gharama ya 450-500 mill$. Kwa viwango Talwar class ipo inaungua sasa
View attachment 2213778
Chanzo cha mlipuko bado hakijajulikana
Habari inawakera warusi wa Kibaigwa ila hatuna jinsi
Britanicca
Israel itatuma Mossad wakamfutilie mbali Putin au nasema uongo.Hii vita itaigharimu sana Urusi.
Huenda Warusi wakaanza kujiuliza ikiwa Mzee Putin anapaswa kubaki Kremlin, anguko lake lipo njiani.
[emoji1787][emoji1787][emoji23]Israel itatuma Mossad wakamfutilie mbali Putin au nasema uongo.
Vijana ni wavivu wa kufatilia habariHakuna taarifa kama hizi Mitandaoni. Anaweza kuwa miungoni mwa team za propaganda za West. Naona taarifa za upotoshaji phasebook, BBC, CNN, Fox news, tuzihakiki toka France 24 hrs news, Russia , CHINA, ktk vyanzo vyote hivyo hakuna habari Kama hiyo.
Download habari saa 7 mchana Ujerumani, Putin anasema mataifa ya ULAYA na US wanacherewesha operation yake, malengo yapo palepale na wanachokifanya ni Vita ya Dunia ya Njaa .Labda uwende ww ukawaukize warusi
😹Oyaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] Inda sio nzuri katika kipindi hiki cha majozi [emoji23], sisi tunajitahid kuleta nyuzi zetu za Ukraine anashinda vita ila ww unatujejea alooo [emoji16]
Meli ya Urusi maarufu Kama Admiral Grigorovich ya Wanamaji inaungua karibu na kisiwa cha Zmiiny katika Black sea , ndege za uokoaji za Urusi zinaendelea na juhudi za kuzima moto
View attachment 2213776
The Admiral Grigorovich class, ambayo pia ujulikana Kama Krivak IV class, Russian designation Project 11356R/М, ilijengwa na the Yantar Shipyard huko Kaliningrad Kwa ajili ya shughuli za kivita za Urusi majini ( the Russian Navy and Indian Navy), Kwa gharama ya 450-500 mill$. Kwa viwango Talwar class ipo inaungua sasa
View attachment 2213778
Chanzo cha mlipuko bado hakijajulikana
Habari inawakera warusi wa Kibaigwa ila hatuna jinsi
Britanicca
Kabisaa yaaani [emoji1787][emoji1787] tahifa teure[emoji81]
[emoji81]
Nakuambiaje Israel akiingia ataipiga Russia vibaya mno, Niliona Russia wanaomba msamaha, hv we unajua Israel, hilo ni taifa teule, hao ukiwagusa umeisha.
Hapa warusi kuna mahali tunahujumiwa
Ni kiwanda cha chemical kinawaka Muda huuKuna soko kubwa nalo linawaka moto muda huu
Hahahaha [emoji1787][emoji23][emoji1787]Israel inaweza kuipiga dunia nzima, kwa wakati mmoja, sasa wakienda Ukraine, Russia itapigwa siku 3 tu.
hiro ni taifa teure, ukireta za ujuaji wanakumaliza, israel ndio wametuma hiro shamburizi, Putin ajipange,Kabisaa yaaani [emoji1787][emoji1787] tahifa teure
[emoji23][emoji23][emoji23] dohWenzenu wanakataa kupigana na kueka silaha chini na kujisalimisha nyinyi ndio kwanza mnakuja na ngonjera [emoji16]View attachment 2213783