Meli yenye Wahindi yapigwa na drone ya Iran

Waislamu kama raia huko India wanapata tabu toka kwa wahindi hasa zama hizi ambapo waziri mkuu anatoka chama chenye sera za Kihindu

Mkianzisha maugomvi lazima mpigwe, najua hamtakawia kupiga meli yenye Wachina....
 
Hivi ni fikra gani hizi za kila anayekuwa upande wa waarab au Iran kuhisi ni Mwislam? Mimi mara zore huwa na simama na wanaoonewa haijalishi imani au itikadi yao
 
Ukijua una deal na nanani hupati shida wewe bado hujajua unadeal na nani
 
Hivi ni fikra gani hizi za kila anayekuwa upande wa waarab au Iran kuhisi ni Mwislam? Mimi mara zore huwa na simama na wanaoonewa haijalishi imani au itikadi yao

HAMAS kwenye agano lao wamendika kabisa kwamba nia yao ni kuifuta Israel kama ambavyo uislamu umeagiza kwenye kitabu chao, hivyo hakuna mtu asiye muislamu anaweza kuunga mkono hizi jitihada zao...

main-qimg-59203067b5263c40a82fd971fefe35de
 
Kwa hiyo huu ndio uthibitisho unaweza kuutumia kama ushahidi kuwa hakuna asiye kuwa Muislamu anayeúnga mkono Palestina?
 
Kwani,hapo Iran analaumiwa kwa lipi? Kama meli ina uhusiano na India,si ina maana kuna watu wemeitolea taarifa! Kwanza wenye kulalamika,watafute wachawi,wanaowasaliti na kutoa taarifa.
 
Back
Top Bottom