Meli za kivita za Marekani na miji ya Israel kuendelea kushambuliwa Mashariki ya Kati ni ujumbe mzito wa mustakbali wa usalama wa dunia

Meli za kivita za Marekani na miji ya Israel kuendelea kushambuliwa Mashariki ya Kati ni ujumbe mzito wa mustakbali wa usalama wa dunia

Yesu aliamua ajitoe peke yake.Kwani unamuonea wivu?
Alijitoa peke yake au walimuua,aliomba kwa Mungu wake,kuwa kikombe cha mauti,kimuepuke,,lakini hawa magaidi wakamtesa,wakamdhihaki,wakamvalisha nepi,wakamtemea mate,wakampiga mkuki,wakamsulubu,wakamuua,juu ya kuwa alikuja kuwakomboa wana Israel.
 
Alijitoa peke yake au walimuua,aliomba kwa Mungu wake,kuwa kikombe cha mauti,kimuepuke,,lakini hawa magaidi wakamtesa,wakamdhihaki,wakamvalisha nepi,wakamtemea mate,wakampiga mkuki,wakamsulubu,wakamuua,juu ya kuwa alikuja kuwakomboa wana Israel.
Umeandika ukweli mtupu.Sasa turudi Beirut tuangalie jinsi Hezbollah wanavyopokea mikate na siagi kutoka Jerusalem.
 
Naona maustadh wenzangu tumekuja hapa JF kujifariji baada ya kamanda mkuu wa Hezbollah kufumuliwa kwa bomu.
Ukweli mgumu ni huu, njia pekee ya kuepusha madhila ya Israel kwa waarabu wa mashariki ya kati ni kupatana na kisha kukaa kwa utulivu. Choko choko ni mbaya na kamwe hazimsaidii chochote muarabu.
Hawa magaidi,walimuua Yesu,na mpaka leo wanamuita mtoto wa nje ya ndoa,wafikiri aliwafanyia choko choko zipi,au huko kuwakomboa ndio choko choko.
 
Umeandika ukweli mtupu.Sasa turudi Beirut tuangalie jinsi Hezbollah wanavyopokea mikate na siagi kutoka Jerusalem.
Yesu pia walimdhihaki,wakamvalisha nepi,wakamtemea mate,wakamsulubu,wakamuua,wafikiri Waliomfanyia Yesu vile leo,wako wapi.Na hao waliopo wanamuita mtoto wa nje ya ndoa,na hawamkubali.
 
Bi Faiza mwaka huu utakonda na hv unamiliki tako kubwa kama uchumi wa marekani. Huku gaza kichapo huku Hezbollah anapelekewa moto pole sn
Walimprlekea moto Yesu,wakamuua,leo wako wapi.Na hao waliopo wanamuita mtoto wa nje ya ndoa,wafikiri na wao,hawatapelekewa moto,ni suala la muda tu.
 
Hii vita ni ngumu zaidi kwa Muisrael...
Yeye anapigana ili Aishi, Ilhali wenzake wanaishi ili wapigane naye...
 
Akili yako ndogo unamuwaza Nasrallah tu bila kuangalia upana wa tatizo
Upana wa tatizo iziraili anawapanua viongozi wa makubazi wakatanuliwe vizuri ahera kwa mungu wao aliowaahidi mabikira na mito ya pombe......sema safari hii wao ndo wanaenda kua mabikira huko ahera wanaenda kubikiriwa..........
 
Upana wa tatizo iziraili anawapanua viongozi wa makubazi wakatanuliwe vizuri ahera kwa mungu wao aliowaahidi mabikira na mito ya pombe......sema safari hii wao ndo wanaenda kua mabikira huko ahera wanaenda kubikiriwa..........
Umefahamika ukubwa wa ujinga wako.
Kwamba kwenda kwa mabikra peponi unaona ni jambo la kipuuzi na unakubali kuwa shoga duniani
 
Huku eneo la Gaza likiwa limezingirwa na Israel na viongozi kadhaa wa Hizbullah na Hamas kuuliwa inatoa ishara ya ushindi kwa Israel.Hata hivyo kushambuliwa kwa meli za kivita za Marekani na kushambuliwa kwa miji mikubwa yote ya Israel hakutoi ishara nzuri kwa usalama wa mataifa hayo na mashariki ya kati kwa ujumla.

Kutokana na mendeleo makubwa ya kiteknolojia imekuwa ni rahisi kwa mwenye nguvu kumlenga na kumuua mtu wanayemuona ni adui kwao.Wakati huo huo imekuwa ni vigumu pia kupata ushindi kwa asilimia mia moja na pia ni rahisi kwa mtu ambaye ni dhaifu kuendeleza vita kwa muda mrefu.

Kinachoendelea mashariki ya kati kwa sasa kinatoa ufafanuzi wa wazi kwa wazo hilo hasa ukilingalia kwamba pamoja na nguvu kubwa za kijeshi walizonazo Marekani na Israel hazijawanyamazisha wala kuwahofisha makundi kama Hamas,Hizbullah na Houth kutusha makombora katikati ya Israel na uwelekeo wa meli za kivita za Marekani.
Ujasiri kama huo na uwezekano wa kufikia kuleta taharuki katikati ya Israel na kwenye miji yake mikuu haukuwepo kabisa.

Bila kubadilishwa sera za Israel na Marekani hali hiyo inatosha kuoesha kuwa vita baina ya mataifa hayo na maadui zake vita vi vita endelevu vitakavyokuwa vikibadilika kulingana na wakati tu,

Mwaka 2006 Hizbullah walipigana na Israel kwa teknolojia ya wakati huo ya kupiga vifaru tu na kuitia hasara kubwa.Mwaka huu pamoja na kuzidiwa kiteknolojia hasa ndege za kivita lakini bado wameweza kwa mara ya mwanzo kupiga mpaka katikati ya taifa hilo.

Kwa ujumla bila kubadili sera na malengo pamoja na kufuata maazimio ya kuleta suluhu,Israel haitaweza kujilinda na kubaki salama usalimini mpaka mwisho katikati ya majirani zake


Wee kibabu andika huku kujipa moyo feki na furaha feki, ili ujifariji kifeki feki, wenzako wanakiona cha mtema kuni huko Lebanon, kuna bomu moja lilipigwa ghorofa likawa mavumbi na tetemeko la ardhi lilitokea jinsi lilikata hata mwamba wa chini ya ghorofa la Hezbollaah mjini Beirut, hilo bomu linaitwa Bunker Buster Bomb kwa kurushwa na F-35 Lightning II Warplane ya IAF, hatari sana kuliko ujuavyo..!!
 
Back
Top Bottom