Meli za kivita za Urusi zapokea kipigo cha drones kule Black sea

Mkuu, Kiswahili hukijui!? Isijekua unatumia Misamiati ya kiingereza kwa kunakili na kuituma ukitegemea wasomaji wanaelewa zaidi!
 
Sirens zishaanza lia huko.
Uzuri Ukraine ana defence kwa sasa
 
Yeye alipiga miundombinu ya nishati. Madhara ni makubwa zaid huko. Au hujui??
 
Hivi unajua maana ya vifaru 2500?
 
Reppeled
 
nato wanacheza na moto,russia akiamua kufadhili mujahedeen wa iran,wakakichafue ulaya na usa,dunia itatikisika sana,maana mipango yote itapangiwa urusi,na hakuna wa kuingia kuwakamata...
Iran unadhani inashindikana? Mbona sasa hivi ina maandamano, ni kitendo cha kufuel na kufadhili makundi ya majimbo korofi kama jimbo la Azerbaijani au kufadhili Sunni minorities waliofanya shambulizi last week na kuua watu 15 kwenye shrine ya Washia.

Tena Iran ikitaka kutafuta kisingizio cha kupigwa ifanye hivyo. Iraq ilisingiziwa ikapigwa, Afghanistan chini ya Taleban ililea magaidi ikafuatwa
 
Kama mnaweza vamieni Iran
 
Mbona demage ni kidogo Sasa hamjafanya lolote la maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…