passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,192
- 11,897
Hapo mmeambiwa vessel meli ndogo na demage ni ndogoMeli zimeongezeka hadi kufikia 3
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo mmeambiwa vessel meli ndogo na demage ni ndogoMeli zimeongezeka hadi kufikia 3
Iran ivamiwe kwa lipi?Kama mnaweza vamieni Iran
Kwa bahati mbaya chakula kingi kinaenda ulaya.Anakomoa nchi maskini
Kwa Sababu anapingana na Mambo ya westIran ivamiwe kwa lipi?
Iran itaangushwa na raia wake wenyewe. Hakuna haja kupigana nayo kuiongezea umojaKwa Sababu anapingana na Mambo ya west
usikalili mkuu na mifano ya iraq,afghanstan,,mbona syria imeshindikana?russia akiamua kum back up iran,kama wanavyofanya NATO kwa ukraine,ulaya haitakalika,hezbollah ya lebanon na wahouth wa yemen wakisambazwa itakuwa shida dunian...Iran unadhani inashindikana? Mbona sasa hivi ina maandamano, ni kitendo cha kufuel na kufadhili makundi ya majimbo korofi kama jimbo la Azerbaijani au kufadhili Sunni minorities waliofanya shambulizi last week na kuua watu 15 kwenye shrine ya Washia.
Tena Iran ikitaka kutafuta kisingizio cha kupigwa ifanye hivyo. Iraq ilisingiziwa ikapigwa, Afghanistan chini ya Taleban ililea magaidi ikafuatwa
Mtasubiri sanaIran itaangushwa na raia wake wenyewe. Hakuna haja kupigana nayo kuiongezea umoja
Hakuna madhara makubwa ni demage ndogondogo Sasa subiri kitakachowatokea waukraine.Kuimba kupokezana. Majuzi kilio kilikuwa Kiev leo kimehamia Moscow.
Unaota mchana kweupe.jaribu muone joto la jiwe.Iran unadhani inashindikana? Mbona sasa hivi ina maandamano, ni kitendo cha kufuel na kufadhili makundi ya majimbo korofi kama jimbo la Azerbaijani au kufadhili Sunni minorities waliofanya shambulizi last week na kuua watu 15 kwenye shrine ya Washia.
Tena Iran ikitaka kutafuta kisingizio cha kupigwa ifanye hivyo. Iraq ilisingiziwa ikapigwa, Afghanistan chini ya Taleban ililea magaidi ikafuatwa
Urusi amekuwa akishambulia kupitia hiyo bandari, hivyo tumeona tuondoe meli zoteMbona walikuwa na mikataba ya kutoshambulia baharini baada ya kuruhusu ngano kusafirishwa,hapa ukrain wamekosea kuvizia meli za urusi na kuzishambuliwa ilihali ilikuwa freezone
Kilio cha nini sasa hapo.meri hata haijazama iweje iwe kilio.Ukraine kwa sasa bei ya mshumaa inakimbilia dollar 3[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuimba kupokezana. Majuzi kilio kilikuwa Kiev leo kimehamia Moscow.
Wewe ndio unakariri. Syria pale kulikuwa na ISIS na waasi. Urusi iliweka vituo vya kijeshi vingi Syria, ikawa na airbase eneo la Latakia ya Khmeimim, ikawa na naval base pale Tartus. Pale Urusi ilikuwa inapigana na waasi pamoja na ISIS.usikalili mkuu na mifano ya iraq,afghanstan,,mbona syria imeshindikana?russia akiamua kum back up iran,kama wanavyofanya NATO kwa ukraine,ulaya haitakalika,hezbollah ya lebanon na wahouth wa yemen wakisambazwa itakuwa shida dunian...
Marekani akitaka apate kipigo cha aibu na cha kudhalilisha kuliko hata kile alicho kipata Vietnam ajaribu kuivamia Iran.Wewe ndio unakariri. Syria pale kulikuwa na ISIS na waasi. Urusi iliweka vituo vya kijeshi vingi Syria, ikawa na airbase eneo la Latakia ya Khmeimim, ikawa na naval base pale Tartus. Pale Urusi ilikuwa inapigana na waasi pamoja na ISIS.
Marekani haikuitaka serikali ya Syria ila haikuwa na complete plan ya kumuondoa. Assad ni mpole na hana madhara ya aina yeyote kwa Marekani na washirika wake. Assad anapendwa na Israel kwa vile ana dalili za kuwa secular, huwezi muona anashinda msikitini mara anavaa kanzu, pia sio popular kwake hivyo hana ushawishi wa kuleta fujo kwa Israel kama alivyokuwa mfano Yasser Arafat.
Israel inapenda viongozi wa Kiarabu kama Assad tatizo tu ni uwepo wa Iran ikiitumia Syria kama uchochoro. Hata Iraq hasa serikali ya Waziri Mkuu aliyepita ilipambana na influence ya Iran. Hata General Qasem Soleimani mkuu wa IRGC aliuwawa akiwa Iraq anaratibu harakati za Iran. Siku Iran inaondoka Syria hutokaa usikie Israel inashambulia pale, na wanamtaka Assad maana hakuzi nchi kiuchumi wala kijeshi, ni mzubaifu. Israel hawajawahi mpenda kiongozi wa Kiarabu mwenye uwezo kama kina Anwar Saddat au Hussein al Assad.
Then pale Yemen kuna Houthi wanapewa misaada na Iran. Hamas na Hezbollah nao wanamtegemea Iran. Ukiiangusha Iran ushawakata nguvu hao. Iangushwe Soviet Union na block yake nzima sembuse Iran. Iran nao ni smart hawawezi cheza ligi za juu ya uwezo wao. You feed their ego and let them go. Wanashinda wanatoa chants za Death to Zionist Israel tangu 1970s hadi leo. Iran hawezi fadhili ugaidi directly against US akabaki. Kwanza nchi za Kisuni zote hazimtaki
Iran inayonyanyaswa na Israel ndio iipige Marekani?Marekani akitaka apate kipigo cha aibu na cha kudhalilisha kuliko hata kile alicho kipata Vietnam ajaribu kuivamia Iran.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]warusi wenyewe wanakubali kuna Meli imeharibiwa halafu wewe Mrusi wa Chanika masantula unabisha eti hakuna Meli iliyoharibiwa[emoji23]Urusi ilifanikiwa kuzijam hizo under water drone hakuna meli iliyopigwa
Maneno ya kejeli hayawezi kubadilisha ukweli wa nilicho kisema.Iran inayonyanyaswa na Israel ndio iipige Marekani?
Yani kisa Iran inaisaidia fake superpower basi mnataka muipe vyeo. Unakuwa wa kwanza kwenye vilaza unalazimisha kuwa TOView attachment 2401736
akil zako km kima yaan kuunga mkono ugaid wa kuvamia nchi iliyo huru ni kukomboka kifikra hv Putin alivamia Ukraine au hizo nchi za magharibi ? yaan ushabiki umewafanya wapumbav kupindukia , huez kombolewa kwa fikra kama bado unavaa chupi MADE IN CHINA , kukemea ugaid wa PUTIN sio kuunga mkono mabaya ya Magharibi , ELEWA tunakemea unyang'any wa Putin kimabav ,,kama unaiwaza Magharibi muda wote bas jiite chiz mweny unafuuKama nchi hii kuna vijana wanaunga mkono umagharibi na kumuunga mkono Ukraine..basi kama taifa tuna safari ndefu sana ya ukombozi wa kifikra na kiuchumi....