4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
kuvamia kubaka , kuiba , kutesa watu na kuua raia wemaMungu mbariki Mrusi maana anafanya yaliyosahihi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuvamia kubaka , kuiba , kutesa watu na kuua raia wemaMungu mbariki Mrusi maana anafanya yaliyosahihi
We jamaa unalipwa na NATO?😆😆Wakati Warusi wanatumia drones za msaada wa Iran kupiga bembea za watoto wa Ukraine, ila Ukraine wanatumia drones kupiga vifaa vya kijeshi, tayari wamelipua meli moja ya kijeshi na zingine zimepokea mapigo balaa
=====================
Russia has accused Ukraine of carrying out a "massive" drone attack on the headquarters of its Black Sea Fleet in the Crimean port city of Sevastopol.
The attack began at 04:20 local time and involved nine aerial and seven marine drones, Russian officials said.
At least one warships is said to have been damaged in the strikes. Ukraine has not yet acknowledged the incident.
Mikhail Razvozhaev, the Russian-installed governor of the city, said Russia's navy had repelled the attack.
The strikes were the "most massive" since Russian troops first entered Ukraine in February, Russian state media quoted the governor as saying.
MSN
www.msn.com
huna akili yaan iran ipigane na ulaya kwa msaada wa Putin anaesumbuliwa na Ukraine inayopewa msaada na Ulaya tena kwa limitationsusikalili mkuu na mifano ya iraq,afghanstan,,mbona syria imeshindikana?russia akiamua kum back up iran,kama wanavyofanya NATO kwa ukraine,ulaya haitakalika,hezbollah ya lebanon na wahouth wa yemen wakisambazwa itakuwa shida dunian...
Kumbe Putin alizoea kuishi kwa uongo. Zile.power zake alizokuwa nazo anaishia kuomba msaada Irani ambaye naye yuko hoi kwa maandamano ya wananchi?Demilitarisation kwa Supapawa wa mchongo inaendelea [emoji23]
Ukombozi wa kifikra na kiuchumi ni kuwapinga Wamagharibi na kutowaunga mkono Wayukrein!!?Kama nchi hii kuna vijana wanaunga mkono umagharibi na kumuunga mkono Ukraine..basi kama taifa tuna safari ndefu sana ya ukombozi wa kifikra na kiuchumi....
Taarifa za pande zote zinasema meli tatu za Urusi zimeharibiwa kabisa.Urusi ilifanikiwa kuzijam hizo under water drone hakuna meli iliyopigwa
Air defenses alizopewa Ukraine ni short to medium range hazitoshi kulinda sehemu kubwa hivyo baadhi ya Makombora yatapenya tu. Angepewa angalau Patriot radar yake ina nguvu inaona umbali mrefu.
Meli tatu zimekwenda na maji.....
Kwani Meli zinapita wapi si majini au wewe ulifikiri zimapia jangwani - mbona Kamikaze zilipo kuwa zinatembeza kichapo cha uhakika huko Ukraine, mbona alikaa kimya kama maji kwenye mtungi - leo hii Waingereza wanatumiwa na Ukraine kujaribu kushambulia Russia Naval fleet walicho ambulia ni kisabisha superficial damages lakini nyinyi mnachukulia incident hiyo kana kwamba wamefamikiwa sana -kumbe ulaghai mtupu majority ya Drones zilipukutishwa na formidable air defense system za Warusi - hilo hamlisemi.
Mbona demage ni kidogo Sasa hamjafanya lolote la maana
Sijaelewa nini umebwabwaja hapa ila mpaka sasa meli tatu chali....mpaka mtaita maji ma...
Msaada wa Iran hapa hautawasaidia kitu....
Wewe ulishawahi ona mradi wowote wa kimaendeleo Afrika ukifadhiliwa na Urusi.Kama nchi hii kuna vijana wanaunga mkono umagharibi na kumuunga mkono Ukraine..basi kama taifa tuna safari ndefu sana ya ukombozi wa kifikra na kiuchumi....
Russiaa anatusaidia nini? at least Magharibi tunapiga box tunajenga home 🤣Kama nchi hii kuna vijana wanaunga mkono umagharibi na kumuunga mkono Ukraine..basi kama taifa tuna safari ndefu sana ya ukombozi wa kifikra na kiuchumi....
hili ndio tatizo la kuchangia jukwaa na watoto wa mtaani,wao lugha nzuri kwao ni matusi tu,na wanajiona wako sahihi.mungu tusaidie.huna akili yaan iran ipigane na ulaya kwa msaada wa Putin anaesumbuliwa na Ukraine inayopewa msaada na Ulaya tena kwa limitations
Are you sure na unacho kisema? Mwaka juzi mbona missiles 12 za Iran zilishambulia na kusambaratisha kambi mbili za jeshi la Merikani huko Iraq - kumbuka kambi hizo zilikiwa zinalindwa na Patriot - sasa ilikuwaje tena zikashindwa kudhibiti missiles za Iran labda tuanzie hapo?
Mwaka huo huo Petroleum Industrial Complex ya Saudi Arabia ilitiwa kiberiti na roketi za kutengeneza kienyeji za waasi wa Yemen - mbona Patriot air defense system failed miserably yet again - halafu leo hii wanajitokeza watu wanazipigia debe as if Patriot ni cure all medicine like PANADOL - kumbe,kuna missiles zinazizidi kete chukulia mifano miwili "live" hapo juu.