Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
Tukija case ya Saudia nina hakika defense systems zilikua overwhelmed na mshambuliaji maana zilitumwa cruise missiles za kutosha pamoja na drones.
Tukija kwenye suala la defense systems mbona hizi za Russia mlizokua mnazisifia kila siku humu hakuna chochote zinachofanya,Jana Sevastopol imepigwa na drone 9 tu wanasema wamezitungua zote lakini cha ajabu hapohapo wanasema kuna baadhi ya Meli zimeharibiwa. Sasa zimeharibiwaje wakati drones zote walitungua. Himars kila siku zinapiga supply lines za Russia,juzi walibutua pontoon bridge Kherson,Jana wamepiga tena Antonovsky bridge hukohuko Kherson...sasa sijui zile S-3000 na S-5000 mlizokua mnazitukuza humu ndani ziko wapi?!
Mwisho: Hakuna defense systems ambayo ipo effective 100%.
Msisingizie Warusi - wapi walisema drones zote zilitunguliwa - wapi??
Nani ambae hajui kwamba success rate ya Russian integrated air defense systems ni astronomical, take it or leave it up2U.
Naona mnazungumzia mara kwa mara kuhusu Moskva battle ship, je,mnajua iliundwa mwaka gani?? Je wakati accident hiyo ilipotokea mliangalia mchafuko wa hali ya hewa kwenye bahari ya Black sea ulikuwa wa kiwango gani?? Kumbuka kwenye hali ya vita missiles zinawekwa/cocked ready to fire at moments notice no time to waste every second counts, wahusika wote wanakuwa up tight - hata ukiangalia video siku hiyo mawimbi yalikuwa makubwa mno meli zilikuwa zinayumba kweli kweli, kwenye situation kama hiyo ni rahisi sana anything to go horribly wrong and this is what really happen - one of the misdiles inside the ship went off/exploded prematurely thereby triggering a chain reaction kwenye storage ya missiles - mambo kama hayo utokea kwenye maghala ya kuifadhia silaha iwe maghala kwenye makambi ya kijeshi(mfano:Gongo la Mboto na Mbagala) kwenye battle ships na submarines - why pick on Russians as if accident kuhusu Moskava ni jambola ajabu sana!!
Nilijaribu kufatilia kwa umakini suala hili hasa baada ya Ukraine kudai walilipua Moskova kwa kutumia anti ship missiles lakini sikuwahi kuona clip yoyote ikionyesha missile za Ukraine zilishambulia meli, missiles type Neptune mbona ni kubwa sana zinaoneka kirahisi even by a naked eye - watu wenye akili timamu wanajua vizuri kwamba Waukraine ni waongo tu, hawa husiku na lolote kwa kile kilichotokea kwa Moskva.