Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,500
Are you sure na unacho kisema? Mwaka juzi mbona missiles 12 za Iran zilishambulia na kusambaratisha kambi mbili za jeshi la Merikani huko Iraq - kumbuka kambi hizo zilikiwa zinalindwa na Patriot - sasa ilikuwaje tena zikashindwa kudhibiti missiles za Iran labda tuanzie hapo?
Mwaka huo huo Petroleum Industrial Complex ya Saudi Arabia ilitiwa kiberiti na roketi za kutengeneza kienyeji za waasi wa Yemen - mbona Patriot air defense system failed miserably yet again - halafu leo hii wanajitokeza watu wanazipigia debe as if Patriot ni cure all medicine like PANADOL - kumbe,kuna missiles zinazizidi kete chukulia mifano miwili "live" hapo juu.
Tukija case ya Saudia nina hakika defense systems zilikua overwhelmed na mshambuliaji maana zilitumwa cruise missiles za kutosha pamoja na drones.
Tukija kwenye suala la defense systems mbona hizi za Russia mlizokua mnazisifia kila siku humu hakuna chochote zinachofanya,Jana Sevastopol imepigwa na drone 9 tu wanasema wamezitungua zote lakini cha ajabu hapohapo wanasema kuna baadhi ya Meli zimeharibiwa. Sasa zimeharibiwaje wakati drones zote walitungua. Himars kila siku zinapiga supply lines za Russia,juzi walibutua pontoon bridge Kherson,Jana wamepiga tena Antonovsky bridge hukohuko Kherson...sasa sijui zile S-3000 na S-5000 mlizokua mnazitukuza humu ndani ziko wapi?!
Mwisho: Hakuna defense systems ambayo ipo effective 100%.