Meli za kivita za Urusi zapokea kipigo cha drones kule Black sea

Meli za kivita za Urusi zapokea kipigo cha drones kule Black sea

akil zako km kima yaan kuunga mkono ugaid wa kuvamia nchi iliyo huru ni kukomboka kifikra hv Putin alivamia Ukraine au hizo nchi za magharibi ? yaan ushabiki umewafanya wapumbav kupindukia , huez kombolewa kwa fikra kama bado unavaa chupi MADE IN CHINA , kukemea ugaid wa PUTIN sio kuunga mkono mabaya ya Magharibi , ELEWA tunakemea unyang'any wa Putin kimabav ,,kama unaiwaza Magharibi muda wote bas jiite chiz mweny unafuu
Mbona Mimi sijatukana mzee....kuwa mwepesi kupanic ni dalili ya akili kidogo....
 
Israel hi hihiambayo kama hezbulllah wakiamua wanaweza kuichukua Jerusalem kwa mwezi 1 na nusu ndo ikapigane na Iran yaani Israel inayopewa kichapo na wavuta bangs wa west Bank ndo ikachokoze Iran kweli acha masihara were usichukilie vitu kirahisi rahisi tu
Mufti Irani wepesi kama Ayatollah, mabinti wanampiga singi tuu.
 
usiendekeze kusaidiwa saidiwa, unakoelekea utasaidiwa hadi mengine, tabia za kinjaa njaa mbaya...misaada chini ya masharti magumu ni utumwa jiangalie, misaada hadi ya K-Y ndo unassifia eti?
Hawaelewi hawa....ndio maana tunasaidiwa na kupewa na masharti machafu....lakini ukiwauliza wanaishia kutoa lugha za matusi...... yaani tunajiona hatuwezi kuishi bila misaada ya wamagharibi....
 
Hawaelewi hawa....ndio maana tunasaidiwa na kupewa na masharti machafu....lakini ukiwauliza wanaishia kutoa lugha za matusi...... yaani tunajiona hatuwezi kuishi bila misaada ya wamagharibi....
Ndio utumwa huu, wenzetu hawaelewi " given aids under tough conditions" jamani ndio nasi tuwe na akili ya kufikia kuji hii. Ya omba omba hii haifai , tijitegemee, mikakati ilenge huko, hakuna cha bure duniani usijidanganye ndugu hii misaada ukifuatilia ina.mashartiya hatari
 
Wenye akili watanielewa - wangapi wanaunga mkono unayo andika hapa - labda tuanzie hapo!!

Good nimeona umefuata ushauri wangu, usiandike liinsha lote la mipasho, hakuna atakayesoma.
Pili mimi huwa siji huku kutafuta kuungwa mikono, nawasilisha maoni yangu, ambayo ni haki yangu, atakayeunga mkono freshi, atakayeponda ni haki yake, ila hakuna wa kunizuia, ukijifanya unanizuia ndio unipa fulu mzuka wa kuongeza moto, waulize Warusi na Waarabu kule Quora hawana hamu na mimi....

Na pia kuhusu kuungwa mkono, wewe hapo una Reaction score 12,045, nimekufunika mara tatu na za kwangu 35,637
 
Bora Kama angefanya mwenyewe,anawatumia maadui waliomtumia kumhujumu mgomvi wake🥱

Ifahamike Ukraine kwa sasa wameiva vita, wengi wamepata mafunzo na watafanya makubwa sana mtakua mnasema yamefanywa na NATO.
 
Ngoja tusubiri retaliation ya Mrusi sasa[emoji23],kama kawaida yake wiki hii Raia wa Ukraine watakoma watakavyovurumishiwa Makombora na kamikaze drones. Yani anaacha wanajeshi hasira anamalizia Kwa Raia,sijui Putin akili yake ikoje[emoji23][emoji23][emoji23]

SUBIRI TUONE​

Zelenski warns Russia that its troops will be cornered at Kherson​

Daniel Stewart - Thursday
1667216363055.png

Ukrainian President Volodimir Zelensky has warned Russian authorities that his troops in Kherson, one of the territories annexed by Russia, will be cornered by the Ukrainian Armed Forces.
Ukrainian President Volodimir Zelenski - -/Ukrainian Presidency /dpa
Ukrainian President Volodimir Zelenski - -/Ukrainian Presidency /dpa© Provided by News 360
As detailed by the Ukrainian president in an interview for 'Corriere della Sera', Russia does not yet control the region to the point of having the confidence to withdraw its troops from the place, but he has warned that if they do not do so and Ukraine is successful in its counter-offensive, "they will have no chance to leave".
Zelenski has spoken openly about Ukraine's chances of effectively retaking control of the region, stressing that Kiev cannot overlook the cost in human lives involved in the operation.
According to him, the campaign is complex because of the "price of people," something Moscow, however, does not notice. "(For Russia) it does not matter how many people die (...) for us it is very important, we cannot just push people to go there and die," he has said.
However, these words of Zelensky contrast with the discourse spread by pro-Russian authorities in Kherson, who assure that Russia has control over the area and that Ukrainian counter-offensives are becoming less frequent.
"There is much less shelling than usual or than ten days ago. In general, the situation seems stable," said the Russian-imposed governor of Kherson, Vladimir Saldo, according to the Russian news agency TASS.





 
Wakati Warusi wanatumia drones za msaada wa Iran kupiga bembea za watoto wa Ukraine, ila Ukraine wanatumia drones kupiga vifaa vya kijeshi, tayari wamelipua meli moja ya kijeshi na zingine zimepokea mapigo balaa
=====================

Russia has accused Ukraine of carrying out a "massive" drone attack on the headquarters of its Black Sea Fleet in the Crimean port city of Sevastopol.
The attack began at 04:20 local time and involved nine aerial and seven marine drones, Russian officials said.
At least one warships is said to have been damaged in the strikes. Ukraine has not yet acknowledged the incident.
Mikhail Razvozhaev, the Russian-installed governor of the city, said Russia's navy had repelled the attack.
The strikes were the "most massive" since Russian troops first entered Ukraine in February, Russian state media quoted the governor as saying.


Russia wameenda kushtak UN duu kweli mkuki kwa nguruwe....
 
hili ndio tatizo la kuchangia jukwaa na watoto wa mtaani,wao lugha nzuri kwao ni matusi tu,na wanajiona wako sahihi.mungu tusaidie.
mawazo yako yq kitoto sana , na unaonesha unashinda vijiwen au unatumia smartphone ya shemej , huez sema Urusi kuipigq Ulaya kwa msaada wa Iran ambae pia ni kinyago cha wazungu hapo middle Eats ili waarabu wasimuone Israel kama adui pekee
 
mawazo yako yq kitoto sana , na unaonesha unashinda vijiwen au unatumia smartphone ya shemej , huez sema Urusi kuipigq Ulaya kwa msaada wa Iran ambae pia ni kinyago cha wazungu hapo middle Eats ili waarabu wasimuone Israel kama adui pekee
Kanywe maji kwanza minato mnaweweseka middle eats ndo wapi huko
Screenshot_20221031-174628_RT News.jpg


Babu kaanza kumchoka mjukuu
 
Israel hi hihiambayo kama hezbulllah wakiamua wanaweza kuichukua Jerusalem kwa mwezi 1 na nusu ndo ikapigane na Iran yaani Israel inayopewa kichapo na wavuta bangs wa west Bank ndo ikachokoze Iran kweli acha masihara were usichukilie vitu kirahisi rahisi tu
Wewe jamaa kwa porojo tu hujambo [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Usituletee lugha zako za kitumwa mlizo jifunza kutoka kwa ma shamba boy kwenye mashamba ya masetela wa kizungu, tangu enzi za ukoloni mpaka leo - mambo yako vile vile,nothing has changed.

Unafikiri hatujui kwa nini unahusudu sana ngozi nyeupe hasa Wamerikani mnawachukilia kama Miungu wenu wadogo wa hapa Duniani,usione tunanyamaza ukafikiri tu wajinga au hatujui undani wenu.

Binafsi nawashangaa baadhi ya watanzania wenzangu ambao wana kuunga mkono blindly - bila shaka hii inatokana na uelewa wao mdogo wa baadhi ya waswahili wenzangu, hawajui kabisa kwamba iwapo vita ya Ukraine itagehuka kuwa vita ya nuclear baina ya Urusi na Amerika, basi, na Tanzania itahathirika sana iwapo Urusi italenga military bases za Wamerikani ambazo zipo barani Africa ikiwemo Kenya yenyewe ambao ni majirani zetu,je,mnajua thermonuclear missiles hatarishi za Urusi zina madhara gani na uharibifu wa kiwango gani ki-
ujumla zikasambaratisha hata sisi ambao ni majirani wao - vita hii ya Ukraine sio ya kuchukulia kimzaa mzaa hasa ikifikia hatua ya matumizi ya silaha za nuclear.
Hii comment umeandika ukiwa umepanic hasa.Hizo patagraph mbili za mwanzo wala hazikuwa na maana sana.
 
Vita vya Ukraine: Urusi inashambulia 'zaidi maeneo ya raia' kuliko ya kijeshi - Ukraine
Ni jambo la kusikitisha kwa taifa kubwa kama Russia badala ya kupambana uwanjani wanageukia raia wasiokua na hatia .Ni wazi kuwa taifa ili limegeuka kuwa taifa la kigaidi na hatari kwa nyakati hizi ambapo ustaarabu ndio nguzo kubwa katika dunia ya leo
 
Back
Top Bottom