BusinessOriented
JF-Expert Member
- Oct 23, 2022
- 259
- 565
Mbona Mimi sijatukana mzee....kuwa mwepesi kupanic ni dalili ya akili kidogo....akil zako km kima yaan kuunga mkono ugaid wa kuvamia nchi iliyo huru ni kukomboka kifikra hv Putin alivamia Ukraine au hizo nchi za magharibi ? yaan ushabiki umewafanya wapumbav kupindukia , huez kombolewa kwa fikra kama bado unavaa chupi MADE IN CHINA , kukemea ugaid wa PUTIN sio kuunga mkono mabaya ya Magharibi , ELEWA tunakemea unyang'any wa Putin kimabav ,,kama unaiwaza Magharibi muda wote bas jiite chiz mweny unafuu
Mufti Irani wepesi kama Ayatollah, mabinti wanampiga singi tuu.Israel hi hihiambayo kama hezbulllah wakiamua wanaweza kuichukua Jerusalem kwa mwezi 1 na nusu ndo ikapigane na Iran yaani Israel inayopewa kichapo na wavuta bangs wa west Bank ndo ikachokoze Iran kweli acha masihara were usichukilie vitu kirahisi rahisi tu
Hawaelewi hawa....ndio maana tunasaidiwa na kupewa na masharti machafu....lakini ukiwauliza wanaishia kutoa lugha za matusi...... yaani tunajiona hatuwezi kuishi bila misaada ya wamagharibi....usiendekeze kusaidiwa saidiwa, unakoelekea utasaidiwa hadi mengine, tabia za kinjaa njaa mbaya...misaada chini ya masharti magumu ni utumwa jiangalie, misaada hadi ya K-Y ndo unassifia eti?
Ndio utumwa huu, wenzetu hawaelewi " given aids under tough conditions" jamani ndio nasi tuwe na akili ya kufikia kuji hii. Ya omba omba hii haifai , tijitegemee, mikakati ilenge huko, hakuna cha bure duniani usijidanganye ndugu hii misaada ukifuatilia ina.mashartiya hatariHawaelewi hawa....ndio maana tunasaidiwa na kupewa na masharti machafu....lakini ukiwauliza wanaishia kutoa lugha za matusi...... yaani tunajiona hatuwezi kuishi bila misaada ya wamagharibi....
Wenye akili watanielewa - wangapi wanaunga mkono unayo andika hapa - labda tuanzie hapo!!
Bora Kama angefanya mwenyewe,anawatumia maadui waliomtumia kumhujumu mgomvi wake🥱Hehehe!! Unalalamika kufanyiwa ugaidi na watu ambao umewavamia....
Ngoja tusubiri retaliation ya Mrusi sasa[emoji23],kama kawaida yake wiki hii Raia wa Ukraine watakoma watakavyovurumishiwa Makombora na kamikaze drones. Yani anaacha wanajeshi hasira anamalizia Kwa Raia,sijui Putin akili yake ikoje[emoji23][emoji23][emoji23]
Russia wameenda kushtak UN duu kweli mkuki kwa nguruwe....Wakati Warusi wanatumia drones za msaada wa Iran kupiga bembea za watoto wa Ukraine, ila Ukraine wanatumia drones kupiga vifaa vya kijeshi, tayari wamelipua meli moja ya kijeshi na zingine zimepokea mapigo balaa
=====================
Russia has accused Ukraine of carrying out a "massive" drone attack on the headquarters of its Black Sea Fleet in the Crimean port city of Sevastopol.
The attack began at 04:20 local time and involved nine aerial and seven marine drones, Russian officials said.
At least one warships is said to have been damaged in the strikes. Ukraine has not yet acknowledged the incident.
Mikhail Razvozhaev, the Russian-installed governor of the city, said Russia's navy had repelled the attack.
The strikes were the "most massive" since Russian troops first entered Ukraine in February, Russian state media quoted the governor as saying.
UN hii ambayo Russia inaungwa mkono na nchi nne pekee kwenye maazimio ya hivi karibuni?Russia wameenda kushtak UN duu kweli mkuki kwa nguruwe....
usisahau kutuambia malengo ya Putin kwenye uvamiz huu , Mpk sasa jeshi la Ukraine linazid kuwa boraHilo hawalisemi-wanazungumza mambo mengine tofauti kabisa!!!
mawazo yako yq kitoto sana , na unaonesha unashinda vijiwen au unatumia smartphone ya shemej , huez sema Urusi kuipigq Ulaya kwa msaada wa Iran ambae pia ni kinyago cha wazungu hapo middle Eats ili waarabu wasimuone Israel kama adui pekeehili ndio tatizo la kuchangia jukwaa na watoto wa mtaani,wao lugha nzuri kwao ni matusi tu,na wanajiona wako sahihi.mungu tusaidie.
Kanywe maji kwanza minato mnaweweseka middle eats ndo wapi hukomawazo yako yq kitoto sana , na unaonesha unashinda vijiwen au unatumia smartphone ya shemej , huez sema Urusi kuipigq Ulaya kwa msaada wa Iran ambae pia ni kinyago cha wazungu hapo middle Eats ili waarabu wasimuone Israel kama adui pekee
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Urusi ilifanikiwa kuzijam hizo under water drone hakuna meli iliyopigwa
Wewe jamaa kwa porojo tu hujambo [emoji3][emoji3][emoji3]Israel hi hihiambayo kama hezbulllah wakiamua wanaweza kuichukua Jerusalem kwa mwezi 1 na nusu ndo ikapigane na Iran yaani Israel inayopewa kichapo na wavuta bangs wa west Bank ndo ikachokoze Iran kweli acha masihara were usichukilie vitu kirahisi rahisi tu
Hii comment umeandika ukiwa umepanic hasa.Hizo patagraph mbili za mwanzo wala hazikuwa na maana sana.Usituletee lugha zako za kitumwa mlizo jifunza kutoka kwa ma shamba boy kwenye mashamba ya masetela wa kizungu, tangu enzi za ukoloni mpaka leo - mambo yako vile vile,nothing has changed.
Unafikiri hatujui kwa nini unahusudu sana ngozi nyeupe hasa Wamerikani mnawachukilia kama Miungu wenu wadogo wa hapa Duniani,usione tunanyamaza ukafikiri tu wajinga au hatujui undani wenu.
Binafsi nawashangaa baadhi ya watanzania wenzangu ambao wana kuunga mkono blindly - bila shaka hii inatokana na uelewa wao mdogo wa baadhi ya waswahili wenzangu, hawajui kabisa kwamba iwapo vita ya Ukraine itagehuka kuwa vita ya nuclear baina ya Urusi na Amerika, basi, na Tanzania itahathirika sana iwapo Urusi italenga military bases za Wamerikani ambazo zipo barani Africa ikiwemo Kenya yenyewe ambao ni majirani zetu,je,mnajua thermonuclear missiles hatarishi za Urusi zina madhara gani na uharibifu wa kiwango gani ki-
ujumla zikasambaratisha hata sisi ambao ni majirani wao - vita hii ya Ukraine sio ya kuchukulia kimzaa mzaa hasa ikifikia hatua ya matumizi ya silaha za nuclear.