Meli za kivita za Urusi zapokea kipigo cha drones kule Black sea

Meli za kivita za Urusi zapokea kipigo cha drones kule Black sea

Wtf, vita waliyosema wiki moja wanamalizia kazi. Sasa karibia mwaka unaisha, lakini chawa mnapiga domo tu. Tumia ubongo.
Keshasema mjiandae na dhoruba ya muongo m1 ........ndo kwanza shoo inaanza
 
mawazo yako yq kitoto sana , na unaonesha unashinda vijiwen au unatumia smartphone ya shemej , huez sema Urusi kuipigq Ulaya kwa msaada wa Iran ambae pia ni kinyago cha wazungu hapo middle Eats ili waarabu wasimuone Israel kama adui pekee
aisee,bangi mbaya sana.
 
Maneno ya kejeli hayawezi kubadilisha ukweli wa nilicho kisema.

Kama Marekani na Israel wangekuwa na uwezo wa kuivamia au kuivuruga Iran wangekuwa wamesha fanya hivyo kitambo sana.

Maana katika ndoto ya viongozi wa Marekani na Israel ni kuona utawala wa Iran unaanguka maana ni mvurugaji mkubwa wa mipango mingi ya Marekani kwenye eneo la mashariki ya kati na Israel inaishi kwa taabu sana kutokana na makundi yanayo pewa silaha na Iran.

Marekani na Israel wanatamani sana utawala wa Iran uanguke lakini ugumu una kuja watauangushaje?

Hiyo Israel ina jeshi gani lenye uwezo wa kuivamia Iran?
Israel anacho weza kufanya ni kushambulia miundo mbinu ya kijeshi ndani ya Iran lakini hana jeshi lenye uwezo wa kufanya uvamizi dhidi ya Iran, lakini bado na kushambulia miundo mbinu ya kijeshi ndani ya Iran na penyewe ni ngumu kumeza maana majibu ya Iran yatakuwa ya kushangaza na kutamausha.

Nakumbuka kipindi cha mzozo wa kuuliwa kwa jeneral Suleiman na Iran ikajibu kwa kuharibu kambi za Marekani,
kuna jeneral mstaafu wa kijerumani aliulizwa kwenye mahojiano na Ajazeera iwapo Marekani ingejibu mashambulizi ya Iran kwa kulivamia taifa hilo.

Majibu aliyo toa ni haya hapa ngoja nimnukuu: kusema ukweli kwa sasa Marekani hawezi kuivamia Iran kwa sasa maana vikosi vyake vilivyo mashariki ya kati kwa sasa havina uwezo wa kuivamia na kuishinda Iran,ili Marekani iweze kulishinda jeshi la Iran ina hitaji wanajeshi kuanzia millioni1, kwa sasa hakuna uwezekano wa vita kati ya Marekani na Iran mwisho wa kumnukuu.

Na ni kweli Marekani akaufyata.
wewe acha upoyoyo wenzako sasa hivi hawapigàni direct war, wanapigana indirect
 
Kumbe supapawa hajiwezi hadi ameamua kurecruit mercenaries.Si tumeambiwa hapa Russia ana active solders zaidi ya 900K,kwanini asiwatumie hao?
Teh unachezwa mchezo mnaocheza kila siku na wenzenu wamewasoma wanaucheza vizuri zaidi........kwanini nimalize raia wangu wakati pesa ninayo watu wanaweza kunipigania, na kwanini nionyeshe silaha zangu mapema adui anichunguze mapema wakati pesa ninayo ya kuchukua silaha kwengine na kuwafundisha adabu.......
 
Urusi imeituhumu nchi ya Uingereza kwamba ndio wameisaidia Ukraine kupanga shambulizi Hilo. Inamaana Urusi haiamini Kama Kila kukicha Ukraine inapata uzoefu wa kijeshi?

Vita inavyoendelea kuchukua mda mrefu ndivyo wanajeshi wa Ukraine wanapata uzoefu zaidi. Silaha za Magharibi zinazomiminika nchini Ukraine na Mafunzo juu kwa wanajeshi wa Ukraine ni ushahidi tosha kwamba bila hii Vita wanajeshi wa Ukraine wasingeliweza kabisa kupata ujuzi huo.

Kwenye hii Vita badala ya Ukraine kuwa Demilitalized kinyume chake naona Urusi ndio anakuwa Demilitalized huku Ukraine akiwa Militalized kuliko mwanzo. Urusi kupoteza zaidi ya Vifaru 2500 kwenye hii Vita ni ushahidi tosha kwamba Urusi inakuwa Demilitalized kadri mda unavyozidi kwenda.
Pitia kwa mangi upate faru john, nakuja kulipa
 
Back
Top Bottom