Meli zilizobeba silaha kutoka DUBAI zashambuliwa Yemen

Sio Waarabu wote, Waarabu wa Dubai ndio mojawapo ya Waarabu wa hovyo sana kwa sasa wakifanya uharibifu huko Mashariki ya kati na Africa kwa kasi sana.
UAE wana yuhuma nyingi sana sssa hivi. Hata Sudan wso ndio wana supply silaha. Hata ile nchi ya kusadikika midege yao ilitua kabla ndugu zao katika imani hswajaanza kuua wenzao.
Na wasingekuwa vibaraka wa USA wangeshanyooshwa.
 
Hata Libya waasi wanaopinga serikali ya kitaifa inayotambuliwa kimataifa kwa sasa wanapewa silaha na fedha na UAE.
 
Back
Top Bottom