Memba yupi unamuelewa na usiyemuelewa JF?

Memba yupi unamuelewa na usiyemuelewa JF?

Naona limbwata limeisha sasa, hadi unatamka hayaa.
Nifanye niwahi tenaa kwa mtaalamu, kabla hajafaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mie nawee hatuachanii tunapeana likizo.
Sasa jichanganyee babaa wee, utajua hujuiii.
Ngoja nisikitike kwanza
 
Hello,

Member gani amekuwa bora kwako kwa miaka yote ya JF au tangia umeingia na umekuwa ukimfuatilia na kijifunza kitu kupitia yeye.

Binafsi ni MSHANA JR na MPWAYUNGU VILLAGE.

Nisiyemuelewa ni GENTAMYCINE ujuaji na FAIZA FOX udini.

Karibu Unitajie memba unayevutiwa nae na sababu na memba usiyemuelewa.
Mfumo mpya wa kutafuta wachumba huu sio
 
Back
Top Bottom