Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
[emoji23]Kabisaa hujakosea mvua na jua tuko pamoja japo ananitibua na mambo yake!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nitafanyaje ndio nishampenda [emoji85]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23]Kabisaa hujakosea mvua na jua tuko pamoja japo ananitibua na mambo yake!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nitafanyaje ndio nishampenda [emoji85]
Ngoja nisikitike kwanzaNaona limbwata limeisha sasa, hadi unatamka hayaa.
Nifanye niwahi tenaa kwa mtaalamu, kabla hajafaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mie nawee hatuachanii tunapeana likizo.
Sasa jichanganyee babaa wee, utajua hujuiii.
Watu wananionea wivu sana. Cute wife yupo humu miaka mingi, Mimi kujiweka tu pazuri basi tafrani na zogoCute Wife ni wa Countrywide miaka mia nane
[emoji23][emoji23] In real life mm ni mpole, Ila story nyingi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo wako itakua zaidi ya urusi na Ukraine.
[emoji23][emoji23]Bado unamuonea huyo nipe mimi mpole mwenzie, we mchukue CW [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Keyshia cole - let it go[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Unamuonea sana shem, mwenyewe mpole hana makuu
Njoo tubadilishane udugu nikupe CW [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
She's really good
Unatingisha meza yenye vinywaji vya gharamaAmani tu kuna ubaya kufahamiana
Ila ujumbe wangu utafikishiwa tu usijali nimemtuma kuwadi wangu tayari
wasalimie watoto nyumbani
Mimi ni Kijana Mzee.Ivi wewe ni kijana au mzee?
Shem kama shem wanitoa roho mpk uchizi unanipa mmeambiwa Muanze kunywa bia tatu kwa siku tu😂😂Sema kweli bas [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inakuaje padrebuku umevaa necless😂😂Mimi nitakuwa padri
Linywe sasa😂Nimelikorogaaaaa🙌🙌🙌
Mfumo mpya wa kutafuta wachumba huu sioHello,
Member gani amekuwa bora kwako kwa miaka yote ya JF au tangia umeingia na umekuwa ukimfuatilia na kijifunza kitu kupitia yeye.
Binafsi ni MSHANA JR na MPWAYUNGU VILLAGE.
Nisiyemuelewa ni GENTAMYCINE ujuaji na FAIZA FOX udini.
Karibu Unitajie memba unayevutiwa nae na sababu na memba usiyemuelewa.
Ila mdomo wako umechangamkaMimi ni Kijana Mzee.
🤣🤣🤣🤣 inabidi nivueInakuaje padrebuku umevaa necless😂😂
Hadi Uume wangu nao Umechangamka.Ila mdomo wako umechangamka
Fabian Vitus jionee watu walivyo vurugwaHadi Uume wangu nao Umechangamka.
Mkuu iyo ni akili yako kabisa?Hadi Uume wangu nao Umechangamka.
Hadi Uume wangu nao Umechangamka.
Nilitaka nikutag nikajua upo live[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ankol wanipa raha