Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
Weeeee kisungura kwenye akili kitakaa kikikata adhabu iko pale pale😂Kunywa kisungura beer utachelewa kulewa [emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weeeee kisungura kwenye akili kitakaa kikikata adhabu iko pale pale😂Kunywa kisungura beer utachelewa kulewa [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahah taikon mkali wa fasihi mr.Robert heriel nakuelewa san mwamba.Hello,
Member gani amekuwa bora kwako kwa miaka yote ya JF au tangia umeingia na umekuwa ukimfuatilia na kijifunza kitu kupitia yeye.
Binafsi ni MSHANA JR na MPWAYUNGU VILLAGE.
Nisiyemuelewa ni GENTAMYCINE ujuaji na FAIZA FOX udini.
Karibu Unitajie memba unayevutiwa nae na sababu na memba usiyemuelewa.
Wapo na kihoro😂😂😂Fabian Vitus jionee watu walivyo vurugwa
Weka pembeni tukupe joho🤣🤣🤣🤣 inabidi nivue
Unashida mahala weweHapana ni ya yule 'Anayekuweka" 24/7.
Ahahan acha utaniWeka pembeni tukupe joho
Sio mjuaji... NAJUA KWELI! Ungeenda shule mbwa wewe! Au hujachelewa... rudi shule. Kasome MEMKWA kisha Adults education na wewe uwe unamwaga points Makenge wa aina yako na wewe wawe wanakuita mjuajiHohehahe mtumainiye mungu mjuaji sana
Sasa Mama yangu mzazi anahusiana nini na Mento kama wewe?! 😀😀😀Kama Mimi ni MBWA kama ulivyoniita hapa hata na MAMA YAKO MZAZIi nae ni MBWA vile vile.
Pumbavu.
Mwamposa ni nani?! Hebu muacheni Mfanyabiashara wa watu ajipigie pesa 😅🙌🏾👍🏾Tumpeleke kwa MWAMPOSA AKAOMBEWE
Umebeba ujinga pumbavu af acha kuzoea watu pimbi mmojaSio mjuaji... NAJUA KWELI! Ungeenda shule mbwa wewe! Au hujachelewa... rudi shule. Kasome MEMKWA kisha Adults education na wewe uwe unamwaga points Makenge wa aina yako na wewe wawe wanakuita mjuaji
Vipi una uhakika wa chai na kula mchana leo?!
Kama uliyonayo Wewe huko nyuma Kwako.Unashida mahala wewe
MSHANA JR
Unawaelewa hawa kvp?FAIZA FOX
Kuumbuka na Mimi unayenitukana ni Baba au Mama yake Mru vile vile kama ilivyo kwa Mama hivyo nakujibu kwa kadri unavyostahili.Sasa Mama yangu mzazi anahusiana nini na Mento kama wewe?! 😀😀😀
Unataka kusema wewe ni mjomba wangu..., unahusiana na Mama yangu bwana Genta au?! Sijakuelewa
Tafadhali Mjomba usirithishe wapwa zangu uchizi 😭😭😭😭
Duh Nshomile wa Muleba unasemaje Katka hili?Mkuu mimi sina uhusiano na huyo kubwa jinga na namtamani sana siku akiingia kwenye anga zangu ataenda kuwasimulia mama zake!.
Rudi tu uta blessiwa😂Ahahahahah sirudiii kumchokoza huyo sikutegemea ilo jibu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaaa mnooo, khaaaahUtamtaka tyuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakutania udugu hata kwa nini simgawi Kantri wangu kwa yeyote, nampenda pamoja na drama zake [emoji182][emoji182][emoji182][emoji8][emoji8]
Kwanza nimuachie nani zile show zake za kibabe?!!! Sema kesi zake lazima asomewe na dada mkubwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]SIKUKOMI [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaaa mnooo, khaaaah