Uchaguzi 2020 Membe ahsante sana, karibu rasmi CHADEMA. Karibu utuvushe

Uchaguzi 2020 Membe ahsante sana, karibu rasmi CHADEMA. Karibu utuvushe

Ile kiu ya wapinzani(wapinzani halisi) wa Tanzania kupata mkombozi wa kutuvusha hatimaye imefikia pazuri baada ya Membe kukaribishwa ndani ya chadema na hatimaye kusubiri kuwa mgombea wa urais.

Chadema katika siku ambayo mmefanya jambo la maana na umuhimu sana basi ni hii ya kumpa Membe nafasi ya kutuvusha 2020.

Membe ni mwanamkakati na mbobezi kwenye masuala yote ya intelijensia, hivyo ni mtu sahihi kabisa na muhimu kwa wakati huu kuliko wakati wowote ule.

Membe sio Lissu, Membe ana ushawishi, ana mtaji wa watu wengi sana kitu ambacho Lissu hana na kamati kuu imeona hili suala.
Karibu Membe chadema, karibu utupiganie, karibu utuvushe.

#2020 upinzani tunaenda na Membe#

😂😂😂 Nyie kama fisi..
 
Daah Tundu lissu ashatoka kwenye utukufu Tena Ila kwakwel inahitaji nguvu nyingi chadema kuwaelewa wanapenda Nini na hawapendi Nini ?

Na nilichogundua Watanzania huwa hatujifunzi kutokana na makosa tuliyoyafanya nyuma.

Yani mtu alipigwa risasi Zaid ya 16 akikipigania chama leo hii mmemuona Hana umuhimu tena kisa kachero mmoja aliefukuzwa uanachama ndani ya chama chake.

Dhambi ya usaliti itaendelea kuwatafuna Sana CHADEMA.
Unafikiri lissu angerudi angeachiwa
Tu....awe huru

Ova
 
Cdm haiwezi kuisha kamwe maana cdm siyo hilo neno cdm, bali ni wanachama
Membe anataka urais tu basi. akiukosa October, atai-Lowasa kambi ya upinzani immediately!

Chadema wakimpokea ndiyo mwanzo wa mwisho wa chama!
 
Nimecheka sana, yaani sasa ni mwendo wa kichura chura
Mtaa wa Lumumba wakikumbuka tu zile push up, kila mmoja anaombea bora uchaguzi mkuu usiwepo kabisa.

Na mwaka tunataka wapige kichura chura! Push up hazitatushawishi kwa lolote.
 
Daah Tundu lissu ashatoka kwenye utukufu Tena Ila kwakwel inahitaji nguvu nyingi chadema kuwaelewa wanapenda Nini na hawapendi Nini ?

Na nilichogundua Watanzania huwa hatujifunzi kutokana na makosa tuliyoyafanya nyuma.

Yani mtu alipigwa risasi Zaid ya 16 akikipigania chama leo hii mmemuona Hana umuhimu tena kisa kachero mmoja aliefukuzwa uanachama ndani ya chama chake.

Dhambi ya usaliti itaendelea kuwatafuna Sana CHADEMA.
Lisu=first option.
Membe =plan c
B is mnyampaa
 
Mbona mlipo shiriki kumtwanga risasi hukusikitika?
Daah Tundu lissu ashatoka kwenye utukufu Tena Ila kwakwel inahitaji nguvu nyingi chadema kuwaelewa wanapenda Nini na hawapendi Nini ?

Na nilichogundua Watanzania huwa hatujifunzi kutokana na makosa tuliyoyafanya nyuma.

Yani mtu alipigwa risasi Zaid ya 16 akikipigania chama leo hii mmemuona Hana umuhimu tena kisa kachero mmoja aliefukuzwa uanachama ndani ya chama chake.

Dhambi ya usaliti itaendelea kuwatafuna Sana CHADEMA.
 
Vigogo wa ccm waliodhalilishwa awamu hii hadi kuomba msamamaha hadharani wapo na Membe.
 
teh!!! teh!!! teh!!! teh!!! teh!!! teh!!! teh!!! teh!!! teh!!! teh!!! teh!!! teh!!! teh!!! teh!!! teh!!! teh!!! teh!!! teh!!! teh!!! teh!!! teh!!! teh!!! teh!!! teh!!! teh!!! teh!!! teh!!! teh!!!

Mahokaa!!! teh!!! teh!!! teh!!! teh!!!

Back
Top Bottom