Uchaguzi 2020 Membe ahsante sana, karibu rasmi CHADEMA. Karibu utuvushe

Uchaguzi 2020 Membe ahsante sana, karibu rasmi CHADEMA. Karibu utuvushe

Cdm haiwezi kuisha kamwe maana cdm siyo hilo neno cdm, bali ni wanachama
wanachama hawawezi kuendelea ku support chama ambacho viongozi wake wanaendelea kurudia makosa yale yale ya miaka nenda rudi.

wakirudia ya Lowasa na Sumaye kwa Membe, ninakuhakikishia chama kitakufa lazima.
 
Mbona nyuzi za hivi lumumba wanazileta Sana? Membe kaenda CDM kaenda CDM. Mna Akili fupi kweli
 
Membe hawezi kuwa mgombea wa Chadema hana pesa za kumlipa Mwamba. Siasa za Tanzania hasa upinzania ni fursa tosha.
 
Weka picha !
Sawa
FB_IMG_1594008255435.jpeg
 
Hakiwezi kufa hata siku moja labda kije kihama maana watu wote tutakufa, vinginevyo cdm itaendelea kuwepo
wanachama hawawezi kuendelea ku support chama ambacho viongozi wake wanaendelea kurudia makosa yale yale ya miaka nenda rudi.

wakirudia ya Lowasa na Sumaye kwa Membe, ninakuhakikishia chama kitakufa lazima.
 
Na kwahali hii itachukua miaka Mingi Sana CCM kuitoa madarakani,
Maana wanao onekana hawafai CCM(Makapi) ndo wanaonekana dhahabu upande wa pili..
Safari bado tunayo Tena siyo kidogo.
Siasa haziko hivyo tuwe kitu kimoja, hakuna mbovu kama jiwe lakini ccm wameamua kumbeba.
 
Ile kiu ya wapinzani(wapinzani halisi) wa Tanzania kupata mkombozi wa kutuvusha hatimaye imefikia pazuri baada ya Membe kukaribishwa ndani ya chadema na hatimaye kusubiri kuwa mgombea wa urais.

Chadema katika siku ambayo mmefanya jambo la maana na umuhimu sana basi ni hii ya kumpa Membe nafasi ya kutuvusha 2020.

Membe ni mwanamkakati na mbobezi kwenye masuala yote ya intelijensia, hivyo ni mtu sahihi kabisa na muhimu kwa wakati huu kuliko wakati wowote ule.

Membe sio Lissu, Membe ana ushawishi, ana mtaji wa watu wengi sana kitu ambacho Lissu hana na kamati kuu imeona hili suala.
Karibu Membe chadema, karibu utupiganie, karibu utuvushe.

#2020 upinzani tunaenda na Membe#
Naona watu wa propaganda wa CCM mpo kazini. Kwa taarifa yako mmeshafeli na pandikizi lenu Membe.
Wapinzani na watanzania saivi wameelevuka sana na wanajua mipango yenu yote ovu dhidi ya Upinzani wa kweli.

CCM jiandaeni, Mwaka huu ni Lissu tu. Andaeni hoja za kujibizana nae maana mwaka huu hata kura hamtaweza kuiba.
 
Ile kiu ya wapinzani(wapinzani halisi) wa Tanzania kupata mkombozi wa kutuvusha hatimaye imefikia pazuri baada ya Membe kukaribishwa ndani ya chadema na hatimaye kusubiri kuwa mgombea wa urais.

Chadema katika siku ambayo mmefanya jambo la maana na umuhimu sana basi ni hii ya kumpa Membe nafasi ya kutuvusha 2020.

Membe ni mwanamkakati na mbobezi kwenye masuala yote ya intelijensia, hivyo ni mtu sahihi kabisa na muhimu kwa wakati huu kuliko wakati wowote ule.

Membe sio Lissu, Membe ana ushawishi, ana mtaji wa watu wengi sana kitu ambacho Lissu hana na kamati kuu imeona hili suala.
Karibu Membe chadema, karibu utupiganie, karibu utuvushe.

#2020 upinzani tunaenda na Membe#
CHADEMA ina maana uwa hakuna wanaoweza kuwa maraisi mpaka msubiri rejected products za CCM. Yani CCM inaacha makapi nyie mnaokota kweli?
CHADEMA sidhani kama ni chama ambacho kweli kiko serious kuchukua nchi
 
Siasa haziko hivyo tuwe kitu kimoja, hakuna mbovu kama jiwe lakini ccm wameamua kumbeba.
Acha kujipa moyo, yani uokote makapi ya CCM halafu udai wewe ndiye wataka kuleta mabadiriko? Ina maana chama kizima na viongozi na wanachama hakuna aliye bora wakupeperusha kijiti mpaka makapi ya CCM?
 
Kosa la 2015 linaenda kujirudia tena
Inajulikana JPM anaenda kushinda tena,tena kwa kishindo,Ni wakati wa CHADEMA kukijenga chama,ila naona wameamua kujipoteza mazima kwenye dira ya siasa.
 
Acha kujipa moyo, yani uokote makapi ya CCM halafu udai wewe ndiye wataka kuleta mabadiriko? Ina maana chama kizima na viongozi na wanachama hakuna aliye bora wakupeperusha kijiti mpaka makapi ya CCM?
Hayo hayo makapi yenu yanawatosha hata Nyerere alishasema hayo.
 
Mtaji wa Membe ni watu sita walioko CCM ambao hataki kuwataja.

Na maadui 11 ambao akishika dola watakimbila Kenya.
 
Back
Top Bottom