Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,395
Mistake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwingine wapi?
Kwani lazima uwe chadema?? Tuache na chadema yetu wewe mfate Lissu alipo.
2020 membe tuvushe
Mwokozi ni Yesu tu mkuu, wanasiasa watakuacha mdomo wazi one day....Ile kiu ya wapinzani(wapinzani halisi) wa Tanzania kupata mkombozi wa kutuvusha hatimaye imefikia pazuri baada ya Membe kukaribishwa ndani ya chadema na hatimaye kusubiri kuwa mgombea wa urais.
Chadema katika siku ambayo mmefanya jambo la maana na umuhimu sana basi ni hii ya kumpa Membe nafasi ya kutuvusha 2020.
Membe ni mwanamkakati na mbobezi kwenye masuala yote ya intelijensia, hivyo ni mtu sahihi kabisa na muhimu kwa wakati huu kuliko wakati wowote ule.
Membe sio Lissu, Membe ana ushawishi, ana mtaji wa watu wengi sana kitu ambacho Lissu hana na kamati kuu imeona hili suala.
Karibu Membe chadema, karibu utupiganie, karibu utuvushe.
#2020 upinzani tunaenda na Membe#
Km umekula hela siuseme usituletee ujinga
Membe ndani ya Chadema inawezekana.
makamanda amsha amsha twende na Membe kazi na bata.
Hawa jamaa ni wataalam wa kutunga insha tena wamebobea ktk kazi hiyo ukiangalia maelezo yamenyooka usipokuwa makini povu lazima likutokeIle kiu ya wapinzani(wapinzani halisi) wa Tanzania kupata mkombozi wa kutuvusha hatimaye imefikia pazuri baada ya Membe kukaribishwa ndani ya chadema na hatimaye kusubiri kuwa mgombea wa urais.
Chadema katika siku ambayo mmefanya jambo la maana na umuhimu sana basi ni hii ya kumpa Membe nafasi ya kutuvusha 2020.
Membe ni mwanamkakati na mbobezi kwenye masuala yote ya intelijensia, hivyo ni mtu sahihi kabisa na muhimu kwa wakati huu kuliko wakati wowote ule.
Membe sio Lissu, Membe ana ushawishi, ana mtaji wa watu wengi sana kitu ambacho Lissu hana na kamati kuu imeona hili suala.
Karibu Membe chadema, karibu utupiganie, karibu utuvushe.
#2020 upinzani tunaenda na Membe#
kazi na bata kaka,,,,kazi na bata kaka,,,kazi na bata kaka.#kazinabata#
Kama kuwavusha mngempitisha apambane na Magufuli.Wewe ni mpiga deki tu, tulia Membe atuvushe tunaojielewa.
Upinzani wa kwenda Msalani labda, Upinzani halisi unaenda Ikulu na Tundu LissuIle kiu ya wapinzani(wapinzani halisi) wa Tanzania kupata mkombozi wa kutuvusha hatimaye imefikia pazuri baada ya Membe kukaribishwa ndani ya chadema na hatimaye kusubiri kuwa mgombea wa urais.
Chadema katika siku ambayo mmefanya jambo la maana na umuhimu sana basi ni hii ya kumpa Membe nafasi ya kutuvusha 2020.
Membe ni mwanamkakati na mbobezi kwenye masuala yote ya intelijensia, hivyo ni mtu sahihi kabisa na muhimu kwa wakati huu kuliko wakati wowote ule.
Membe sio Lissu, Membe ana ushawishi, ana mtaji wa watu wengi sana kitu ambacho Lissu hana na kamati kuu imeona hili suala.
Karibu Membe chadema, karibu utupiganie, karibu utuvushe.
#2020 upinzani tunaenda na Membe#
Kama unampenda sana huyo Lissu kanywe nae chai! Unataka nikupe yaliyo ndani ya chadema kuhusu Lissu?? Subiri jioni hii tumalize kwanza kikaoKama kuwavusha mngempitisha apambane na Magufuli.
Project yenu imeshafeli kabla haijaanza. Mnaenda kabidhi ikulu kwa upinzani mwaka huu. Mwaka 2020 ni mwaka wa Malawi na Tanzania kufanya mabadiriko ya kweli. Msiyempenda TUNDU ANTIPASS LISSU kaja.
We huna akili, kesho ntawaletea yaliyojiri kwenye kikao cha leo jioni kuhusu Lissu. Mipango yake yote na hila zake zote zishajulikanaUpinzani wa kwenda Msalani labda, Upinzani halisi unaenda Ikulu na Tundu Lissu
😂😂😂 Lumumba mnalo mwaka huu. Ni TUNDU ANTIPAS LISSU tuKama unampenda sana huyo Lissu kanywe nae chai! Unataka nikupe yaliyo ndani ya chadema kuhusu Lissu?? Subiri jioni hii tumalize kwanza kikao
Kakojoe ulale. Kikao labda cha maccm menzako. This time, no more mistake, sio tu kwenye nafasi ya urais, hata ubunge!! Kaeni na makapi yenu!! Sana Sana yapelekeni NCCR au ACT. TumejifunzaWe huna akili, kesho ntawaletea yaliyojiri kwenye kikao cha leo jioni kuhusu Lissu. Mipango yake yote na hila zake zote zishajulikana