Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Mtoa mada katumwa na chakubanga kupima upepo.Kosa la 2015 linaenda kujirudia tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoa mada katumwa na chakubanga kupima upepo.Kosa la 2015 linaenda kujirudia tena
Si CCM anayatema CHADEMA mnayaokota. Sijui kwanini CHADEMA inashindwa kuamini vijana wake na viongozi wanaopigana usiku na mchana inaamini makapiHayo hayo makapi yenu yanawatosha hata Nyerere alishasema hayo.
Sijui.Wewe ulimezeshwa nini?
Nenda kwingine. Hulazimishwi.Mbowe , km unataka matatizo mpitishe huyo muhuni uje uone hasira zetu.
Membe for president via chadema.Ile kiu ya wapinzani(wapinzani halisi) wa Tanzania kupata mkombozi wa kutuvusha hatimaye imefikia pazuri baada ya Membe kukaribishwa ndani ya chadema na hatimaye kusubiri kuwa mgombea wa urais.
Chadema katika siku ambayo mmefanya jambo la maana na umuhimu sana basi ni hii ya kumpa Membe nafasi ya kutuvusha 2020.
Membe ni mwanamkakati na mbobezi kwenye masuala yote ya intelijensia, hivyo ni mtu sahihi kabisa na muhimu kwa wakati huu kuliko wakati wowote ule.
Membe sio Lissu, Membe ana ushawishi, ana mtaji wa watu wengi sana kitu ambacho Lissu hana na kamati kuu imeona hili suala.
Karibu Membe chadema, karibu utupiganie, karibu utuvushe.
#2020 upinzani tunaenda na Membe#
Kwingine wapi?Nenda kwingine. Hulazimishwi.
Membe anataka urais tu basi. akiukosa October, atai-Lowasa kambi ya upinzani immediately!
Chadema wakimpokea ndiyo mwanzo wa mwisho wa chama!
Michezo ya ccm chadema wanaijua hawawezi meza ndoano
Huyo chadema panamfiti kabisa. Sisiemu alishafukuzwa.Kudadake labda akagombee ccm
Daah Tundu lissu ashatoka kwenye utukufu Tena Ila kwakwel inahitaji nguvu nyingi chadema kuwaelewa wanapenda Nini na hawapendi Nini ?
Na nilichogundua Watanzania huwa hatujifunzi kutokana na makosa tuliyoyafanya nyuma.
Yani mtu alipigwa risasi Zaid ya 16 akikipigania chama leo hii mmemuona Hana umuhimu tena kisa kachero mmoja aliefukuzwa uanachama ndani ya chama chake.
Dhambi ya usaliti itaendelea kuwatafuna Sana CHADEMA.
Huu utopolo washirikishe wapumbavu wenzako hapo Lumumba
Chadema Mtakua mmeingia chaka mbaya kumuacha Lissu.
Membe siyo kapi, ni mtu huru aliyefukuzwa CCM kwa sababu ya kupigania haki za wananchi, utawala wa sheria na demokrasia
Huyo chadema panamfiti kabisa. Sisiemu alishafukuzwa.
Kwangu chadema wasipompa lissu kugombea sipigi kura.membe tangu lini awe mkombozi?
Naona watu wa propaganda wa CCM mpo kazini. Kwa taarifa yako mmeshafeli na pandikizi lenu Membe.
Wapinzani na watanzania saivi wameelevuka sana na wanajua mipango yenu yote ovu dhidi ya Upinzani wa kweli.
CCM jiandaeni, Mwaka huu ni Lissu tu. Andaeni hoja za kujibizana nae maana mwaka huu hata kura hamtaweza kuiba.
Anatosha chadema mkuu. Wenye chama wameshaamua na bavicha hardcore wameshampitisha mkuu.Basi akagombee ccmB Cuf au Nccr