Uchaguzi 2020 Membe ahsante sana, karibu rasmi CHADEMA. Karibu utuvushe

Ile kiu ya wapinzani(wapinzani halisi) wa Tanzania kupata mkombozi wa kutuvusha hatimaye imefikia pazuri baada ya Membe kukaribishwa ndani ya chadema na hatimaye kusubiri kuwa mgombea wa urais.

CHADEMA katika siku ambayo mmefanya jambo la maana na umuhimu sana basi ni hii ya kumpa Membe nafasi ya kutuvusha 2020.

Membe ni mwanamkakati na mbobezi kwenye masuala yote ya intelijensia, hivyo ni mtu sahihi kabisa na muhimu kwa wakati huu kuliko wakati wowote ule.

Membe sio Lissu, Membe ana ushawishi, ana mtaji wa watu wengi sana kitu ambacho Lissu hana na kamati kuu imeona hili suala.
Karibu Membe chadema, karibu utupiganie, karibu utuvushe.

#2020 upinzani tunaenda na Membe#
Lumumba naona yenu yanawashinda
Sasa mko Busy kupiga Ramli
Yaani mnajitia Vidole wenyewe na kujichekesha
Tulieni, Lissu anakuja
Huyu ndio Kiboko cha Bwana wenu
 
Huu uzi umeanzishwa na matakataka yale yale ya Lumumba. Haya matakataka yanajitahidi sana kuchafua upinzani kwa kuanzisha hizi nyuzi za kijinga na za kipuuzi. Vijana waliozaliwa kwenye mikesha ya mwenge tabu tupu. Ushahidi ni huu hapa chini...

Nyie ni wajinga na mtaendelea kuwa wajinga, sasa ivi naskia mnajiandaa kumpigia deki membe
Huyo hapo ni Countrywide tarehe 24/6/2020
Ile kiu ya wapinzani(wapinzani halisi) wa Tanzania kupata mkombozi wa kutuvusha hatimaye imefikia pazuri baada ya Membe kukaribishwa ndani ya chadema na hatimaye kusubiri kuwa mgombea wa urais.
#2020 upinzani tunaenda na Membe#
Huyu hapa ni Countrywide tarehe 7/7/2020

Bila shaka mnashangaa na kujiuliza kama huyo Countrywide wa mwezi wa sita ndiye huyu Countrywide wa mwezi huu wa saba! Nawaomba msihangaike sana, ni huyo huyo mtu mmoja. Tatizo la hawa vijana wa Lumumba, zao la mikesha ya mwenge, ni hilo hilo...hawana kitu vichwani. Cha kujiliza ni hili, je huyo anayewatuma, yeye vipi? Kweli naye ana akili? Wangekuwa na akili kidogo tu wangejua kuwa JamiiForums si FB wala yale mablog maskani ya matakataka hama haya...sijui yanaokotwa wapi! Countrywide mpelekee salamu bosi wako hapo Lumumba!

Salaam ziwafikie BUSH BIN LADEN, Consultant, Savimbi Jr, pamoja Santa, Countrywide, Lordrank, barafuyamoto, Isalia, Mc cane,
stroke, Gerald .M Magembe, Drone Camera, Mr Tyang, Ambition plus, kalemauji, Silasuga mahinyila, Blasto Ngeleja...

....na matakataka yote ya Lumumba! Fikisha salamu kwa Chakubanga!
 
Ile kiu ya wapinzani(wapinzani halisi) wa Tanzania kupata mkombozi wa kutuvusha hatimaye imefikia pazuri baada ya Membe kukaribishwa ndani ya chadema na hatimaye kusubiri kuwa mgombea wa urais.

CHADEMA katika siku ambayo mmefanya jambo la maana na umuhimu sana basi ni hii ya kumpa Membe nafasi ya kutuvusha 2020.

Membe ni mwanamkakati na mbobezi kwenye masuala yote ya intelijensia, hivyo ni mtu sahihi kabisa na muhimu kwa wakati huu kuliko wakati wowote ule.

Membe sio Lissu, Membe ana ushawishi, ana mtaji wa watu wengi sana kitu ambacho Lissu hana na kamati kuu imeona hili suala.
Karibu Membe chadema, karibu utupiganie, karibu utuvushe.

#2020 upinzani tunaenda na Membe#
Kazi na Bata ,Membe for presidency 2020.
 
Daah Tundu lissu ashatoka kwenye utukufu Tena Ila kwakwel inahitaji nguvu nyingi chadema kuwaelewa wanapenda Nini na hawapendi Nini ?

Na nilichogundua Watanzania huwa hatujifunzi kutokana na makosa tuliyoyafanya nyuma.

Yani mtu alipigwa risasi Zaid ya 16 akikipigania chama leo hii mmemuona Hana umuhimu tena kisa kachero mmoja aliefukuzwa uanachama ndani ya chama chake.

Dhambi ya usaliti itaendelea kuwatafuna Sana CHADEMA.
Hakupigwa akikipigania chama bali akiipigania nchi, watanzania ukiwemo wewe
 
Daah Tundu lissu ashatoka kwenye utukufu Tena Ila kwakwel inahitaji nguvu nyingi chadema kuwaelewa wanapenda Nini na hawapendi Nini ?

Na nilichogundua Watanzania huwa hatujifunzi kutokana na makosa tuliyoyafanya nyuma.

Yani mtu alipigwa risasi Zaid ya 16 akikipigania chama leo hii mmemuona Hana umuhimu tena kisa kachero mmoja aliefukuzwa uanachama ndani ya chama chake.

Dhambi ya usaliti itaendelea kuwatafuna Sana CHADEMA.
Kama itakuwa kweli karma itakuwa imefanya kazi nakumbuka Tundu Lissu alipomgeuka Dr. Slaa na kuanza kufatana na Lowassa
 
Ile kiu ya wapinzani(wapinzani halisi) wa Tanzania kupata mkombozi wa kutuvusha hatimaye imefikia pazuri baada ya Membe kukaribishwa ndani ya chadema na hatimaye kusubiri kuwa mgombea wa urais.

CHADEMA katika siku ambayo mmefanya jambo la maana na umuhimu sana basi ni hii ya kumpa Membe nafasi ya kutuvusha 2020.

Membe ni mwanamkakati na mbobezi kwenye masuala yote ya intelijensia, hivyo ni mtu sahihi kabisa na muhimu kwa wakati huu kuliko wakati wowote ule.

Membe sio Lissu, Membe ana ushawishi, ana mtaji wa watu wengi sana kitu ambacho Lissu hana na kamati kuu imeona hili suala.
Karibu Membe chadema, karibu utupiganie, karibu utuvushe.

#2020 upinzani tunaenda na Membe#
Membe NO NO NO kugombea kupitia CHADEMA
 
kama ana ubavu wa kuliangusha jiwe tunaenda nae. tuendeni na Membe.
 
Membe ni mwanamkakati na mbobezi kwenye masuala yote ya intelijensia, hivyo ni mtu sahihi kabisa na muhimu kwa wakati huu kuliko wakati wowote ule.

UBOBEZI wa inteligensia utatusaidia nini, tunamtafuta Kagame ?????

Mbobezi wa inteligensia ameshindwa kutumia kiji app cha VPN kwenye simu ili awe encrypted wasimdukue ????

U-spy wa Membe utasaidia kusambaza maji na madaktari vijijini ?????

Mbona ukachero wake haukutusaidia wakati wa utawala wa kaka yake majambazi yanaingia mchana NMB za central business district, yanaingia polisi yanaua yanachukua silaha, u-Spy wake na uluteni kanali wa kaka yake, ulitusaidia nini????

Who on earth is Benard Membe going to spy on, wananchi wake ???? Kwani tuko vitani tunahitaji Rais spy ????

Kachero Mbobezi my foot!
 
Back
Top Bottom