Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,176
- 10,068
Lumumba naona yenu yanawashindaIle kiu ya wapinzani(wapinzani halisi) wa Tanzania kupata mkombozi wa kutuvusha hatimaye imefikia pazuri baada ya Membe kukaribishwa ndani ya chadema na hatimaye kusubiri kuwa mgombea wa urais.
CHADEMA katika siku ambayo mmefanya jambo la maana na umuhimu sana basi ni hii ya kumpa Membe nafasi ya kutuvusha 2020.
Membe ni mwanamkakati na mbobezi kwenye masuala yote ya intelijensia, hivyo ni mtu sahihi kabisa na muhimu kwa wakati huu kuliko wakati wowote ule.
Membe sio Lissu, Membe ana ushawishi, ana mtaji wa watu wengi sana kitu ambacho Lissu hana na kamati kuu imeona hili suala.
Karibu Membe chadema, karibu utupiganie, karibu utuvushe.
#2020 upinzani tunaenda na Membe#
Sasa mko Busy kupiga Ramli
Yaani mnajitia Vidole wenyewe na kujichekesha
Tulieni, Lissu anakuja
Huyu ndio Kiboko cha Bwana wenu