Clemence Mwandambo
JF-Expert Member
- Dec 2, 2018
- 1,378
- 1,427
Kumbuka yaliyomkuta Dr. Slaa. Machozi ya samaki huishia baharini.Daah Tundu lissu ashatoka kwenye utukufu Tena Ila kwakwel inahitaji nguvu nyingi chadema kuwaelewa wanapenda Nini na hawapendi Nini ?
Na nilichogundua Watanzania huwa hatujifunzi kutokana na makosa tuliyoyafanya nyuma.
Yani mtu alipigwa risasi Zaid ya 16 akikipigania chama leo hii mmemuona Hana umuhimu tena kisa kachero mmoja aliefukuzwa uanachama ndani ya chama chake.
Dhambi ya usaliti itaendelea kuwatafuna Sana CHADEMA.
Sijui.
Naamini iko siku nitapata Chai na Lissu ,Mungu akijaalia,Kama unaona Lissu wa maana sana, kanywe nae chai
Membe for president via chadema.
Kudadake labda akagombee ccm
Sema ndio itakuwa mwanzo wa mwisho wako wewe. Alafu watu kama nyie hatuwahitaji huku
Membe 2020 for presidency
Nitajua nini?Utajua tu
Huyo chadema panamfiti kabisa. Sisiemu alishafukuzwa.
Lissu ndio nani?? Kwa hiyo kwa sababu kapigwa risasi 16 basi ndio tumpe nafasi ya kugombea?? Ingekuwa hivyo 50 cent angekuwa raisi wa marekani
Lissu aendelee kula zake bata huko alipo, tunaenda na membe jasusi mbobezi
Ile kiu ya wapinzani(wapinzani halisi) wa Tanzania kupata mkombozi wa kutuvusha hatimaye imefikia pazuri baada ya Membe kukaribishwa ndani ya chadema na hatimaye kusubiri kuwa mgombea wa urais.
Chadema katika siku ambayo mmefanya jambo la maana na umuhimu sana basi ni hii ya kumpa Membe nafasi ya kutuvusha 2020.
Membe ni mwanamkakati na mbobezi kwenye masuala yote ya intelijensia, hivyo ni mtu sahihi kabisa na muhimu kwa wakati huu kuliko wakati wowote ule.
Membe sio Lissu, Membe ana ushawishi, ana mtaji wa watu wengi sana kitu ambacho Lissu hana na kamati kuu imeona hili suala.
Karibu Membe chadema, karibu utupiganie, karibu utuvushe.
#2020 upinzani tunaenda na Membe#
Lissu ndiye kiongozi wako
Wewe kazi yako ni kupost tu humu jf, yaliyo ndani ya chadema hujui hata moja
Nitajua nini?
Ile kiu ya wapinzani(wapinzani halisi) wa Tanzania kupata mkombozi wa kutuvusha hatimaye imefikia pazuri baada ya Membe kukaribishwa ndani ya chadema na hatimaye kusubiri kuwa mgombea wa urais.
Chadema katika siku ambayo mmefanya jambo la maana na umuhimu sana basi ni hii ya kumpa Membe nafasi ya kutuvusha 2020.
Membe ni mwanamkakati na mbobezi kwenye masuala yote ya intelijensia, hivyo ni mtu sahihi kabisa na muhimu kwa wakati huu kuliko wakati wowote ule.
Membe sio Lissu, Membe ana ushawishi, ana mtaji wa watu wengi sana kitu ambacho Lissu hana na kamati kuu imeona hili suala.
Karibu Membe chadema, karibu utupiganie, karibu utuvushe.
#2020 upinzani tunaenda na Membe#
so mlitaka kumuua lisuChadema Mtakua mmeingia chaka mbaya kumuacha Lissu.
Mbona umeuliza swali kwa hasiraCHADEMA HIVI HAWANA WATU WENGINE WA KUGOMBEA URAIS? MBONA WANAINGIA MTEGONI KIRAHISI SANA.
Huu ni uzi wa propaganda toka Lumumba.. don't take it seriously!Daah Tundu lissu ashatoka kwenye utukufu Tena Ila kwakwel inahitaji nguvu nyingi chadema kuwaelewa wanapenda Nini na hawapendi Nini ?