Uchaguzi 2020 Membe ameanza kukanyaga kwenye uwanja wa uchaguzi kwa mguu wake mbovu

Hivi karibuni Mwanasiasa BM amekuwa akitumia uwingi pale anapoeleza azma au nia yake kwa jamii. Mara kadhaa amesikika akitumia maneno kama vile Tutagombea, Tutachukua fomu, Tutashinda, nk...
Ukabila anao jiwe na hilo halina ubishi. Membe mtu safi kabisa.
 
Ile technique yao iliyobuma ingeweza kumng'oa MAGUFULI ndani ya CCM ila ya Kupitia UCHAGUZI Mkuu atapata taabu saaaana
 
Huyo ni taahira mwenzako wa Lumumba ujue.
 
Oook
 
mcheza kwao utunzwa
 
Tutafutane siku ya kutangazwa matokeo ya kura ya uraisi tutajua nani taahira kati yangu na wewe.
Hata kabla ya uchaguzi wewe ulipo sasa hivi agiza kilo moja ya kitimoto na grants kubwa nakuja kulipa kabla hujamaliza.
 
Swali fikirishi je uwanja wa kujadili Agenda za kitaifa ama vipaumbele upoo!
 
Umekubali kumpa Mushi pesa!!!
Alisikika kiongozi mmoja akisema hivyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…