Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Tutamsapoti yeyote yule mradi aling'oe Jiwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na vipi kuhusu ule upande wa bwana yule anaetumia mpaka wafungwa kupandisha bendera za chama mitaani hilo unalizungumziaje mleta mada?
Tume ni huru ndio maana tunashiriki kila chaguzi Kama sio huru tungekuwa tunashiriki vipi? Hii kusema sio huru Ni kujihami tu[emoji23]
Wanafanya maskhara penye utani!!Akamuulize Jecha mgombea uraisi Zanzibar 😛 😛 😛
Ni mtu mufilisi tu ndie anaweza kumhusisha Membe na ukabila! Ukabila utamsaidia nini yeye wakati kabila lake lenyewe halipo hata miongoni mwa makabila 10 makubwa Tanzania?!Jana BM ametegua kindewawili hicho. Matumizi hayo ya uwingi yana yanaonesha UKABILA alionao Membe, kwani yeye mwenyewe kwa kinywa chake alisema Mabaraza ya Vyama anavyotaka kupeperusha bendera yao yanajadili suala la Rondo.