Pua ya zege
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 1,941
- 2,081
Ndio shida ya ngozi nyeusi ukiambiwa we ni Nyani unalalamika yaani wewe pumbafu unaamini waziri hawezi kuwa chawa kwa taarifa yako alikuwa chawa wangu.Unasema aliwahi kuwa rafiki yako? Inaonekana alikupotezea kwa kuwa ulikuwa na element za uchawa kwake.! Kifupi ni njaa ndio ilikufanya ujipendekeze kwake, kwa kuligundua hilo akakukataa, alifanya vizuri mno kuwakataa chawa kama wewe.!
Nitafite privately nikupe shule vipi ndege zingechochea kilimo kama zintatumika appropriately.....nabii yenu ndiye aliyekuwa akikwamisha maendeleo yetu.
..alitumia matrilioni kununua midege toka kwa mabeberu huku sekta kubwa kama kilimo ikiwa imepangiwa bajeti kiduchu.
..sasa huko sio kutorosha utajiri na fedha za Watz kwenda kwa mabeberu? je, ndege zina mchango mkubwa kuliko kilimo?
Kwanini umesema wewe upo kutetea legacy yake? Kwani kuna watu wanaoharibu legacy? Mimi huwa naamini mambo mazuri huwa yanaishi yenyewe wala hayahitaji promo.Nani amemtweza nani? Au unaishi kwa hisia? Walioanza kumtweza mwenzao nani?
Tatizo ni kuwa facts zake zinajitetea kuliko maneno yao mengi yasiyo na viti vyaku show case...Trying to act smart and playing victims...
Mzee alitumia Sana akili hapo.Membe interest yake ilikuwa apige hizo paundi billion 7 sio kwamba alikuwa na msaada sana na Tanzania.
Hizi ndizo akili za wanasiasa wa bongo na Magu alijua akimpa mwanya wa hizo hela angemletea ugumu kutawala sababu amekuwa mpinzani toka jina lake lilipokatwa.
Hahahah! Hapa Mkuu imebidi nicheke, uamuzi wa kuwa na ndege nauunga mkono kwa 100% ni jambo jema na zuri kuwa na National carrier ila ndege kuchochea kilimo hapo sasa umekuwa mwanasiasa kidogo, sio ku subsidize katika mbolea,agromechanics and so on...maana kwanza tuwe na uhakika wa production maana customers wanataka metric tonnes za kutosha throughout the year then tuwaze logistics issues. So to me first Credit facilities to the farmers then simultaneously planning for logistics issues.Nitafite privately nikupe shule vipi ndege zingechochea kilimo kama zintatumika appropriately...
Yaani unajua huyu mtu ni mwizi alafu umpe nafasi? Jaribu kupitia comments za watu utagundua JPM alikuwa sahihi kumuwekea kauzibe huyo mswahili.Saioni kwann umnyime mtanzania mwenzako nafasi sababu unaona atakuwa fisadi. Mupe kisha kaa nae chini mueleze unalotegemea kutoka kwake.
Ni sawa na mtoto wako kafaulu ila unagoma kumlipia ada kwamba unahisi atavuta bangi huko shule halafu nafasi yake unampa mtoto wa jirani.
Hapa, pamoja na madoa ya membe ila raisi wetu hakuwa sawa.
Ni kweli alikuwa katili, mdhalilishaji na muuaji ila kwa maslahi mapana ya taifa. Alitakiwa kuwa zaidi ya pale.!..hata magufuli alikuwa na umangungo fulani hivi.
..umesahau alivyokubali kishika uchumba cha usd 300 million toka barrick badala ya usd 191 billion alizodai wametuibia?
..au mabilioni aliyotumia kununua midege toka kwa mabeberu huku akipeleka fedha kiduchu kwenye sekta ya kilimo.
..magufuli ni mfano wa mangungo wa karne ya 21, na vilevile alikuwa mkatili, mdhalilishaji, na muuaji.
Yaani nashinwa kumuelewa huyu mzee.!Bure kabisa huyu, haya hayupo gombea utakacho basi?!
Wewe ndio wamkashifu JPM…
Lazima useme hivyo kwani unajitetea[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji7] Ila nimeshajua ulikuwa chawa, nimeona dalili mojawapo kuu 1 kwako, ila sikuambii ni ipi. Ona sasa unavyohadhirika?! Unaonekana ulikuwa na njaa njaa mno na ndio maana akakutema[emoji16][emoji16][emoji16]Ndio shida ya ngozi nyeusi ukiambiwa we ni Nyani unalalamika yaani wewe pumbafu unaamini waziri hawezi kuwa chawa kwa taarifa yako alikuwa chawa wangu.
Bila kusahau kuwa yeye ni shushu mbobeziNi kweli nipe sababu kwa nini asingezungumza na katiba inamruhusu?
Yeah tupo.!MATAGA buku 7 mpo??
Mje mtoe utetezi kwa sponsor wenu uchwara
First class university ndio nini?Membe ana first class university, ni. miongoni mwa vichwa vichache enzi hizo kupiga first class
Ukijifanya kibeberu mbele ya Rais wa nchi, lazima ukutane na hayo. Ni muhimu na ni lazima kiongozi mkuu wa nchi aheshimiwe hata kama hukubaliani naye.Ok, naona Membe ameamua kufunguka ila ajue wengine aliowasema bado wako hai, hapa naona vita ya maneno itaenda kuanza very soon huko CCM, na zaidi zile kelele za "hawa wa kanda hii" na "wale wa kanda ile" zitazidi kushika kasi na hili litakuwa kikwazo kwenye serikali ya Samia hasa baada ya Rais kusikika akisema hamtumbui mtu kutokana na kabila lake.
Membe anachofanya kwa kifupi ni kuonesha zamu yao ya kujidai imerudi, ndio maana juzi amesikika Mzee Makamba akisema Mungu halishwi ugali analishwa maombi na akayasikia, leo Membe anakuja na hili, Kinana nae aliwahi ku tweet siku za nyuma akionesha sasa mambo yao safi, na Makamba mdogo karudishwa serikalini, kwao ni mwendo wa kucheka cheka tu huku wakitudanganya wanatibu majeraha.
Katiba Mpya ndio suluhu yetu, ije kutuondoa kwenye haya makundi yanayojiona yana hati miliki ya kututawala, waroho wa madaraka wasioshiba, Membe alitaka kubebwa na Kikwete mambo yakagoma baada ya Lowassa kutemwa, ile vita ndio ikamzaa Magufuli, lakini japo alionekana "neutral" wakati ule, bahati mbaya nae akaja kutengeneza kundi lake.
Tuache kuishi kwa kutegemea fadhila za hawa walafi wanaojidai kutupenda, ni waongo na wanafiki wanaoyapenda zaidi matumbo yao.
Kumbe Membe alitaka kwenda kuwa KM Common wealth ili apate paundi bilion 7 wakati bado hajatuambia zile za Gaddaffi ilikuwaje. Basi Magufuli alimkataa kwasababu alizijua tabia zao hawa wapenda pesa, huu sio muda wao wa kutoka mafichoni na kuanza kupiga kelele kama wanavyodhani kwani bado ni wachafu kwa matendo waliyofanya siku za nyuma, Kinana pembe za ndovu....
Wacha niendelee kufuatilia kesi ya Mbowe naamini yule wanayelazimisha kumfunga mdomo ndie mwenye threat kwao, na wote kwa pamoja bila kujali makundi yao chamani huungana kumpiga vita ili waendelee kuitafuna nchi yetu kama ni mali ya baba yao, naamini iko siku taifa hili litaupata ukombozi wa kweli.
Kwenye siasa HAKUNA adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu!!Unaonaje kama Lowassa angekuwa rais 2015 huyo membe angepata ukatibu mkuu wa MADOLA? Nasema hivo kwa sabubu membe kipindi Magu anaingia alikuwa na maadui wengi huwezi jua hata Magufuli alishawishiwa na Lowasa team akamkatalia! Ila kwa ujumla Membe uwezo wakeni mdogo atulieamalizie pensheni!
Hivi umesoma hiyo habari?!Ukijifanya kibeberu mbele ya Rais wa nchi, lazima ukutane na hayo. Ni muhimu na ni lazima kiongozi mkuu wa nchi aheshimiwe hata kama hukubaliani naye.
Tulia, muda wake ukiisha ataondoka. Na hatuwezi wote kuwa viongozi wakuu, haijalishi tuko bora au smart kiasi gani.
Hivi hii inatokana na nini?