Membe amwaga siri Hayati Magufuli alivyomfitini na kumkosesha Ukatibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola

Membe amwaga siri Hayati Magufuli alivyomfitini na kumkosesha Ukatibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola

Unasema aliwahi kuwa rafiki yako? Inaonekana alikupotezea kwa kuwa ulikuwa na element za uchawa kwake.! Kifupi ni njaa ndio ilikufanya ujipendekeze kwake, kwa kuligundua hilo akakukataa, alifanya vizuri mno kuwakataa chawa kama wewe.!
Ndio shida ya ngozi nyeusi ukiambiwa we ni Nyani unalalamika yaani wewe pumbafu unaamini waziri hawezi kuwa chawa kwa taarifa yako alikuwa chawa wangu.
 
..nabii yenu ndiye aliyekuwa akikwamisha maendeleo yetu.

..alitumia matrilioni kununua midege toka kwa mabeberu huku sekta kubwa kama kilimo ikiwa imepangiwa bajeti kiduchu.

..sasa huko sio kutorosha utajiri na fedha za Watz kwenda kwa mabeberu? je, ndege zina mchango mkubwa kuliko kilimo?
Nitafite privately nikupe shule vipi ndege zingechochea kilimo kama zintatumika appropriately...
 
Nani amemtweza nani? Au unaishi kwa hisia? Walioanza kumtweza mwenzao nani?

Tatizo ni kuwa facts zake zinajitetea kuliko maneno yao mengi yasiyo na viti vyaku show case...Trying to act smart and playing victims...
Kwanini umesema wewe upo kutetea legacy yake? Kwani kuna watu wanaoharibu legacy? Mimi huwa naamini mambo mazuri huwa yanaishi yenyewe wala hayahitaji promo.
 
Nitafite privately nikupe shule vipi ndege zingechochea kilimo kama zintatumika appropriately...
Hahahah! Hapa Mkuu imebidi nicheke, uamuzi wa kuwa na ndege nauunga mkono kwa 100% ni jambo jema na zuri kuwa na National carrier ila ndege kuchochea kilimo hapo sasa umekuwa mwanasiasa kidogo, sio ku subsidize katika mbolea,agromechanics and so on...maana kwanza tuwe na uhakika wa production maana customers wanataka metric tonnes za kutosha throughout the year then tuwaze logistics issues. So to me first Credit facilities to the farmers then simultaneously planning for logistics issues.
 
MATAGA buku 7 mpo??

Mje mtoe utetezi kwa sponsor wenu uchwara
 
Saioni kwann umnyime mtanzania mwenzako nafasi sababu unaona atakuwa fisadi. Mupe kisha kaa nae chini mueleze unalotegemea kutoka kwake.

Ni sawa na mtoto wako kafaulu ila unagoma kumlipia ada kwamba unahisi atavuta bangi huko shule halafu nafasi yake unampa mtoto wa jirani.

Hapa, pamoja na madoa ya membe ila raisi wetu hakuwa sawa.
Yaani unajua huyu mtu ni mwizi alafu umpe nafasi? Jaribu kupitia comments za watu utagundua JPM alikuwa sahihi kumuwekea kauzibe huyo mswahili.
 
..hata magufuli alikuwa na umangungo fulani hivi.

..umesahau alivyokubali kishika uchumba cha usd 300 million toka barrick badala ya usd 191 billion alizodai wametuibia?

..au mabilioni aliyotumia kununua midege toka kwa mabeberu huku akipeleka fedha kiduchu kwenye sekta ya kilimo.

..magufuli ni mfano wa mangungo wa karne ya 21, na vilevile alikuwa mkatili, mdhalilishaji, na muuaji.
Ni kweli alikuwa katili, mdhalilishaji na muuaji ila kwa maslahi mapana ya taifa. Alitakiwa kuwa zaidi ya pale.!
 
Ndio shida ya ngozi nyeusi ukiambiwa we ni Nyani unalalamika yaani wewe pumbafu unaamini waziri hawezi kuwa chawa kwa taarifa yako alikuwa chawa wangu.
Lazima useme hivyo kwani unajitetea[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji7] Ila nimeshajua ulikuwa chawa, nimeona dalili mojawapo kuu 1 kwako, ila sikuambii ni ipi. Ona sasa unavyohadhirika?! Unaonekana ulikuwa na njaa njaa mno na ndio maana akakutema[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Magufuli endelea kupumzika kwa amani,
Hawajui kura wewe ndio ulileta chama kikiwa hoi,now ushatengeza wanakutusi.

Nyinyi 2025 mtajua hamjui,watz wanawangoja,huu upuuzi wa kumtukana aliesaidia chama mtaona matunda yake.
 
Ok, naona Membe ameamua kufunguka ila ajue wengine aliowasema bado wako hai, hapa naona vita ya maneno itaenda kuanza very soon huko CCM, na zaidi zile kelele za "hawa wa kanda hii" na "wale wa kanda ile" zitazidi kushika kasi na hili litakuwa kikwazo kwenye serikali ya Samia hasa baada ya Rais kusikika akisema hamtumbui mtu kutokana na kabila lake.

Membe anachofanya kwa kifupi ni kuonesha zamu yao ya kujidai imerudi, ndio maana juzi amesikika Mzee Makamba akisema Mungu halishwi ugali analishwa maombi na akayasikia, leo Membe anakuja na hili, Kinana nae aliwahi ku tweet siku za nyuma akionesha sasa mambo yao safi, na Makamba mdogo karudishwa serikalini, kwao ni mwendo wa kucheka cheka tu huku wakitudanganya wanatibu majeraha.

Katiba Mpya ndio suluhu yetu, ije kutuondoa kwenye haya makundi yanayojiona yana hati miliki ya kututawala, waroho wa madaraka wasioshiba, Membe alitaka kubebwa na Kikwete mambo yakagoma baada ya Lowassa kutemwa, ile vita ndio ikamzaa Magufuli, lakini japo alionekana "neutral" wakati ule, bahati mbaya nae akaja kutengeneza kundi lake.

Tuache kuishi kwa kutegemea fadhila za hawa walafi wanaojidai kutupenda, ni waongo na wanafiki wanaoyapenda zaidi matumbo yao.

Kumbe Membe alitaka kwenda kuwa KM Common wealth ili apate paundi bilion 7 wakati bado hajatuambia zile za Gaddaffi ilikuwaje. Basi Magufuli alimkataa kwasababu alizijua tabia zao hawa wapenda pesa, huu sio muda wao wa kutoka mafichoni na kuanza kupiga kelele kama wanavyodhani kwani bado ni wachafu kwa matendo waliyofanya siku za nyuma, Kinana pembe za ndovu....

Wacha niendelee kufuatilia kesi ya Mbowe naamini yule wanayelazimisha kumfunga mdomo ndie mwenye threat kwao, na wote kwa pamoja bila kujali makundi yao chamani huungana kumpiga vita ili waendelee kuitafuna nchi yetu kama ni mali ya baba yao, naamini iko siku taifa hili litaupata ukombozi wa kweli.
Ukijifanya kibeberu mbele ya Rais wa nchi, lazima ukutane na hayo. Ni muhimu na ni lazima kiongozi mkuu wa nchi aheshimiwe hata kama hukubaliani naye.
Tulia, muda wake ukiisha ataondoka. Na hatuwezi wote kuwa viongozi wakuu, haijalishi tuko bora au smart kiasi gani.
 
Unaonaje kama Lowassa angekuwa rais 2015 huyo membe angepata ukatibu mkuu wa MADOLA? Nasema hivo kwa sabubu membe kipindi Magu anaingia alikuwa na maadui wengi huwezi jua hata Magufuli alishawishiwa na Lowasa team akamkatalia! Ila kwa ujumla Membe uwezo wakeni mdogo atulieamalizie pensheni!
Kwenye siasa HAKUNA adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu!!

Kinachopingwa kwenye siasa ni VISASI...

Ingawaje Lowassa na Membe walikuwa mahasimu kwenye siasa, am certain kama Lowassa angekuwa Rais, asingembania Membe kuwa Katibu Mkuu wa Commonwealth.

Lowassa, kwa kariba yake wala haonekani kama ni mtu wa visasi!!
 
Ukijifanya kibeberu mbele ya Rais wa nchi, lazima ukutane na hayo. Ni muhimu na ni lazima kiongozi mkuu wa nchi aheshimiwe hata kama hukubaliani naye.
Tulia, muda wake ukiisha ataondoka. Na hatuwezi wote kuwa viongozi wakuu, haijalishi tuko bora au smart kiasi gani.
Hivi umesoma hiyo habari?!

Kama ndiyo, ni ubeberu upi Membe aliufanya wakati gani wakati mchakato wa kumpata Katibu Mkuu ulikuwa November 2015?!

Ukweli ni kwamba, Magu alikuwa ni mtu wa chuki na visasi!
 
Baadhi ya Psychiatrists na Psychologists wanaona ni tatizo la afya ya akili "mental disorder" ambapo sehemu ya ubongo wa sadist huwa inachangamshwa "aroused" kutokana na hali maumivu anayoonyesha kiumbe mwingine. Baadhi ya wataalamu wanaona sadism inatokana na malezi baadhi watu wanayopitia kama kuwa kuteswa sana, kubaguliwa, kudharauliwa n.k pia kuwa katika mazingira ya karibu sana na sadist kama wazazi au ndugu.
Hivi hii inatokana na nini?
 
Back
Top Bottom