Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Sio kweli, wapo watu wanojulikana wana roho mbaya na makatili. Watu wakisema Hitler alikuwa na roho mbaya kwa kuua mamilioni ya wayahudi raia wa Ujerumani ni mtazamo binafsi?
Watu wanaoua wenzio makusudi wakiitwa wana roho mbaya ni mtazamo binafsi?
Watu wanaoharibu kazi au biashara za wengine na kuziacha familia za watu hao zikiteseka kisa tu hawawapendi watu hao wakiitwa ni makatili ni mtazamo binafsi ?

Kuona mtu mwingine ana roho mbaya na ukatili ni mtazamo wa mtu binafsi.