Membe amwaga siri Hayati Magufuli alivyomfitini na kumkosesha Ukatibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola

Membe amwaga siri Hayati Magufuli alivyomfitini na kumkosesha Ukatibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola

Sio kweli, wapo watu wanojulikana wana roho mbaya na makatili. Watu wakisema Hitler alikuwa na roho mbaya kwa kuua mamilioni ya wayahudi raia wa Ujerumani ni mtazamo binafsi?
Watu wanaoua wenzio makusudi wakiitwa wana roho mbaya ni mtazamo binafsi?

Watu wanaoharibu kazi au biashara za wengine na kuziacha familia za watu hao zikiteseka kisa tu hawawapendi watu hao wakiitwa ni makatili ni mtazamo binafsi ?
Kuona mtu mwingine ana roho mbaya na ukatili ni mtazamo wa mtu binafsi.
 
Sio kweli, wapo watu wanojulikana wana roho mbaya na makatili. Watu wakisema Hitler alikuwa na roho mbaya kwa kuua mamilioni ya wayahudi raia wa Ujerumani ni mtazamo binafsi?
Watu wanaoua wenzio makusudi wakiitwa wana roho mbaya ni mtazamo binafsi?

Watu wanaoharibu kazi au biashara za wengine na kuziacha familia za watu hao zikiteseka kisa tu hawawapendi watu hao wakiitwa ni makatili ni mtazamo binafsi ?
Unamfahamu Mfalme Leopold wa Pili wa Ubelgiji?
 
Yaani unajua huyu mtu ni mwizi alafu umpe nafasi? Jaribu kupitia comments za watu utagundua JPM alikuwa sahihi kumuwekea kauzibe huyo mswahili.
Raisi angeweza kukaa naye chini na kumpa nafasi tena. Hakuna asiye na makando kando katika hii dunia.
Kwani hao waliompitisha hawakujua kuwa ni mwizi? Mpaka raisi wa jirani alitaka kusimama nae. Hapo hakuna uhalali wa hiyo hukumu zaidi ya roho ya ubinadamu ya uchoyo ilimvaa raisi na kuitafutia uhalali kutokana na historia ya membe, raisi alikosa utu kwa raia wake aliyepata nafasi muhimu.
 
Kuna tofauti kubwa ya kutomridhisha mtu na kufanyia watu ukatili.
Hata kama ukijaribu huwezi kumridhisha kila mtu. Kiongozi ni kama mzazi, kwa baadhi ya watoto atakuwa kama mkali, kwa wengi mpole, kwa wengine kama adui na kwa wengine kama rafiki. Hata ufanye nini huwezi kumridhisha kila mtu. Kwa sababu mtazamo wake juu yako hauhusiani kwa vyovyote na wewe. Ni maamuzi yake binafsi.
 
Sio kweli, wapo watu wanojulikana wana roho mbaya na makatili. Watu wakisema Hitler alikuwa na roho mbaya kwa kuua mamilioni ya wayahudi raia wa Ujerumani ni mtazamo binafsi?
Watu wanaoua wenzio makusudi wakiitwa wana roho mbaya ni mtazamo binafsi?

Watu wanaoharibu kazi au biashara za wengine na kuziacha familia za watu hao zikiteseka kisa tu hawawapendi watu hao wakiitwa ni makatili ni mtazamo binafsi ?
Kitu ambacho kwako ni baraka huenda ni laana kwa mtu mwingine.

Tunarudi pale pale. Ni mtazamo binafsi.
 
To hell with what our culture says about marehemu.
Wapi alikataa kuwa hakosei? Mara ngapi alielezea hilo? Kama kila mtu ana mabaya yake what our culture says about marehemu? Hata natural justice hamtoi kwa nafsi yake then you come.pretending mnajua justice ninyi? Wabaya ni watu aina yenu ku amplify mabaya badala ya mazuri knowingly hakupata nafasi ya kuwa nje ya uwanja na kuji evaluate kama Nyerere alivyopata? Nyerere aliandika kitabu hicho alipokufa? Je alikiandika alipokuwa madarakani? Do you hear yourself? Leo Nayerere huyu huyu amekuwa mzuri as if hakuwa akiwa labled dictator soon after his regime ended? Alisemwa kwa miaka mingapi huyo? Acheni uswahili, hausaidii, do what you ought to and let the soul of our dear hayati rest where it deserves...Mungu amhukumu kwa haki yake na si wanadamu sisi!
 
Namfahamu, alikuwa mkoloni mtawala katili wa koloni la Congo aliyetoa amri ya kukatwa viganja vya mikono kwa watu walioshindwa kukusanya kiasi cha mpira walichopangiwa.
Unamfahamu Mfalme Leopold wa Pili wa Ubelgiji?
 
Kama kila kitu kwako ni mtazamo binafsi kwa nini wauaji wanafungiwa magerezani na kwa nini mahakama zipo?
Kitu ambacho kwako ni baraka huenda ni laana kwa mtu mwingine.

Tunarudi pale pale. Ni mtazamo binafsi.
 
Namfahamu, alikuwa mkoloni mtawala katili wa koloni la Congo aliyetoa amri ya kukatwa viganja vya mikono kwa watu walioshindwa kukusanya kiasi cha mpira walichopangiwa.
Ukatili wa Hitler haukaribii hata kidogo kwa Leopold II. Lakini Hitler kila mtu anamsema, nilichotaka kukujuza hapa ni kwamba, ukatili wa mtu pia huchangiwa na maneno ya watu. Watu wanaweza kukuza vitu mpaka ukahisi anaezungumziwa alikuwa Shetani mwenyewe. Lakini sio kweli, achana na habari za "Inasemekana", "Anashutumiwa", "Inasadikika" na mengine kama hayo.

Mhukumu mtu kwa matukio ambayo yamethibitishwa aliyafanya.
 
Wewe kwa uelewa wako finyu unafikiri usipompenda mtu au usipomridhisha tayari umemfanyia ukatili. Ukatili, roho mbaya na dhuluma ni tofauti sana na ulivyokariri.
"The greatest acts of love are the hardest to commit."

-Solace 2
 
Kama kila kitu kwako ni mtazamo binafsi kwa nini wauaji wanafungiwa magerezani na kwa nini mahakama zipo?
Kuthibitishwa. Na kuua sio wakati wote ni ukatili.

Ndio maana nikakwambia watu wanahukumiwa kwa vitu ambavyo imethibitishwa wamevitenda.
 
Wewe kwa uelewa wako finyu unafikiri usipompenda mtu au usipomridhisha tayari umemfanyia ukatili. Ukatili, roho mbaya na dhuluma ni tofauti sana na ulivyokariri.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Sijasema hivyo. Hiyo ni tafsiri yako.
 
...hii ni mfano wa mambo yanavoenda hata sasa,wewe ukiwa Rais wa nchi nyingine na huna uhusiano wa karibu na Rais fulani unamtumia kiongozi aliyekuwa karibu naye
Mkuu ni kweli una hoja. Lakini, hivi Kinana ndiye aliyekuwa saizi ama mtu aliyekuwa ana'mmudu' JPM(R.I.P)? Au Kenyatta alitaka kuonyesha dharau, nikitumia dhana yako ya marais kuingilia kati masuala ya nchi nyingine?
 
Soviet ilianguka kwa kujifanya mlinzi na mlezi wa kila nchi ya kijamaa!!
====
Kamwe hatuwezi kuacha kushirikiana au kusaidia jirani zetu au Binadamu yeyote mwnye shida eti kwa sababu Soviet!! alishindwa never!! kwani yeye ni nani mpaka tujifunze toka kwake? sisi ni sisi tunaweza tena kuliko yeyey mbali.....

Tatizo lako unahukumu kiswahili mnooo! akishindwa yeye si basiii!! sisi tutawalinda mpaka sisimizi wa ndg zetu!! hata km South ----walitupa au wana tupa shida haina maana kwamba tusiwape ushirikiano, au tuwasimange never!!!

Tutazidi kuwapenda na kuwasaidia tu! hata wakituua wote!! mpaka tone la mwisho hatuwaachiii!! ni ndg zetu wale! ije mvua lije jua hatutawatosa etu kwa sababu za kibwege ivo! tuta tafuta suruhisho tu mpaka kieleweke !!! amani inaanzia ndani africa bwege weee
 
Mfano ni namna majirani walivyokataa mahindi yetu wakidai yana sumu kuvu baada ya trip moja ya mother kwa jirani mahindi yakaisha sumu kuvu ghafla.
Ni kweli mkuu lazima uwe na mahusiano mazuri na wateja ili uweze kuuza.

Lakini,kama wateja wanaleta hila unafanyaje, hivi ni kweli utaendelea kukubali kuhujumiwa na wateja wako? Tutumie mfano wako huo huo wa majirani na mahindi. Mkuu, hivi unakumbuka figisu hizi zikianzia wapi? Kwa kukukumbusha tu baadhi chimbuko la figisu. Ni sisi kuimarisha ulinzi wa rasilimali zetu. Baada ya kufanikisha kudhibiti utoroshaji wa madini yetu ya Tanzanite, majirani yetu wakabetua mdomo!!! Kisa walikuwa wanashirikiana na wauazaji tanzanite namba moja duniani wakati madini haya hayapatikani kwao. Hipo mifano mingi...ambayo majirani walitugeuza shamba la bibi kwq kushirikina na baadhi ya watanzania wenzetu.

Ukumbuke, sipingi kuwa na ushirikiano na mataifa yenye nia njema.
 
Back
Top Bottom