Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,035
- 12,814
Magamba huwa mnashangaza sana hapo red; "asiyeridhika"; "kimbilia madaraka"; "tamaa ya madaraka"; and such stupid keywords! Ni nani asiye na tamaa ya madaraka? BTW ni kwanini fomu imetolewa moja tu huku wengine wakizuiwa? Demokrasia ya wapi hiyo?Akihojiwa na idhaa ya kiswahili ya UJERUMANI aliyekuwa mwanaCCM MWENZETU mh. Benard Camillius Membe anatapatapa kwa kujinasibu kuwa na WENZAKE SITA. Akihofia kutowataja majina kwa kuogopa kutimuliwa ndani ya CCM mh. huyu asiyeridhika kwa yote mema na mapungufu aliyotufanyia watanzania akiwa mhudumu wetu pale foreign affairs ametamba kutaka kugombea URAIS kwa njia yoyote atakayoweza
...
ITATEGEMEA AMEAMKAJE.huyu mtu anajiona yeye ndiye mtu pekee mwenye uwezo wa kuwa Rais hapa Tanzania. nahis 2015 angepitishwa basi asingetoka madarakan..na anaonekana kuwa ni mtu mwenye dharau na kiburi sana..
Mnaacha kumchagua mtu ambaye ni really presidential material mnakwenda kumchagua mkagua madaraja kweli ccm mmepotoka.Akihojiwa na idhaa ya kiswahili ya UJERUMANI aliyekuwa mwanaCCM MWENZETU mh. Benard Camillius Membe anatapatapa kwa kujinasibu kuwa na WENZAKE SITA. Akihofia kutowataja majina kwa kuogopa kutimuliwa ndani ya CCM mh. huyu asiyeridhika kwa yote mema na mapungufu aliyotufanyia watanzania akiwa mhudumu wetu pale foreign affairs ametamba kutaka kugombea URAIS kwa njia yoyote atakayoweza
Natoa rai kwa vijana wa ccm waelewe kuwa yale aliyoyaasisi baba wa taifa na yanayotekelezwa kiufasaha na mh.rais magufuli sasa yako msambweni kutoweka kwa kuwiwa na maadui wasioamini katika muktadha mpana wa kujiamulia mambo sisi wenyewe.
Mabeberu na makuwadi wao hawajalala na hawatoacha kutuandama kwa visingizio vya domokrasia,uwazi,tume huru na uliberali koko
Shime wananzengo tuilinde itikadi adhimu ya chama hiki cha wanyonge na kinachosimamia misingi ya uafrika wetu na kisichokubali kupiga magoti kwa mabeberu na makuwadi wao
Watanzania ni wagumu mno kuelewa hivi unafikiri membe ni mjinga mpaka ajipe ujasir kiasi hiki?Membe ni kama mbwa anayeishi sokoni
Membe akiongea pimbi wote vigololi lazima viwashuke dadeq.Akihojiwa na idhaa ya kiswahili ya UJERUMANI aliyekuwa mwanaCCM MWENZETU mh. Benard Camillius Membe anatapatapa kwa kujinasibu kuwa na WENZAKE SITA. Akihofia kutowataja majina kwa kuogopa kutimuliwa ndani ya CCM mh. huyu asiyeridhika kwa yote mema na mapungufu aliyotufanyia watanzania akiwa mhudumu wetu pale foreign affairs ametamba kutaka kugombea URAIS kwa njia yoyote atakayoweza
Natoa rai kwa vijana wa ccm waelewe kuwa yale aliyoyaasisi baba wa taifa na yanayotekelezwa kiufasaha na mh.rais magufuli sasa yako msambweni kutoweka kwa kuwiwa na maadui wasioamini katika muktadha mpana wa kujiamulia mambo sisi wenyewe.
Mabeberu na makuwadi wao hawajalala na hawatoacha kutuandama kwa visingizio vya domokrasia,uwazi,tume huru na uliberali koko
Shime wananzengo tuilinde itikadi adhimu ya chama hiki cha wanyonge na kinachosimamia misingi ya uafrika wetu na kisichokubali kupiga magoti kwa mabeberu na makuwadi wao
mimi nilijua wananchi wa Tanzania tuko nyuma yake,kumbe ni mataifa ya magharibi?Iwe jua iwe mvua membe anachukua nchi October,nchi zote za magharibi wako nyuma ya membe....membe anasubiri kuapishwa Tu maana kila kitu kipo OK
bora beberu kuliko mkoloni mweusi ambaye akiamuka asubuhi maamuzi yanayotuhusu wananchi eti yanategemea aliamkia kalio au tumbo!Akihojiwa na idhaa ya kiswahili ya UJERUMANI aliyekuwa mwanaCCM MWENZETU mh. Benard Camillius Membe anatapatapa kwa kujinasibu kuwa na WENZAKE SITA. Akihofia kutowataja majina kwa kuogopa kutimuliwa ndani ya CCM mh. huyu asiyeridhika kwa yote mema na mapungufu aliyotufanyia watanzania akiwa mhudumu wetu pale foreign affairs ametamba kutaka kugombea URAIS kwa njia yoyote atakayoweza
Natoa rai kwa vijana wa ccm waelewe kuwa yale aliyoyaasisi baba wa taifa na yanayotekelezwa kiufasaha na mh.rais magufuli sasa yako msambweni kutoweka kwa kuwiwa na maadui wasioamini katika muktadha mpana wa kujiamulia mambo sisi wenyewe.
Mabeberu na makuwadi wao hawajalala na hawatoacha kutuandama kwa visingizio vya domokrasia,uwazi,tume huru na uliberali koko
Shime wananzengo tuilinde itikadi adhimu ya chama hiki cha wanyonge na kinachosimamia misingi ya uafrika wetu na kisichokubali kupiga magoti kwa mabeberu na makuwadi wao
acha uzwazwa, nenda hata marekani kwa wazee wa demokrasia kawaulize Republican kws nini Trump hana mpinzani ndani ya chama chake wakati huu?Magamba huwa mnashangaza sana hapo red; "asiyeridhika"; "kimbilia madaraka"; "tamaa ya madaraka"; and such stupid keywords! Ni nani asiye na tamaa ya madaraka? BTW ni kwanini fomu imetolewa moja tu huku wengine wakizuiwa? Demokrasia ya wapi hiyo?
Kwanini wenye sifa wananyimwa haki yao ya kikatiba kuomba kuchaguliwa katika nafasi ya uongozi wa nchi yetu? Katiba ya CCM inasema aliye madarakani hapingwi? Tunazo kumbukumbu Mh. Kikwete aliwahi kupingwa na John Madale Shibuda, tatizo liko wapi leo?
Marekani kuna Republicans wameshindana na Trump mwaka huu.acha uzwazwa, nenda hata marekani kwa wazee wa demokrasia kawaulize Republican kws nini Trump hana mpinzani ndani ya chama chake wakati huu?
Sasa unalia nini ?Akihojiwa na idhaa ya kiswahili ya UJERUMANI aliyekuwa mwanaCCM MWENZETU mh. Benard Camillius Membe anatapatapa kwa kujinasibu kuwa na WENZAKE SITA. Akihofia kutowataja majina kwa kuogopa kutimuliwa ndani ya CCM mh. huyu asiyeridhika kwa yote mema na mapungufu aliyotufanyia watanzania akiwa mhudumu wetu pale foreign affairs ametamba kutaka kugombea URAIS kwa njia yoyote atakayoweza