Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I kanti blisi...Hili beberu jeusi likimalizana na upinzani ni linageukia CCM rasmiView attachment 1486871
Kuonyesha nia ya kutaka Urais ndio kua na dharau na kiburi?huyu mtu anajiona yeye ndiye mtu pekee mwenye uwezo wa kuwa Rais hapa Tanzania. nahis 2015 angepitishwa basi asingetoka madarakan..na anaonekana kuwa ni mtu mwenye dharau na kiburi sana..
Presidential material my foot.Mnaacha kumchagua mtu ambaye ni really presidential material mnakwenda kumchagua mkagua madaraja kweli ccm mmepotoka.
Sisi VIJANA wa CCM tunayoijua vema MISINGI ADHIMU ya ITIKADI ya CCM inayoweka mizania ya UTU kamwe hatumtukani Membe tunamkumbusha tu KUWA CCM INA ADA YA KUMWACHA ALIYEPO AMALIZE...NI KAWAIDA YA CCM TU...NDIVYO ILIVYO.Kwa nin tunamtkana Membe? Mtu anadai haki yake! Ama ni dhambi Tanzania kudai haki yako?
Presidential material my foot.
Benard Membe hana uwoga na anajiamini, ana haki kabisa kabisa kabisa ya kugombea Urais ndani ya CCM. Analindwa na Katiba na si utamaduni au huo utaratibu wako.Akihojiwa na idhaa ya kiswahili ya UJERUMANI aliyekuwa mwanaCCM MWENZETU mh. Benard Camillius Membe anatapatapa kwa kujinasibu kuwa na WENZAKE SITA. Akihofia kutowataja majina kwa kuogopa kutimuliwa ndani ya CCM mh. huyu asiyeridhika kwa yote mema na mapungufu aliyotufanyia watanzania akiwa mhudumu wetu pale foreign affairs ametamba kutaka kugombea URAIS kwa njia yoyote atakayoweza
Natoa rai kwa vijana wa ccm waelewe kuwa yale aliyoyaasisi baba wa taifa na yanayotekelezwa kiufasaha na mh.rais magufuli sasa yako msambweni kutoweka kwa kuwiwa na maadui wasioamini katika muktadha mpana wa kujiamulia mambo sisi wenyewe.
Mabeberu na makuwadi wao hawajalala na hawatoacha kutuandama kwa visingizio vya domokrasia,uwazi,tume huru na uliberali koko
Shime wananzengo tuilinde itikadi adhimu ya chama hiki cha wanyonge na kinachosimamia misingi ya uafrika wetu na kisichokubali kupiga magoti kwa mabeberu na makuwadi wao
Sweetie yaani huu ni mwaka wa 5 madarakani hujamzoea mh.magufuli anapenda kuchombeza utani ktka zle nondo ashushazo...yaani huyu bwana huchoki kusikiliza hotuba zake yaani mwalimu nyerere mtupuuuuITATEGEMEA NIMEAMKA JE?
HATA UKICHAGULIA NITAKUKATA NICHUKUE HATA WA TATU
You should be ashamed of yourself, kwahiyo mataifa ya magharibi ndo yanatuchagulia rais?Iwe jua iwe mvua membe anachukua nchi October,nchi zote za magharibi wako nyuma ya membe....membe anasubiri kuapishwa Tu maana kila kitu kipo OK
1.'Hana Woga'...NI kweliiii huyu bwana hamjali na kumuogopa yeyote Ana kiburi Cha asili...waulzeni watu aliofanya nao kazi foreign affairs...NI MDHARAU KILA MTU NA KUJIONA MR.THE BEST...Benard Membe hana uwoga na anajiamini, ana haki kabisa kabisa kabisa ya kugombea Urais ndani ya CCM. Analindwa na Katiba na si utamaduni au huo utaratibu wako.
Nyie chadema leteni huyo mnayeona ni presidential material. Asiwe mlevi chakari au mbwatukaji.Mnaacha kumchagua mtu ambaye ni really presidential material mnakwenda kumchagua mkagua madaraja kweli ccm mmepotoka.