Hakuna kitu pale, acha ale pesa zake, ila kisiasa ni RIP...huyu mtu anajiona yeye ndiye mtu pekee mwenye uwezo wa kuwa Rais hapa Tanzania. nahis 2015 angepitishwa basi asingetoka madarakan..na anaonekana kuwa ni mtu mwenye dharau na kiburi sana..
Yani Membe hata kama asipogombea urais, akibaki kuijambisha jambisha CCM kwa maneno yake mpaka wakati wa uchaguzi, atakuwa kaisaidia sana nchi kuona kwamba si kila mtu anamkubali Magufuli. Hata kwa watu ambao hawapo kwenye upinzani.Membe anajifurahisha tu
Kama yeye mwamba agombee kupitia chadema,lakin kwa kuwa anajua kilichomtokea Lowassa,ameamua tu kutoa mipasho
Hakuna mtu aliejiandaa kwa urais kwa njia zote zile kuliko Lowassa,nini Membe unatishia kujamba wakati unaharisha
Inaelekea utabiri wa Mwalimu Nyerere kuwa upinzani wa dhati nchini utatoka ndani ya CCM unaanza kutimia.......View attachment 1488133View attachment 1488134
Kwa wakristo watanielewa kirahisi sana...
Bibblia Takatifu katika kitabu cha Nabii Isaya (ISAYA 29:13) inasema, nanakuu;
".....Bwana akanena, KWA KUWA WATU HAWA HUNIKARIBIA NA KUNIHESHIMU KWA VINYWA VYAO, BALI MIOYO YAO WAMEFARAKANA NAMI , na kicho chao walicho nacho ni maagizo ya wanadamu waliyofundishwa....."
Hili ni andiko/mstari wa Neno la Mungu (Biblia) ni wa onyo na tahadhari kwa watu ama mtu yeyote "mnafiki" ambaye kimwili na kwa maneno ya kichwa chake anakubali kuwa mko pamoja katika misheni ama mipango fulani, lakini deep inside, NAFSI na MOYO wake viko kinyume na mbali kabisa na wewe....
Mara zote hali na mahusiano ya namna hii ya kinafiki, huwa haidumu sana na kamwe haizai matunda mema.....
Na siku kilichomo ndani ya mioyo ya watu hawa kikija kudhihirika wazi, mara zote hali huwa tete sana. Huwa pana kuwa na patashika nguo kuchanika kila mmoja akimkamata uchawi mwenzake bila kujua kuwa wao wote ni wachawi kwa tofauti ya viwango tu...!!
CCM ya sasa kwa kiwango kikubwa imebeba watu wa namna hii akiwemo mpaka M/kiti wao taifa ndugu John Pombe Magufuli...
Roho ya "unafiki" aliyonayo ndiyo inayoanbukiza na kuathiri wafuasi wake, wanachama wenzake na viongozi wenzake ndani ya chama hadi serikalini na inaathiri taifa zima hata wasiohusika..
Ndugu Bernard K. Membe ni mtu jasiri wa hali ya juu. Hamwogopi binadamu. Ameamua kuukataa unafiki. Kaamua kusimama upande ukweli. Mungu muumba yeye ndiye kweli. Kaamua kukiweka wazi kilichomo moyoni mwake kwa kinywa chake....
Tatizo moja kubwa la binadamu ni hili. Wengi tuna asili ya kuikataa NURU na kukumbatia GIZA kwa mikono yetu yote miwili bila hofu. Mtu yeyote asiye mkweli toka ndani ya NAFSI yake huyo ni wa GIZANI. Giza na Nuru kamwe havipatani....
Bernard K. Membe kwa ukweli wake, wana wa GIZANI wanamshambulia kwelikweli. Lakini hakika nawaambia, kwa Mungu huyu ndiye anayehesabiwa haki maana kinachotoka kupitia kinywa chake, ndicho kilichomo moyoni mwake. Maana yake anamkaribia Mungu kwa dhati na kwa vyote kama alivyo...!!
View attachment 1488133View attachment 1488134

Umeisha sema kamati kuu haina uwezo wa kukufukuza, sasa hiyo kauli ya kusema watafukuzwa au mpo katika kipindi cha kufukuzana inatoka wapi ??View attachment 1488133View attachment 1488134
Kwa wakristo watanielewa kirahisi sana...
Bibblia Takatifu katika kitabu cha Nabii Isaya (ISAYA 29:13) inasema, nanakuu;
".....Bwana akanena, KWA KUWA WATU HAWA HUNIKARIBIA NA KUNIHESHIMU KWA VINYWA VYAO, BALI MIOYO YAO WAMEFARAKANA NAMI , na kicho chao walicho nacho ni maagizo ya wanadamu waliyofundishwa....."
Hili ni andiko/mstari wa Neno la Mungu (Biblia) ni wa onyo na tahadhari kwa watu ama mtu yeyote "mnafiki" ambaye kimwili na kwa maneno ya kichwa chake anakubali kuwa mko pamoja katika misheni ama mipango fulani, lakini deep inside, NAFSI na MOYO wake viko kinyume na mbali kabisa na wewe....
Mara zote hali na mahusiano ya namna hii ya kinafiki, huwa haidumu sana na kamwe haizai matunda mema.....
Na siku kilichomo ndani ya mioyo ya watu hawa kikija kudhihirika wazi, mara zote hali huwa tete sana. Huwa pana kuwa na patashika nguo kuchanika kila mmoja akimkamata uchawi mwenzake bila kujua kuwa wao wote ni wachawi kwa tofauti ya viwango tu...!!
CCM ya sasa kwa kiwango kikubwa imebeba watu wa namna hii akiwemo mpaka M/kiti wao taifa ndugu John Pombe Magufuli...
Roho ya "unafiki" aliyonayo ndiyo inayoanbukiza na kuathiri wafuasi wake, wanachama wenzake na viongozi wenzake ndani ya chama hadi serikalini na inaathiri taifa zima hata wasiohusika..
Ndugu Bernard K. Membe ni mtu jasiri wa hali ya juu. Hamwogopi binadamu. Ameamua kuukataa unafiki. Kaamua kusimama upande ukweli. Mungu muumba yeye ndiye kweli. Kaamua kukiweka wazi kilichomo moyoni mwake kwa kinywa chake....
Tatizo moja kubwa la binadamu ni hili. Wengi tuna asili ya kuikataa NURU na kukumbatia GIZA kwa mikono yetu yote miwili bila hofu. Mtu yeyote asiye mkweli toka ndani ya NAFSI yake huyo ni wa GIZANI. Giza na Nuru kamwe havipatani....
Bernard K. Membe kwa ukweli wake, wana wa GIZANI wanamshambulia kwelikweli. Lakini hakika nawaambia, kwa Mungu huyu ndiye anayehesabiwa haki maana kinachotoka kupitia kinywa chake, ndicho kilichomo moyoni mwake. Maana yake anamkaribia Mungu kwa dhati na kwa vyote kama alivyo...!!
Iwe jua iwe mvua membe anachukua nchi October,nchi zote za magharibi wako nyuma ya membe....membe anasubiri kuapishwa Tu maana kila kitu kipo OK
Membe akiongea pimbi wote vigololi lazima viwashuke dadeq.
Hili beberu jeusi likimalizana na upinzani ni linageukia CCM rasmiView attachment 1486871
Kumbe wewe ni pimbiIla wewe una get wet....[emoji3][emoji3]
Hao watu 6 ndio wamiliki wa CCM ?
Au wana plan B,
Alishasema lolote laweza kutokea kati ya June na October.
Membe sio wa kupuuza.
Kumbe wewe ni pimbi
mkuu ukiona mtu anatoa siri hadharani ujue hamna mtu humu anabaki kuwa binadamu kuelekea mwanadamu, si tuliambiwa mfa maji haishi kutapatapa?? anachokifanya membe kinalingana na mfa mawater.....6 mara 12 ni sawa sawa na 72
72 mara 10 ni sawa sawa na 720