Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
- Thread starter
- #141
Awali ya yote,hi dhana ya kuomba mikopo nayo NI dhana mfu ya kikoloni mamboleo tunayotaka iendelee kujihanikiza ndani ya mishipa ya vizazi vyetu....Halafu hawa mnaowaita mabeberu ndio mnawaomba mikopo na misaada mingine
Hapo mwanzo walikuwa hao wa nje waliotuingiza humo nasi tukakubali kuingia TUKIHOFIA TUTASHINDWA KUZIKABILI CHANGAMOTO ZETU ZA MIRADI YA MAENDELEO....
1.WALISET STANDARD YA TOFAUTI KUBWA YA NGAZI ZA MISHAHARA KWA WATUMISHI WA SERIKALI NA MASHIRIKA YA UMMA,huku wachache wakipata MISHAHARA maradufu ya wale walio wengi.
2.Wakatuimbisha nyimbo kuwa viongozi wa MASHIRIKA ya UMMA wapewe nyumba ZENYE anasa kubwa lakini pia watembelee migari mikubwa ya thamani ili wasichoke kwa Maana wanazalisha sana ha ha ha hebu angalia mfano pale ATCL MISHAHARA minono ilikuwa inaleta tija gani ilihali ndege hazikuwepo.
3.Makuwadi walichukua standards za ughali wa maisha ya kibeberu kutumung'unyia sisi waafrika tusioendana nao kwa mengi.
It then became a status Quo ambayo hatukuamini km wangetokea watu wa kutushika mkono na kuturudisha KATIKA malengo yaliyoasisi taifa letu.
Zali la mentali likaja,the zealout son of Tanzania,HIS EXCELLENCY MAGUFULI ASCENDED TO THE THRONE with new ideas on revitalisation of our mama Tanzania.
Magufuli akatukumbusha TUACHE MAZOEA HATUNA WAJOMBA WAKUTUSAIDIA KUTOKA UGHAIBUNI aliko ndugu yetu Evarist Chahali na Tundu Lissu.
Magufuli akawa SURGEON MBOBEZI pale theatre Magogoni,tumbuatumbua ikaanza,mahakama ya MIFISADI IKAANZISHWA shughuli ikaanza....
Magufuli akatuambia kuwa zile fedha za ESCROW NI za UMMA,hebu kumbuka hapo mwanzo tuliambiwa SI ZA UMMA......
Magufuli akatukumbusha thamani ya wanyama pori wetu...kumbuka MIPAPA YA CCM ilikuwa inasafirisha twiga wetu wakiwa wamepiga MAGOTI KATIKA ndege ndogo kuelekea UGHAIBUNI.
Magufuli akaingizana pale BOT,BANDARI,KIWANJA CHA NDEGE,WATUMISHI HEWA,MIKOPO HEWA PALE HESLB.Upigaji MSD,janjajanja TRA,mifuko ya hifadhi ya jamii,TANAPA,TANROADS,rufaa feki za matibabu pale wizara ya afya,dili za wauza ngada,MISHAHARA MIKUBWA ISIYO NA TIJA,madili pale TPDC etc.
Magufuli akaiingia VITA KUBWA NA NGUMU YA KURUDISHA NIDHAMU KATIKA OFISI ZA UMMA kwani alikuta UKOSEFU WA UWAJIBIKAJI,WATEULE HAWAHESHIMIANI SI MA DAS,MA RAS,MA DC,MA RC,WAKURUGENZI NA WENGINEO.
YAANI STRUCTURAL REFORMING YOTE HII HALAFU MIMI KIJANA WA KIMASKINI NIWE ZWAZWA,HOBOBO,NDWANYE,FULAFULA nimkatae JEMBE JPM nimchague MZUNGU MVAA SUTI ELITIST BENARD CAMILLIUS MEMBE AMA YULE MNYWA FARU DUME?!!!!
NIKAMATENI MNIFUNGE KAMBA MNISAFIRISHE NA AMBULANCE NIKAPOKEWE PALE WARD NO.14 ACUTE HOSPITALI ya mirembe nikachomwe INJECTIONS MODICATE NA KUNYWESHWA HALOPERIDOL ANAZOTUMIA yule nanihii na nanihii wa CHAMA Cha...........
Think thrice in Comrade Said Sambala's Voice kwi kwi kwi kwi msalimieni Maalim Seif Abalhassan mbeba mikoba ya Mjanjamjanja Zitto Kabwe