Noti bandia
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 2,684
- 4,315
Tako linakuwasha hilo ee.Lazima utakuwa mke wake, huwezi kuwa unajua siri zake kwa kiwango hiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tako linakuwasha hilo ee.Lazima utakuwa mke wake, huwezi kuwa unajua siri zake kwa kiwango hiki
Magamba huwa mnashangaza sana hapo red; "asiyeridhika"; "kimbilia madaraka"; "tamaa ya madaraka"; and such stupid keywords! Ni nani asiye na tamaa ya madaraka? BTW ni kwanini fomu imetolewa moja tu huku wengine wakizuiwa? Demokrasia ya wapi hiyo?
Kwanini wenye sifa wananyimwa haki yao ya kikatiba kuomba kuchaguliwa katika nafasi ya uongozi wa nchi yetu? Katiba ya CCM inasema aliye madarakani hapingwi? Tunazo kumbukumbu Mh. Kikwete aliwahi kupingwa na John Madale Shibuda, tatizo liko wapi leo?
Nafikiri ni uzwazwa kwa wapinzani kupoteza muda kwa wanaccm badala ya kudeal na mikakati yao ya ushindi hapo oktoba
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Tako linakuwasha hilo ee.
Hapana kiongozi kunawatu wanajifanya wajuaji sn muda wote kunamdudu anawatekenya coz mm nmetoa maoni yangu navyowaza yeye kaibuka na matusi.Kakaaaa EEE kwani nyinyi CHADEMA ULIBERALI wa kutaka kuwapa wenzenu "mafuta" hamjaacha tu?!!! Kwi kwi kwi kwi in ESTHER BULAYA VOICE
Wanaodai haki NI LGBT NA RAINBOW FLAGGERS si mh.sana mtunduizi Membe kwi kwi kwi kaishiwa huyo akalime ufuta MKOKA...Kwa nin tunamtkana Membe? Mtu anadai haki yake! Ama ni dhambi Tanzania kudai haki yako?
Hahahahahaha...!Iwe jua iwe mvua membe anachukua nchi October,nchi zote za magharibi wako nyuma ya membe....membe anasubiri kuapishwa Tu maana kila kitu kipo OK
ViburiAkihojiwa na idhaa ya kiswahili ya UJERUMANI aliyekuwa mwanaCCM MWENZETU mh. Benard Camillius Membe anatapatapa kwa kujinasibu kuwa na WENZAKE SITA. Akihofia kutowataja majina kwa kuogopa kutimuliwa ndani ya CCM mh. huyu asiyeridhika kwa yote mema na mapungufu aliyotufanyia watanzania akiwa mhudumu wetu pale foreign affairs ametamba kutaka kugombea URAIS kwa njia yoyote atakayoweza
Natoa rai kwa vijana wa ccm waelewe kuwa yale aliyoyaasisi baba wa taifa na yanayotekelezwa kiufasaha na mh.rais magufuli sasa yako msambweni kutoweka kwa kuwiwa na maadui wasioamini katika muktadha mpana wa kujiamulia mambo sisi wenyewe.
Mabeberu na makuwadi wao hawajalala na hawatoacha kutuandama kwa visingizio vya domokrasia,uwazi,tume huru na uliberali koko
Shime wananzengo tuilinde itikadi adhimu ya chama hiki cha wanyonge na kinachosimamia misingi ya uafrika wetu na kisichokubali kupiga magoti kwa mabeberu na makuwadi wao
Kwi kwi kwi kwi huyo mdudu atakuwa anawatekenyea kichwani na si chini ya MGONGO kwi kwi kwi kwiHapana kiongozi kunawatu wanajifanya wajuaji sn muda wote kunamdudu anawatekenya coz mm nmetoa maoni yangu navyowaza yeye kaibuka na matusi.
Hahahahahaha...!
Ifuatayo ni miradi mikubwa iliyojengwa na wakoloni:-
1. Ujenzi wa Bandari ya DSM
2. Ujenzi wa Bandari ya Tanga
3. Ujenzi wa Bandari ya Mtwara
4. Ujenzi wa uwanja wa ndege wa DSM
5. Ujenzi wa uwanja wa Bandari ya Pemba
6. Ujenzi wa Ikulu ya DSM
7. Ujenzi wa Dsm College (Baadae ikaboreshwa na kuwa UDSM baada ya uhuru)
8. Ujenzi wa Bandari ya Zanzibar
9. Ujenzi wa reli ya kati, Dar-Tabora-Mwanza, Tabora -Kigoma
10. Ujenzi wa mji wa Tanga + Master Plan
11. Ujenzi wa Jiji la DSM + master plan yake
12. Ujenzi wa Bandari ya Mwanza
13. Ujenzi wa bandari ya Bukoba na Musoma
14. Ujenzi wa Bandari ya Mbamba Bay
15. Ujenzi wa Bandari ya Ujiji Kigoma
16. Uundaji wa meli ya MV. Liemba (Ziwa Tanganyika)
17. Uunzi wa meli ya MV. Victoria (Ziwa Victoria)
18. Ujenzi wa shule za Sekondari za kale, mfano Mzumbe, Ilboru, Tanga Tech, Moshi Tech, Mazengo, Mtwara Tech, Tabora Boys+Girls, Pugu, Kibaha, Minaki, Bwiru boys & Girls, Msalato, Ifunda, Iyunga, Mkwawa, Nganza, Tosamaganga, Kilakara, nk
19. Ujenzi wa Ikulu ya Z'bar
20. Ujenzi wa majengo mengi ya Wizara za serikali, vituo vya polisi, magereza na Mahakama.
21. Ujenzi wa shule za msingi za serikali na za Seminari
22. Ujenzi wa makanisa, mf. St. Joseph na Azania Front (Posta Dar) na Misikiti kwa upande wa Z'bar
23. Ujenzi wa hospitali kubwa, mf. Muhimbili
24. Ujenzi wa mabwawa ya kuzalisha umeme mf. Hale + Nyumba ya Mungu.
25. Ujenzi wa vyuo vikuu vya kati, mfano Dar Tech, Arusha Tech, vyuo vya Ualimu, Kilimo, nk
26. Ujenzi wa reli ya Tanga
27. Ujenzi wa gridi ya kwanza ya Taifa ya umeme
28. Uanzishaji wa mashirika ya umma mfano Posta na simu pamoja na Benki yake
29. Ujenzi wa Uwanja wa Taifa, jijini Dar (Leo Shamba la Bibi)
30. Ujenzi wa vivuko, mfano Kigamboni na Posta jijini Dar
31. Na kadhalika na kadhalika.
Lakini pamoja na yoooote hayo, miradi hiyo yooote, Bado wazee wetu wakiongozwa na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, walisimama mbele ya kadamnasi na kuwaambia wananchi kuwa hao watu (wakoloni) hawafai, waondoke watupishe. Na kweli wakapisha rasmi Desemba mwaka 1961.
Sasa mwaka huu 2020, mimi ni nani hata nisimpinge ccm kwenye uchaguzi huu, pale anapotumia miradi ya maendeleo kadhaa iliyojengwa na serikali anayoiongoza, kama kigezo cha yeye kutaka kuchaguliwa tena na kubakia madarakani?
Tafakari...!!!.
Duh... Basi mkuu endelea kuchochea hizo kuni kama ulivyosemaHumu mitandaoni ni ofisi za wapinzani useme mikakati itawekwa humu?
Wee Shilole serikali inatenga asilimia 4 ya mapato kwa mikopo ya miradi ya vikundi kwa VIJANA itakayowanufaisha mtu "mmojammoja"....nendeni halmashauri na kikundi Cha wenzakoSasa uyu ni raisi au waziri wa ujenzi
Sisi ayo madaraja na uwanja wa ndege havitusaidii chochote tunataka maendeleo ya mtu moja moja
Wee Shilole serikali inatenga asilimia 4 ya mapato kwa mikopo ya miradi ya vikundi kwa VIJANA itakayowanufaisha mtu "mmojammoja"....nendeni halmashauri na kikundi Cha wenzako
Wee Shilole serikali inatenga asilimia 4 ya mapato kwa mikopo ya miradi ya vikundi kwa VIJANA itakayowanufaisha mtu "mmojammoja"....nendeni halmashauri na kikundi Cha wenzako
kama Membe ana "dharau na kiburi sana", vipi yule aliyetuambia Watanzania kuwa uteuzi wa viongozi wa wananchi unategemea yeye kaamkaje - kwa kalio ama tumbo??!!huyu mtu anajiona yeye ndiye mtu pekee mwenye uwezo wa kuwa Rais hapa Tanzania. nahis 2015 angepitishwa basi asingetoka madarakan..na anaonekana kuwa ni mtu mwenye dharau na kiburi sana..
Kufanya uchaguzi huru na wa haki ni kuwapigia mabeberu magoti ?!Akihojiwa na idhaa ya kiswahili ya UJERUMANI aliyekuwa mwanaCCM MWENZETU mh. Benard Camillius Membe anatapatapa kwa kujinasibu kuwa na WENZAKE SITA. Akihofia kutowataja majina kwa kuogopa kutimuliwa ndani ya CCM mh. huyu asiyeridhika kwa yote mema na mapungufu aliyotufanyia watanzania akiwa mhudumu wetu pale foreign affairs ametamba kutaka kugombea URAIS kwa njia yoyote atakayoweza
Natoa rai kwa vijana wa ccm waelewe kuwa yale aliyoyaasisi baba wa taifa na yanayotekelezwa kiufasaha na mh.rais magufuli sasa yako msambweni kutoweka kwa kuwiwa na maadui wasioamini katika muktadha mpana wa kujiamulia mambo sisi wenyewe.
Mabeberu na makuwadi wao hawajalala na hawatoacha kutuandama kwa visingizio vya domokrasia,uwazi,tume huru na uliberali koko
Shime wananzengo tuilinde itikadi adhimu ya chama hiki cha wanyonge na kinachosimamia misingi ya uafrika wetu na kisichokubali kupiga magoti kwa mabeberu na makuwadi wao
Kwi kwi kwi kwi hwenda wewe ukawa ni miongoni mwa wale WASIOAMINI KATIKA KUKITOLEA JASHO KIDOGO ILI BAADAE KUWE na multifier effect....Hizo hela ni vichekesho kama vichekesho vingine. Kwenda huko halmashauri na kupewa 2m watu ishirini kwani ni kazi? Hizo hela za halmashauri ni za kuongezea umasikini kupitia vikundi.
Kwi kwi kwi kwi hwenda wewe ukawa ni miongoni mwa wale WASIOAMINI KATIKA KUKITOLEA JASHO KIDOGO ILI BAADAE KUWE na multifier effect....
Mh.JPM amekuwa akisema kuwa KABLA YA KUMI ilipanda kutoka SIFURI....
Hali yako MZEE wa Bunda!Kufanya uchaguzi huru na wa haki ni kuwapigia mabeberu magoti ?!
Na mabeberu ni akina nani ?!
Wazungu, wachina, wahindi , au wa Africa waliobadilika kuwa wakoloni ?!