Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Mbona hapa unamshabikia?
Namshabikia au nachochea kuni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hapa unamshabikia?
Wewe kweli HOBOBO,Membe si mwanachama TENA wa CCM ALISHAFUKUZWA...Magamba huwa mnashangaza sana hapo red; "asiyeridhika"; "kimbilia madaraka"; "tamaa ya madaraka"; and such stupid keywords! Ni nani asiye na tamaa ya madaraka? BTW ni kwanini fomu imetolewa moja tu huku wengine wakizuiwa? Demokrasia ya wapi hiyo?
Kwanini wenye sifa wananyimwa haki yao ya kikatiba kuomba kuchaguliwa katika nafasi ya uongozi wa nchi yetu? Katiba ya CCM inasema aliye madarakani hapingwi? Tunazo kumbukumbu Mh. Kikwete aliwahi kupingwa na John Madale Shibuda, tatizo liko wapi leo?
Kaka EEE fazaa eeee we wa wapi laaaa Membe SI mwanachama wa CCM anatapatapa huko mashamba ya ufuta mkoka sijui mtama...Membe ana haki kabisa kabisa kabisa ya kugombea Urais ndani ya CCM. Analindwa na Katiba na si utamaduni au huo utaratibu wenu fake, kwanini basi asiruhusiwe kuchukua fomu akajipime na Rais ili KUNOGESHA mchakato?
Wewe ni nani, mke wake?Watu hamjajua nia ya membe. Nia ya membe sio kugombea uraisi mwaka huu km mnavyofikiri, nia yake ni kuendelea kuwa akilini na midomoni mwa watu kutajwatajwa ili 2025 awe bado yupo juu kwa ushawishi aweze kugombea coz mzee mzma atakuwa anaachia nafasi
Duh... Nikafikiri huo muda mngeutumia kuchochea madai ya tume huru au hata kumchochea Lisu afahamike zaidi.Namshabikia au nachochea kuni?
Demokrasia haiangalii huyu mjivuni na huyu siye, watu wote ni sawa mbele ya jicho la demokrasiaOooo kumbe nyinyi MNAWAPENDA WAJIVUNI NA WADHARAU WATU...alaa kumbeee
Hivi CCM Haina utaratibu wa kubadilishana watu wa DINI mbili kubwa hapa Tanzania?!!kwani hayo yako KATIBANI?!!!!Magamba huwa mnashangaza sana hapo red; "asiyeridhika"; "kimbilia madaraka"; "tamaa ya madaraka"; and such stupid keywords! Ni nani asiye na tamaa ya madaraka? BTW ni kwanini fomu imetolewa moja tu huku wengine wakizuiwa? Demokrasia ya wapi hiyo?
Kwanini wenye sifa wananyimwa haki yao ya kikatiba kuomba kuchaguliwa katika nafasi ya uongozi wa nchi yetu? Katiba ya CCM inasema aliye madarakani hapingwi? Tunazo kumbukumbu Mh. Kikwete aliwahi kupingwa na John Madale Shibuda, tatizo liko wapi leo?
Duh... Nikafikiri huo muda mngeutumia kuchochea madai ya tume huru au hata kumchochea Lisu afahamike zaidi.
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
NakaziaAcha kumlinganisha mwalim na vitu vya ajabu ajabu aisee
Mdudu eeee mi Wala sihangaiki hapa Niko ufukweni Sadnakunywa maji ya madafu pembeni na chombo changu mipaja nje laini ZAIDI ya socialite Winnie mapumzikoni kwa wikiKati yako mleta uzi na Membe nani anatapatapa?kama anatapatapa kwanini uhangaike kupanda jukwaani,tena kwa bando ya kukopa.
Popote ulipo mtunduizi Said Sambala mpe salamu za heri Maalim Seif Abalhassan mwambieni Niko hapa kwao mbuga ya Saadan utalii wa ndani kwa wiki Sasa ninakula matunda ya kufanya kazi km mtumwa na kuishi km mfalme mwambieni nilipitia mkwaja pembeabwe kipumbwi na ntatokea bweni kwa Kaka yake mh.Juma Awesso,Kakaaaa saadan kuzuri masaa yote nareply TU hapa Jamvini kutoka ufukweni NI mm mtunduizi wako wa siku zote arbaaaab Dr jumbe brownmimi nilijua wananchi wa Tanzania tuko nyuma yake,kumbe ni mataifa ya magharibi?
Hapana. N yule mumeo au umenisahauWewe ni nani, mke wake?
Zesh eeee we tangu lini baniani akatawadha aswali swala ya dhuhri?!!!Membe SI mwanachama TENA wa CCM....Mnaogopa nini chapisheni FOMU........ Ukifanya mazuri kwa watu yakawapendeza lazima watakuchagua tu iwe jua iwe mvua.... Acheni longolongo toeni FOMU, zingine zote porojo
Nlifikiri hicho ndio kipaumbele chenu na mtadai kwa nguvu zote badala ya ilivyo sasa kila mtu anamjadili Membe ambae ni ccmMadai ya tume huru ya uchaguzi hayajawahi kukoma, au kudai tume huru ya uchaguzi kunazuiwa na watu kumuongelea Membe?
Nlifikiri hicho ndio kipaumbele chenu na mtadai kwa nguvu zote badala ya ilivyo sasa kila mtu anamjadili Membe ambae ni ccm
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Nafikiri ni uzwazwa kwa wapinzani kupoteza muda kwa wanaccm badala ya kudeal na mikakati yao ya ushindi hapo oktobaKwani membe anajadiliwa kwa uccm wake?
Lazima utakuwa mke wake, huwezi kuwa unajua siri zake kwa kiwango hikiHapana. N yule mumeo au umenisahau